Kenya Tops Angola as Sub-Saharan Africa’s No. 3 Economy

that time TZ was apparently growing at 7% , they were to catch up with Kenya by 2020...
What i notice from the growth is that Kenya's rapid growth has been tied to the new constituition. We put in the new law in 2010 which enshrined private property rights into the law giving investors confidence.
Combined with the clear independence of our judicial system.
 
Kenyans are resilient walahi, i have seen it this Corona time,
Mtu alikuwa Dj , club imefungwa , anachukua gari anaanza kuuza food.. na maisha inasonga...
Another example is Chef Rubia, due to the downturn of the economy in hospitality, He started making homemade bbq sauce and it has made him an overnight hit. I heard he has sold about kes 1.6 million worth of bbq sauce online which he makes from home due to the pandemic.
1591392882577.png
 
What i notice from the growth is that Kenya's rapid growth has been tied to the new constituition. We put in the new law in 2010 which enshrined private property rights into the law giving investors confidence.
Combined with the clear independence of our judicial system.
plus devolution imeinua ushago kimpango, though kuna wizi mwingi.
upcountry towns were very dull
 
Another example is Chef Rubia, due to the downturn of the economy in hospitality, He started making homemade bbq sauce and it has made him an overnight hit. I heard he has sold about kes 1.6 million worth of bbq sauce online which he makes from home due to the pandemic.
View attachment 1469819
wonderful stuff.
tailors huku mtaani waliweka kando kushona suti kwanza waunde mask..
very encouraging
 
plus devolution imeinua ushago kimpango, though kuna wizi mwingi.
upcountry towns were very dull
Mind u during Moi n 2007 PEV u didn't have these white elephant projects like u have now! And Tanzania was not investing in major infrastructure!
 
Data za wachawi hizi.. kibera hata ugali hakuna kisha unapost uongo kama hui
Kenya surpassed Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy in dollar terms, according to International Monetary Fund estimates. Angola has contracted every year since 2016 as oil output declined, and the kwanza was devalued in 2019 while Kenya’s shilling held steady.

The coronavirus pandemic and restrictions to limit its spread will probably see Angola’s gross domestic product contract 1.4% in 2020, while Kenya’s is projected to grow by 1%, according to the IMF.

Tupeni mawe nijenge nayo flat.

View attachment 1469222
 
Mind u during Moi n 2007 PEV u didn't have these white elephant projects like u have now! And Tanzania was not investing in major infrastructure!
moi was shit...kenya was in the sewer, from 1992 - 2000 we never got loans , and most foreign aid was frozen due to corruption.
it was a lost decade...

But our private sector pulled itself through
 
Halafu ikumbukwe uchumi wetu ni non-mineral based, ni wa watu kujituma kweli kweli hivyo unaweza kustahimili hali yoyote.
 
Kenya surpassed Angola as sub-Saharan Africa’s third-largest economy in dollar terms, according to International Monetary Fund estimates. Angola has contracted every year since 2016 as oil output declined, and the kwanza was devalued in 2019 while Kenya’s shilling held steady.

The coronavirus pandemic and restrictions to limit its spread will probably see Angola’s gross domestic product contract 1.4% in 2020, while Kenya’s is projected to grow by 1%, according to the IMF.

Tupeni mawe nijenge nayo flat.

View attachment 1469222
Africa tuache mambo ya kujilinganisha pesa yetu na vipesa vya kidola vya kijingajinga. Tutumie maliasili zetu kutengeneza za kwetu. Nikija kuwa Rais wa popote, labda nitajaribu kutengeneza pesa zetu kwa kutumia dhahabu (Gold), halafu tuone kama watakuja tena watu kulinganisha makaratasi na dhahabu, au namba namba za kijinga na dhahabu. Kama wajerumani walijaribu kutengeneza Rupee, sisi wenye ardhi je? Pumbafu...nimechoka kunyanyaswa na wasio na kitu wakati nyumbani nina kila kitu.
Wameficha dhahabu zetu miaka na miaka kwasababu wanajua kuwa one day, kuna mtu ataanzisha pesa za dhahabu Africa na itakuwa balaa. Ati, nchi isiyo na mahali pa kuchimba dhahabu inaongoza kwa hifadhi ya dhahabu...! Nonsense...!
 
Huwa nimeku-follow nikiamini ni mtu mwenye uwanda mpana wa mambo ila kwa hili umeniangusha na adhabu yako ni kuku-unfollow mtumishi!

Kenyans are risk takers uchumi wao utazidi kupaa na TZ ya kikapuku itabaki hivyo na kamwe haitobadirika hadi mawazo uliyonayo na waliyonayo yafe!
100%
 
Kwanza, nikupongeze kwa kuwa mkweli na mtu mwenye kusimamia mawazo yako. Hicho na mie ni kitu na kithamini sana, haijalishi nani ana ni follow au ana maoni gani kuhusu mawazo yangu.

Iko hivi, hao jamaa hata wangesema uchumi wa TZ utaongezeka au kukua kwa asilimia 10, sio kitu cha kushangilia sana kwakua kuna vigezo na mambo mengi sana yanayopelekea hayo makadirio kufikiwa. Inamaanisha inaweza kuzidi hicho walichokisema, inaweza isifikie au inaweza hali iwe mbaya zaidi, hiyo yote inategemea na vigezo vinavyochocheaukuaji wa uchumi na pato la taifa.

Nikuulize tu, waksti hizo tathmin zinatoka, walihesabia madhara ya Corona kwa mapana yake na athari zake kwa uchumi wa Kenya? Na wamekisia hilo janga litaenda kwa muda gani na kuathiri kwa kiwango gani huo utabiri wao?

Niishie hapo kwa sasa mkuu, ikikupendeza unaweza ku ignore kabisa achilia mbali ku unfollow.
 
Back
Top Bottom