Kenya tops again, ranked the second best investment destination in Africa

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
269
500
Kenya has been ranked the second best investment destination in Africa. Good news. But am wondering; kwani how bad are the rest of African economies?

Ej1ddk5XsAEi0z1.jpg
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,876
2,000
Sio uchawiiiii.....kwa wale bado hamjafundwa, hii ni kwa ajili ya bidii, kujituma, elimu, uchapa kazi, ujasiri..... tunapiga kazi sio maneno maneno, mikwara huku jitihada zikiwa sifuri.
Majirani acheni uzembe bado mnatajwa kwenye mataifa 28 maskini wa kutupwa jalalani.....ilhali mna raslimali za kila aina, kweli haupewi vyote, aidha uchague raslimali unyimwe ubongo au upewe ubongo unymwe raslimali, hivi hii nchi yetu tungekua na raslimali jameni Afrika ingetukoma.
 
Bana. Yani Kenya hakuna mambo ya migodi au raslimali nyingi lakini uchumi unapaa tu ata wakati wa corona. Congratulations to Kenya.
Investors ata kutoka bongo, mabeberu, wahindi, uchina etc wakaribishwa Kenya.
 
saadeque

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
2,074
2,000
watz tunawakaribisha kenya muje muwekeze pia.hatuna wasiwasi sisi.hatutawaombea mabaya kama mnavyotuombea biashara zetu zote huko kwenu zifilisike
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,876
2,000

Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Ni kitu gani mnaogopa kwa huyu mwanasheria hadi mnajihami kuanzia utosini hadi kwenye nyayo za miguu, mbona msiruhusu wauze sera zao kisha mfunge kwa goli la mikono kama ambavyo huwa mnajisifia.

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Hahaha uchaguzi ni two weeks ahead hivyo hizo michezo na figisu ni kawaida... shida inakuja pale uchaguzi ni Two YEARS ahead ila mambo ya figisu yanaanza leo.

Yani cabinet nzima na top security organs zinapambana na hustler peke yake... lazima dynasties wapinduliwe tu..wapende au wasipende.. its time for fresh blood...
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,876
2,000
Hahaha uchaguzi ni two weeks ahead hivyo hizo michezo na figisu ni kawaida... shida inakuja pale uchaguzi ni Two YEARS ahead ila mambo ya figisu yanaanza leo.

Yani cabinet nzima na top security organs zinapambana na hustler peke yake... lazima dynasties wapinduliwe tu..wapende au wasipende.. its time for fresh blood...

Huyo jamaa atawapa tabu sana, ndio mara ya kwanza kuona CCM mumekabwaa kooni kihivi, jamaa alikaidi marisasi, mumezuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka miine, sasa siku hizi chache bado mnawabana, ila Lissu akishindwa nahisi upinzani utafutwa kabisa, uchaguzi wenu ni full maigizo tu, yaani hata mkuu wa polisi anamwambia Mbowe bila aibu kwamba hawezi kumshinda jamaa wa CCM.
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Huyo jamaa atawapa tabu sana, ndio mara ya kwanza kuona CCM mumekabwaa kooni kihivi, jamaa alikaidi marisasi, mumezuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka miine, sasa siku hizi chache bado mnawabana, ila Lissu akishindwa nahisi upinzani utafutwa kabisa, uchaguzi wenu ni full maigizo tu, yaani hata mkuu wa polisi anamwambia Mbowe bila aibu kwamba hawezi kumshinda jamaa wa CCM.
Ndio, huku tuna ambiana ukweli tu point blank.. sasa huko kwenyu hustler anasema dynasties wanashikilia nchi kama vile ni ya baba yao na mama yao inakuwa nongwa! The whole cabinet, deep state & "system " all national security organs are at his neck! Kisa kusema ukweli tu..

Jayden anaukimbia ukweli, it's a no secret how his family have looted and accumulate the national resources for his own, pia na huyo odinga plus Gideon..ni wanakula kama mchwa. Hiki kizazi cha sasa kinaona yote hayo. Vile wanakosa kazi, maisha magumu hakuna good shelter wako kwa slums..three quarters ya arable land iko inamilikiwa na wachache..hawahitaji Ruto kuwaambia hayo..wako wanaona kwa macho yao. Solution sio kutumia security organs na intimidation ili kum-silence hustler..hapo ni kuondoa gap between the society bhas..sio kuleteana vitendawili..

Matiang'i nae anakubali kuingia kwenye huo mchezo mchafu..he'll come out dirty..awaachie hao manyamera ndio wanawezana. Na saivi mtachapana haswa maana kwa position ya hustler yuko na security clearance kubwa hivyo anapata info za kutosha na yuko na "watu" kila area hivyo muangalie sana..nadhani mnamjua hustler sio mtu wa maneno maneno..akiingia road na mbogi yake hata mungiki watapoteana..
 
Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
269
500
Kwani magufuli ndiye wa kwanza kuomba hii dunia?

And why hasn't magufuli played for your economy to avoid being named among the poorest countries on earth.

Did Christianity originate from magufuli?
JamiiForums-2073991019.jpg
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,496
2,000
Kwani magufuli ndiye wa kwanza kuomba hii dunia?

And why hasn't magufuli played for your economy to avoid being named among the poorest countries on earth.

Did Christianity originate from magufuli? View attachment 1595130
Haha nchi masikini ni ile inayopata food aid. Unapokea msaada wa chakula kutoka Misri..halafu Misri inakuomba uiunge mkono kwenye mpango wa kusimamisha uzalishaji wa umeme Ethiopia..na huko Ethiopia ndio mnategemea wawauzie umeme! ....mamaeee.. hapo ndio utajua njaa haina adabu... anaekupa msosi ndio anaekupangia cha kufanya.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,730
2,000
Huyo jamaa atawapa tabu sana, ndio mara ya kwanza kuona CCM mumekabwaa kooni kihivi, jamaa alikaidi marisasi, mumezuia wapinzani kufanya mikutano kwa miaka miine, sasa siku hizi chache bado mnawabana, ila Lissu akishindwa nahisi upinzani utafutwa kabisa, uchaguzi wenu ni full maigizo tu, yaani hata mkuu wa polisi anamwambia Mbowe bila aibu kwamba hawezi kumshinda jamaa wa CCM.

1995 ulikuwa hujazaliwa bro,achana na 2010.

hii nchi mwaka huu haina upinzani kabisaa amini nakwambia.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,730
2,000
Kwani magufuli ndiye wa kwanza kuomba hii dunia?

And why hasn't magufuli played for your economy to avoid being named among the poorest countries on earth.

Did Christianity originate from magufuli? View attachment 1595130

tukisema wewe ni mbuzi unarusha mawe.

economy sio namba kubwa kama za kenya,ni maisha ya mtu mmoja mmoja.kiwa na uchumi mkubwa na unapewa chakula cha msaada hiyo nayo ni aina na upuuzi mwingine.
 
Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
269
500
tukisema wewe ni mbuzi unarusha mawe.

economy sio namba kubwa kama za kenya,ni maisha ya mtu mmoja mmoja.kiwa na uchumi mkubwa na unapewa chakula cha msaada hiyo nayo ni aina na upuuzi mwingine.
Tanzania wanapewa msaada wa budget, hamlipi madeni na mko among the poorest nations on earth.

Ambia magufuli aombee hilo libadilike sio kuita Watu mbuzi mtandaoni Moderator kwa nini huyu anantukana?
JamiiForums-2073991019.jpg
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,876
2,000
Ndio, huku tuna ambiana ukweli tu point blank.. sasa huko kwenyu hustler anasema dynasties wanashikilia nchi kama vile ni ya baba yao na mama yao inakuwa nongwa! The whole cabinet, deep state & "system " all national security organs are at his neck! Kisa kusema ukweli tu..

Jayden anaukimbia ukweli, it's a no secret how his family have looted and accumulate the national resources for his own, pia na huyo odinga plus Gideon..ni wanakula kama mchwa. Hiki kizazi cha sasa kinaona yote hayo. Vile wanakosa kazi, maisha magumu hakuna good shelter wako kwa slums..three quarters ya arable land iko inamilikiwa na wachache..hawahitaji Ruto kuwaambia hayo..wako wanaona kwa macho yao. Solution sio kutumia security organs na intimidation ili kum-silence hustler..hapo ni kuondoa gap between the society bhas..sio kuleteana vitendawili..

Matiang'i nae anakubali kuingia kwenye huo mchezo mchafu..he'll come out dirty..awaachie hao manyamera ndio wanawezana. Na saivi mtachapana haswa maana kwa position ya hustler yuko na security clearance kubwa hivyo anapata info za kutosha na yuko na "watu" kila area hivyo muangalie sana..nadhani mnamjua hustler sio mtu wa maneno maneno..akiingia road na mbogi yake hata mungiki watapoteana..

Ukweli gani mnaambiana, hivi kuna kipindi Watanzania wamekua waoga kama awamu hii, mtu anakamatwa kisa kapiga picha ukuta wa shule wenye ufa, mwingine anafungwa jela kisa ameita dictator uchwara.
Kila mtu amebadilishwa na kuwa muimba mapambio, wapinzani wamebamizwa miaka miine hakuna mkutano, najaribu kupiga picha kama Lisu angekufa kwa hayo marisasi, mngewafuta upinzani kabisa.
 
swakid

Member
Aug 22, 2018
89
125
Kenya has been ranked the second best investment destination in Africa. Good news. But am wondering; kwani how bad are the rest of African economies?

View attachment 1594845
Hii inawezekana na ni ukweli kutokana na ujenzi wa miundombinu bora iliyojengwa na kibaki na waasisi wengine. Kwa sasa projects za Uhuru faida zake hazionekani ila zitakuja kuonenaka.
Kwa upande wa Tanzania, mambo kwa sasa sio kama media inavyosema. Tukirudi katika uhalisia, kipindi cha magufuli pesa ilikuwa ngumu sana kupatikana kutokana na serikali iliamua kupunguza mzunguko wa pesa. Hili lilisababisha wananchi kuitafuta pesa kwa jasho, shidaaaah ila serikali ilijaza acc zake n kuweza kuwekeza maridadi kwenye miundombinu amazing. Ninachojua ipo siku miundombinu mingi ya magufuli itaanza kudhalisha faida angalau kwa wastani wa asilimia 60 tu. Mzunguko wa pesa utapoongezwa kutokana na mifuko ya serikali kujaa, hapo ndipo Kenya mtajua kuwa maendeleo ni miundombinu bora. Wacha tuwekeze ila wakati wetu utapofika, kila mtu atajua baba wa ukanda wetu ni nani, mama wa ukanda wetu ni nani. Muda haudanganyi. Nyie endeleeni kuibeza miradi yetu, juhudi za raisi wetu n taifa letu kwa ujumla. Kwa tunaoviona jinsi vitu vilivyo kwa ground, surely tumerelaaaaaaaaax, tunajua wakati wetu unafika tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom