KENYA: The Smoking Ban | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KENYA: The Smoking Ban

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ELNIN0, May 6, 2010.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the duty of
  posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their
  notice: Other councils are still working on theirs.......

  The Mombasa Town Clerk
  wrote: Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri
  hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

  The Kiambu Town Clerk:
  Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

  The Machakos Town Clerk:
  Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .

  The Kisumu Town Clerk:
  Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

  Wajir Town Clerk:
  Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi
  tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.

  Kericho Town Clerk:
  Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa.

  Haguna!! Charipu wee taona!!!

  Kisii and Nyamira Town Clerk
  Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana.


  Other Councils are still working on theirs...
   
 2. kamalfareed

  kamalfareed Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Apr 26, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heheheheheheheheh.... KENYAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!
   
Loading...