Kenya: The Smoking Ban | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya: The Smoking Ban

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by X-PASTER, Apr 15, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Apr 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  The Smoking Ban

  After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the duty of
  posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their
  notice: Other councils are still working on theirs.......

  The Mombasa Town Clerk
  wrote: Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri
  hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

  The Kiambu Town Clerk:
  Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

  The Machakos Town Clerk:
  Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .

  The Kisumu Town Clerk:
  Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

  Wajir Town Clerk:
  Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi
  tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.

  Kericho Town Clerk:
  Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa.

  Haguna!! Charipu wee taona!!!

  Kisii and Nyamira Town Clerk
  Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana.

  Other Councils are still working on theirs...
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha mkuu umenivunja mbavu, halafu bado wanasema
  KENYA'S NATIONAL LANGUAGE OFFICIALLY KNOW AS KISWAHILI
   
 3. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii maneno imenichekesha sana,nina wakenya naishi nao hapa nitawapa watoe maoni yao.
   
 4. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Utamsikia mkenya akisema" Wewe Husikii ninavyomwambia?" badala ya " wewe husikii ninavyokwambia?", wakenya bwana!
   
 5. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Ile ya Kisii and Nyamira Town nimeipaenda.
   
Loading...