Kenya storm over president lunch

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
184
Kazi hipo kweli kweli, hivi hi nayo ni rushwa ya kiaina au?

Top Kenyan politicians, businessmen and corporate executives have reportedly paid $15,000 each to have lunch with President Mwai Kibaki in Nairobi.

The event, held at a five-star hotel, had a menu representing Kenya's different regions, with dishes such as stewed tripe with banana and potatoes.

Mr Kibaki's spokesman says the guests were attending a website launch and not raising funds for next month's polls.

The event has twice been put back after public uproar over reports of the cost.

It is reported that the organisers were trying to raise $1.5m.

$15,000 MENU
Pureed pumpkin and ginger sauce
Tilapia in tomato sauce
Stewed tripe with bananas and potatoes
Fish in coconut sauce
Fried camel meat
Ugali (maize meal porridge)
Vegetable masala
Fruit salad

President Kibaki's press secretary Isaiah Kabira said the event was to promote Mr Kibaki's election website.

Journalists were not allowed to film the event.

The BBC's Kevin Mwachiro in Nairobi says President Kibaki arrived at the Safari Park Hotel at midday to join top industrialists, stock markets executives and government officials.

Fried camel meat and pureed pumpkin and ginger were among other menu options.

Some observers have described the event as an affront to poor people in Kenya.

About 50% of Kenyans, many living in slums and rural areas depend on less than $1 a day.

President Kibaki faces a strong challenge from former minister Raila Odinga in the presidential race.

Latest opinion polls show Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga remains the most popular candidate with 45% of Kenyans backing his bid, compared to 41%, who support President Kibaki.

President Kibaki, 75, is banking on a strong economic growth and promises to expand his universal free education to secondary school if elected.
 
Hao ndio watakaokula nchi hapo Kibaki atakapopata huo u-Rais tena.
Yaani watakula na kujitapikia kabisa kwa kuzidiwa na wingi wa hayo mapato. Tuseme sasa hivi wanawekeza, na mavuno yatakuwa kwa miaka mitano ya ngwe ya mwisho ya Kibaki. Hakuna kitakachowazuia tena kuvuna.
 
Wakenya mnapaswa kuwa macho. Mtu hasikudanganye kuwa atashughulikia maisha ya watu wa chini huku marafiki zake ni matajiri na watu wazito. Nyie makabwera mtabaki mkipiga mihayo

Si hata hapa Bongo hatukutilia shaka uswaiba wa JK na kundi kubwa la matajiri. Poleni kenya if your going to re-elect Kibaki.
Halafu mi sijui kwa nini Huyo Agwambo wa ODM na opposition wengine wanabaniwa kwa media. Nilishangaa hata jana nacheki TV ya Independent ya mzee Mengi story zote tatu toka kenya ni za PNU.

1. Kibaki kaendeleza kampeni zake baada ya mapumziko
2. Vijana wameamua to back Kibaki and PNU
3. PNU na issue ya SAFINA

what's this? Bongo media yote ilinunuliwa na kuwanyima wapiga kura fulsa ya kupata sera toka upande wa pili. Ila Kenyan nawafagilia vichwa vya panzi vipo kiduchu mazee.

Kazi hipo kweli kweli, hivi hi nayo ni rushwa ya kiaina au?

Top Kenyan politicians, businessmen and corporate executives have reportedly paid $15,000 each to have lunch with President Mwai Kibaki in Nairobi.

The event, held at a five-star hotel, had a menu representing Kenya's different regions, with dishes such as stewed tripe with banana and potatoes.

Mr Kibaki's spokesman says the guests were attending a website launch and not raising funds for next month's polls.

The event has twice been put back after public uproar over reports of the cost.

It is reported that the organisers were trying to raise $1.5m.

$15,000 MENU
Pureed pumpkin and ginger sauce
Tilapia in tomato sauce
Stewed tripe with bananas and potatoes
Fish in coconut sauce
Fried camel meat
Ugali (maize meal porridge)
Vegetable masala
Fruit salad​

President Kibaki's press secretary Isaiah Kabira said the event was to promote Mr Kibaki's election website.

Journalists were not allowed to film the event.

The BBC's Kevin Mwachiro in Nairobi says President Kibaki arrived at the Safari Park Hotel at midday to join top industrialists, stock markets executives and government officials.

Fried camel meat and pureed pumpkin and ginger were among other menu options.

Some observers have described the event as an affront to poor people in Kenya.

About 50% of Kenyans, many living in slums and rural areas depend on less than $1 a day.

President Kibaki faces a strong challenge from former minister Raila Odinga in the presidential race.

Latest opinion polls show Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga remains the most popular candidate with 45% of Kenyans backing his bid, compared to 41%, who support President Kibaki.

President Kibaki, 75, is banking on a strong economic growth and promises to expand his universal free education to secondary school if elected.
 
Mdudu huyu ufisadi ataondoka kweli?Ufisadi unajipenyeza na unajionesha dhahiri kwa wale wanaowajibika kuupiga vita na wao wanafanya kuukumbatia kama vile hawana habari na ubaya wake.Je mwanamchi wa kawaida wa Kenya anapata nini katika hii sakata?
 
Ladies and Gentlemen

I am very happy indeed that you are finally coming to terms with why majority of Kenyans are behind Raila. Na Raila ndio dawa ya donda hili la petty bourgeoisie au mabepari, Nyerere alivyowaita.

VOTE FOR RAILA HATA KAMA UKO TANZANIA BWANA OMBA DUA KWA ALIYE JUU KWA NIABA YA RAILA.

Remember wapo sasa kama hawa marafiki na wapambe wake Kibaki huko Bongo. Leo wanasoma za Kenya. Basi.
 
Hii kali,
Mil. 15 tz kwa lunch!

Nadhani uliteleza kidogo kwenye hesabu hio. Pleti moja ya chakula kiligharimu 18.7Million Tanzanian Shillings na 26.2 Million Ugandan shillings a plate bwana. Basi bado upo na Kibaki?

Duru za kuaminika zilisema pleti 871 ziliuzwa.
 
Wewe KenyanTanzanian,
1. Yaani ndugu yangu kubadili msimamo kwa ajili tu ya lunch? This is a fund raising strategy- no one nows Raila strategy for raising money!
2. The issue of Muslims barking has also given Kibaki advantage!

3. Raila nyie subirini tu hadi 2012- Kibaki will be in power for the 2nd time. Bado tu kuamini ndugu?
 
Hivi hapa unategemea Kibaki akichaguliwa atawasahau wote walioudhuria hiyo fund raising?
Ila watanzania tusisahau mambo ya kina Mengi, Ahmed Bora, Dewji na wengine wengi waliokuwa wananunua picha/peni na tudubwana twingine tudogo tudogo twa rais kwa mamilioni.
 
Back
Top Bottom