Kenya sio nchi salama; Afisa wa POLISI auliwa kinyama mchana kweupe.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,760
2,000

Wakenya wanajiuliza, iwapo afisa wa POLISI anauliwa kinyama mchana, je usalama wa raia nyakati za usiku utakuwaje?.

Japo matokeo ya mauaji kama haya hutokea katika nchi nyingi duniani, lakini kuna nchi ambazo zimepitisha kiwango cha wastani, nchi kama Kenya, South Africa, Brazil na Nigeria, ni hatari kwakweli.

Huwa nikifika Kenya, ninajifungia ndani muda wote kusubiri siku ya kurudi nyumbani Tanzania, nchi iliyopo namba 7 Africa kwa amani. Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia mlio wa bunduki, wala kuona mwili wa mtu aliyeuliwa.
 

Product

Member
Sep 7, 2019
69
125
Yangetokea Tanzania Ungeskia watu..

Nasema kila siku watu watumie pesa zao akili zao ktk ulinzi binafsi sieleweki

Tunaotembea na kampani ya watu 8 tunaonekana wapenda sifa

Haya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom