Kenya: SGR kusimamishwa kufanya kazi hadi pale itakapolipa deni la Wachina

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Wachina wameazimia kusimamisha shughuli zote za usafirishaji za SGR ya Kenya hadi pale watakapolipwa pesa zao, hii inatokana na deni kubwa lililotokana na hasara inayopata kila mwaka tangu ilipoanza kufanya kazi takriban miaka mitatu sasa.

MY TAKE; David Ndii ninamuona akichekelea huku machozi yakimtoka. "Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu."

=======

The Standard Gauge Railway which is President Uhuru Kenyatta's flagship project risks halting its services over Ksh38 billion debt the state owes a Chinese firm.

According to a report by Business Daily, The National Assembly's Budget and Appropriations Committee chaired by Kikuyu MP Kimani Ichung'wah disclosed that Kenya Railways had delayed in settling the pending bills to Africa Star Railway Operation which runs the day-to-day SGR operations.

The committee further indicated that as long as the debt remains unpaid, the Chinese company contracted in May 2017, risks pulling out of its contract hence grounding services.

"Pending bills rising from operations of the Standard Gauge Railway have accumulated to Ksh38 billion and this may force the operator to pull out of the daily operations of the project," outlined the committee.

A photo of SGR Nairobi terminus

A photo of SGR Nairobi terminus

The company is tasked with ticketing, landing and offloading cargo as well as managing passenger fares.

The Ksh38 billion is part of Ksh420 billion that the state borrowed from China to aid in construction of the loss-making railway line.

According to statistics from the Kenya Bureau of Statistics, the passenger train arm of SGR generated Ksh3.9 billion in the first quarter of 2020, a drop from Ksh4.2 billion it made in a similar period in 2019.

Kenya Railways, in a statement, disclosed that it had not received a protest letter from the Chinese firm neither was a formal communication addressed to it from the Budget Committee.

"As Kenya Railways, we have not received any communication from Africa Star. We have also not received the report from Parliament and at the moment we cannot comment," the corporation told Business Daily.

This comes barely a week after the state parted ways with a Chinese contractor after claiming that the company quoted in excess of Ksh50 billion for the upgrade of the Naivasha-Malaba Metre Gauge Railway (MGR).

The government shelved the plan to extend the Standard Gauge Railway (SGR) to Western Kenya over financial reasons and opted to upgrade the MGR which will be connected to SGR in Naivasha.

Profit-wise, SGR made Ksh10 billion losses in 2017 while in the financial year ending June 30, 2019, it registered Ksh6.8 billion losses, costing taxpayers Ksh 18.6 million daily.

Source: Kenyans.co.ke
 
Nchi Tajiri kama Kenya,sijui mindo income wanafaa kulipa madeni madogo madogo kama haya sio kujitia aibu mchina akisimamisha li SGR lao la kizamani.

Tabia hizi hata LDC hawana kabisa, kama chai na vitafunio za ofisi Moja tu ya wizara ya afya mnateketesha KSH 4m kwa mwezi, Ksh 38B ni chenji ndogo kwa li nchi lizima
 
Mjamaa anapenda fake news za opera sana, waandishi hawajulikani inaeza kua mtu yeyote anaandika ata yeye
Kwanza za misifa za ule jiwe wake
 
Hahaha! Anaichukua for 99yrs jombaa,wapi 99 GDP iwasaidie kulipa,hizi ni sifa za LDC kushindwa kulipa kadeni kadogo kama hako kwa middle finger country!
Let's put facts straight.
1. Kenya hawajaisamehewa deni juu ya kushindwa kulipa.
2. Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa that their loans has been forgiven because they could not manage to pay.
3. Kenya's GDP is 99b, Tz is 62b.
 
Let's put facts straight.
1. Kenya hawajaisamehewa deni juu ya kushindwa kulipa.
2. Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa that their loans has been forgiven because they could not manage to pay.
3. Kenya's GDP is 99b, Tz is 62b.
Tanzania has more $millionares than the rest of EAC countries combined. Yours is cooked GDP. Hahahaha,
 
Hahahaha natamani ingekua kweli
Hata mleta mada pia na uchawi wake anatamani ingekuwa kweli. Ndio maana anatuletea taarifa kutoka blog uchwara, tena ambayo hata haiendani na hoja wala kichwa cha uzi wake. Kiingereza kiliwasili kwa meli.
 
Back
Top Bottom