Kenya Seeks Diplomatic End To Ivory Sale Row With Tanzania

Hakuna cha soko pana ama ukubwa wa eneo.Kama uchumi unaendelezwa kwa ukubwa wa eneo basi tuungane na CONGO, maana nchi ile ni kubwa kupitiliza na tuna similarities za maliasili hivyo hatutamezeana mate.
 
Nimefurahishwa sana na comments zote kutoka kwa wananchi wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. Niliwahi kuandika kuhusu hili jambo la EAC leo naona tuko wengi sana ambao hatulitaki kabisa kutokana na uwazi wa madhara yake.

Kama mwandishi wa kwanza alivyouliza, Je watanzania sisi ni wepesi sana wa kusahau au ni wapole sana? Yeyote aliye na uchungu na nchi yetu atashindwa hata aseme nini hapa. Lakini mwishowe inabidi tukubali ni yote mawili. Maana mifano iko mingi mikubwa imeshatajwa hapo juu. Nimefurahi sana kukumbushwa tena kuhusu Pilot Mapunda alivyofanya kitendo cha kishujaa kurusha ndege ile na kutua Dar. Hivi nani anayeweza kututhibitishia kuwa alilipwa mafao yake yote? Maana tumesikia hivi karibuni tu wale Wazee wa EAC mpaka leo wanadai na kwa hasira kiasi cha kufunga barabara ili wasikike.

Wazee wazima mpaka kufikia hatua hiyo kwa kweli ni huzuni sana. Wengi watakuwa wametutoka bila kupata haki zao. Leo tunaburuzwa tena kujiunga tena EAC.

Kwanza serikali kabla ya kurejea kwenye hili shirikisho tunataka iandike ripoti itakayo elezea mambo yote yaliyotokea hadi ile EAC ya kwanza ikafa, ripoti hiyo ipitiwe na wataalamu irekebishwe mpaka iweze kuchapishwa kama document iliyotayari kujadiliwa in order to draw lessons learnt.

Tukitoka hapo tuanze kupeana ukweli wa takwimu za kimaendeleo tofauti zilizopo kinchi nk.

Mambo haya yakifanyika hakuna mtu hata awe kichaa atakayeunga mkono kuundwa kwa EAC mpya. Nitashangaa, tena sana!. Maana inafahamika sana na wazi kabisa kuwa nyuma ya shinikizo hili wapo wafanyabiashara wakubwa sana ambao kama hawa tulionao ndio hao wanaojihusisha kwenye ununuzi wa rada kwa aina hiyo! Hatutakaa tujue linalotokea.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Kenya, uganda, rwanda nk wana majirani kila upande. Mfano kusini mwa kenya ipo Tanzania nchi moja tu kwanini walilie kuungana na nchi moja ilihiali huko kaskazini mwa kenya kuna nchi nyingi za kuungana.

Kama wanataka ukubwa wa soko kwanini wasiungane na ma nchi makubwa tu huko kama Sudan, ethiopia na somalia?? . Wanajuwa wananchi wa huko hawatasikiliza nonsense kama hizo.

Hawa jamaa wanatuona watanzania ni kondoo sana ,ndio maana hata wanatumia vitisho kutulazimisha kujiunga nao.Hapa Tanzania nafikiri ili ingepiga chini na kujiondoa kabisa ktk hiyo nonsense EAF
 
Synthesizer asks whether Tanzanians have a short memory. Truth is, they don’t have any memory, short or otherwise! If they did, they would have remembered Kenya’s stance on this matter. They would also have remembered to quietly convince, or if need be force, Kenya into supporting us before declaring our intentions. Now we have been embarrassed by our own brothers.

If Tanzanians had any memory at all they would have remembered to follow the example of Kenya and consign their real problem, which is CCM, to the ranks of the opposition.

Kenya is building an international airport five kilometres from the border with Tanzania (near Holili). That country knows that Mount Kilimanjaro, Serengeti and NgorongoroNational Parks are potentially the best tourist attractions in the world. As the CCM government is sleeping on the job, they will step in and take charge of tourism not only in Kenya, but in Tanzania as well.

Wameuma, sasa wanapuliza kidogo. Na kama alivyosema Kenyatta, “Kama unaona mutu imelala nyonya yeye!”
 
Wakenya ni selfish sana sijui kwa nini tunaungana nao EAC wenyewe kwa wenyewe hawakai pamoja hata wakiwa nje ya nchi yao wa Kikuyu na wa Jaruo huwa hawasaidiani hata wakipata misiba sasa watu wa aina hiyo tunawezaje kusema eti wana nia nzuri na Tanzania

Binafsi si support kuuzwa kwa pembe lakini tusifikiri kuwa Kenya nia yao ni sawa na yetu watanzania tusiotaka kuuzwa kwa pembe kampeni yao ni kutaka kuipaka matope Tanzania ionekane mbele ya mataifa hairidhii mikataba ya kimataifa na wao Kenya ni watakatifu.
 
Kenya, uganda, rwanda nk wana majirani kila upande. Mfano kusini mwa kenya ipo Tanzania nchi moja tu kwanini walilie kuungana na nchi moja ilihiali huko kaskazini mwa kenya kuna nchi nyingi za kuungana.

Kama wanataka ukubwa wa soko kwanini wasiungane na ma nchi makubwa tu huko kama Sudan, ethiopia na somalia?? . Wanajuwa wananchi wa huko hawatasikiliza nonsense kama hizo.

Hawa jamaa wanatuona watanzania ni kondoo sana ,ndio maana hata wanatumia vitisho kutulazimisha kujiunga nao.Hapa Tanzania nafikiri ili ingepiga chini na kujiondoa kabisa ktk hiyo nonsense EAF

Mkuu MkamaP hapa umenena. Hilo ndiyo swali la kujiuliza na kuwauliza au ndiyo ushauri wa kuwapa. Siyo vitisho tu wanatukana kabisa. Nafikiri itafika mahali tunavyoendelea kuwachelewesha kwa mazungumzo marefu bila kuwaambia kuwa hatutaki wataamua kutuvamia kwa nguvu. Serikali inatakiwa itoe tamko sasa ili mwelekeo wetu uwe mwazi.
 
Sijui kwa nini wanasiasa wetu hawataki kulijadili hili suala kwa mapana.Kitu ambacho nimegundua pia ni kwamba,wanasiasa wetu wengi hawana uelewa wa mambo ya nje,na pia uzalendo wao ni wa kutilia mashaka sana

Ati tuko huru huku tukitaka kutawaliwa au kulazimishwa kuridhia mambo na majirani zetu.Serikali ya CCM ndiyo inayotufanya kuwa marginalised hata na nchi jirani,haijawahi kuchukua action boldly thidi ya ufedhuli wa majirani zetu and insteady wanakubali kuburuzwa nao

Pia kuna mtu ana uchungu sana na raslimali zetu,Raila Odinga...niliona comments zake akisema maconservatives watajiunga baadae kama hawataki kuungana sasa.Yaani kama vile ni lazima.Huyu nampenda sana kwa aina ya uana siasa wake lakini kwenye hili suala la maslahi yetu anisamehe tu
 
Raila ni Bomu sana, kwa mtazamo wangu lakini.

tatizo la viongozi wetu nima communist, hawataki kuelewa wala kujadili mambo yaliyo bayana.Hili wala lilikuwa si lakujadili nikulitupia mbali tu acha akina liberal akina Raila waungane tuone.
 
Raila anataka kuja ku-achieve ambitions zake at the expense of Tanzanian's natural resources.Anajua pengine 2012 atakua Prezzo na najua na ambitions za mbali kuikimbiza Kenya kule nchi za malaysia,singapore,taiwan na South korea ziliko kwa kuchukua advantage ya watanzania kuungana nao blindly.Huu uzalendo wake kwa Kenya abaki nao and he's good for kenyans

Tena naona sasa Magufuli akigombea 2015 itakua hatari tena kwetu maanke ni swahiba wake na Raila sana,anaweza kutumiwa kutuingiza mkenge ingwa hata yeye namuona angalao ni patriotic

Mimi naona hata wizara yetu ya mambo ya nje sasa inahitaji mtu mzalendo na mjanja kweli kweli.Pia nimenotice kitu kuhusu vyama vya upinzani,wengi pia wanaogopa kuongea kwa uwazi kuhusu madhara ya hii jumuiya.Ukiona kitu kitakachonilazimu sasa kuunga mkono sera za CCJ ni hiki.Maslahi ya taifa,uzalendo na kiburi cha kujivunia mtanzania na kuchukia unyonyaji wa aina yoyote ile
 
why let you blood boil over stuff you cant control?

fact is, EAC will happen, kikwete WILL lead tanzanians to join the EAC (maybe against the will of tanzanians) and the same tanzanians WILL vote for kikwete again in the next elections.

it is sad but the fact is tanzanians lack the the balls and guts to stand up to their governement and that is why EAC will become a reality soon irrigardless of how much tanzanians are opposed to the EAC. AND YOU GUYZ KNOW THAT!!!
 
aaaawwww tanzanians mad over stuff they cant control is just pure comedy.

why let you blood boil over stuff you cant control?

fact is, EAC will happen, kikwete WILL lead tanzanians to join the EAC (maybe against the will of tanzanians) and the same tanzanians WILL vote for kikwete again in the next elections.

it is sad but the fact is tanzanians lack the the balls and guts to stand up to their governement and that is why EAC will become a reality soon irrigardless of how much tanzanians are opposed to the EAC.

Nomasana,

Just console yourself bro.

If the truth were to be told,it's like you have just jumped into discussion blindly.where are your guts?If your lame duck president can twist you left right and assume power under dubious circumstances and left Kikuyu's and luos butchering each other like fools?is this the kind of boldness are you talking about?

Dont be a prick,Watanzania hawatishwi wala kuwaogopa ninyi hata siku moja.tunajadili interst za taifa letu.Plz nenda kawaite akina nyarelego,smatta na Mnairobi ktk hii thread i knew hii thread lazima ikuwashe sana.Naona jinsi mnavyojadili Tanzania ktk forums zenu,mnaona wivu sana na Speed ya Tanzania kwenye maendeleo.Msijali sana buddy.Punguza jazba na uje hapa kwenye discussion ukiwa na moods poa
 
i do not need any consolation, i know EAC will happen and kikwete will lead you lot into the EAC and then you will vote for him again.
 
Kikuyus and Luos cant live in harmony,kalenjins and Kisiii are like cats and rats.Guys just sit down and harmonise your society.

Leo hii mnaangalia kwa tamaa resources za tanzania huku mkikosa guts za kuwafanya akina Kenyatta family,akina John Michuki,Njenga karume nk warudishe land yenu.Which guts are you talking about anyway?

wewe umeonyesha guts zipi Willium Ruto alivyouza mahindi na kuwaacha wenzako huko turkana wakifa njaa?au kwa kuwa wewe ni kalenjin basi huoni kosa?

Wewe ulionyesha guts zipi wakati prof.Sam ongeri alipowaibia hela ktk education ministry?au ni ukisii tu unakufanya uwe blind namna hiyo.

wewe ulikua wapi wakati Uhuru kenyatta alipoiba mabilioni na kusingizia computer error,au ukikuyu ulikufanya usione kosa?Vipi kuhusu akina Gideon moi na goldensberg scandal?

your selfishnes ,envy plus your tribal sentments will never lead you anywhere ndugu.Sit down and solve your domestic problems first.

That old mentality kwamba Tanzanians ni wapole,unaweza fanya anything itawapeleka pabaya.just rely on your goverment's old prapaganda against Tanzanians.mhh,i pity you!
 
Kuna mtu yeyote serikalini anayeangalia madhumuni ya Kenya kuamua kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa karibu kabisa na KIA?

Kwa wale ambao hawakuona, ni kwamba wiki mbili hivi zilizopita Balozi wa Kenya Tanzania alitangaza nchi yake itajenga kiwanja cha ndege cha kimataifa mpakani na Tanzania, kilomita 5 tu kutoka Holili. Huu ni mpango wa kuua KIA au imeonekana KIA imeshakufa, ni ya kuzika tu?
 
Moshi ,

Nashindwa kuelewa hii move ya Kenya ina lengo gani haswa. Viongozi wetu inabidi sasa waplay hard ball , tufikirie

kujenga airport ndani ya Serengeti karibu kabisa na Masai Mara. Kitu kingine kinachoshangaza na cha kujiuliza jee

EAC isingekuwepo hawa jamaa wangejenga hiyo airport ? Na kama EAC ndio chanzo cha kuua miji yetu na kuntima

watanzania ajira , je manufaa yake kwetu sisi ni nini?
 
Kuna mtu yeyote serikalini anayeangalia madhumuni ya Kenya kuamua kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa karibu kabisa na KIA?

Kwa wale ambao hawakuona, ni kwamba wiki mbili hivi zilizopita Balozi wa Kenya Tanzania alitangaza nchi yake itajenga kiwanja cha ndege cha kimataifa mpakani na Tanzania, kilomita 5 tu kutoka Holili. Huu ni mpango wa kuua KIA au imeonekana KIA imeshakufa, ni ya kuzika tu?

Majasusi wamelala...............
 
Mpaka sasa huu mjadala umepoteza mwelekeo, hatukufanikiwa na malengo yetu sio kwa sababu ya Kenya moja kwa moja. Unapokwenda ku negotiate haya mambo sisi wenyewe hatukua tumejiandaa vizuri. Kenya na nchi zingine msimamo wao unaeleweka. Sasa sisi lazima tuwe na hoja tija ili kuweza kushawishi wenzetu. Lakini kama kawaida tunachukulia mambo kirahisi kama nyumbani. Tanzania kama shida ilikua ni fedha kuangalia wawindaji haramu au to control population ya tembo, then kuna njia nyingi tu tungeweza kutumia. Tuliangalie hili jambo kwa makini na sio kulaumu Kenya kwa kasoro zetu wenyewe. Hatuwezi kutegemea kubebwa na watu wengine, ni sisi wenyewe na mataarisho yetu na uwezo wa kuvutia hoja zetu kimataifa.
 
Tanzania inabidi tuwe tough katika hii hatua.Hakuan haja ya kukaa nao meza moja saa hizi huku wao washatuumiza.Pia kwa sasa Tanzania inabidia kuichukulia Kenya hatua kali katika jambo lolote katika medani za kimataifa iwe katika hoja zenye maslahi kwa kenya kama UN,WTO nk. Pia nilipenda kwa mara ya kwanza msimamo alioonyesha shamsi Mwangunga coz alimpa live Dr.Wekesa wa Kenya kuwa wasitegemee TZ kuwaunga mkono katika jambo lolote huko Doha.

Pia Tz nasisi sijui kwa nini Delegates wetu walishindwa kuweka hoja nzito.Nakumbuaka hata kuhusu kuhifadhi nyaraka za Rwandan Genocide Kenya pia wametaka despite kuwa tanzania ndiyo waliotoa mchango mkubwa kwa operation ya kesi za Genocide ya rwanda.Nilifurahi jinsi ambassador wetu huko UN Dr.Mahiga alivyowagaragaza kwa hoja.These people are seriously selfish

Diplomacy isitumike vibaya,hata kama TZ itachukua hatua kali bado ni measures za kidiplomasia.We wont be fooled around tena

Selfish and Greed way to go. TZ bila kujifunza kua seriodly selfish and greed katika kulinda interest zake basi ni taifa la kufa tu. Tulikua na uwanja mweupe (win win) kufight kuuza hizo pembe, tumeshindwa tunaanza kutafuta visingizio. Kenya wana wajibu kulinda interest zao tu, na ndio njia bora kwa nchi yeyote. Kama kuuza pembe zetu nao wangefaidika directly na basi wangetuunga mkono. Kuuza pembe TZ, obviously poaching inaweza ongezeka Kenya hasa tokana na ujirani. Kila poacher wa Kenya atakua na kisingizio kua pembe zake zimetoka TZ.
 
These neighbours of ours are "Nyang'aus" and nothing but "Nyang'aus"
 
Back
Top Bottom