Kenya`s Stock Exchange Market is 22 times bigger than that of Tanzania.

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Kenya`s stock exchange market is the fifth-biggest stock exchange in Africa and the best in the region.
12544353_12543915jse2jpegdcf96a6bd081ab8147b43038f4c30778_jpeg9bbae5be38cb520c803975904ec790f5.jpg
 
Kwanza hii 22 times sijui inatokea wapi.
Pili hii taarifa ni 100% uongo, sidhani kama source makini zitashindwa kuandika Rwanda
Tatu, value ya DSE ilikuwa 20,000,000,000TZS by end of 2018 which is equivalent to 8B$ by end of 2018.
 
Sasa nipate million 500 niende nikanunue hisa wakati there are millions ideas za kufanya niingize millions without buying shares.
 
Data haziko Sawa
Value ya NMB Tu inazidi hiyo 1.8
Rwanda hana uchumi wa kuizidi Tz kwenye stock market..
 
Sasa nipate million 500 niende nikanunue hisa wakati there are millions ideas za kufanya niingize millions without buying shares.
No wonder you will always remain poor.
View attachment 1605984
25 million Kenyans sleeping hungry 😁😁😁

View attachment 1605986
25 million Kenyans sleeping hungry 😁😁😁

View attachment 1605986
25 million Kenyans sleeping hungry 😁😁😁

View attachment 1605986
Ukipata Kenya kwa hile list a World Bank unitag.
 
Back
Top Bottom