Kenya Receives 55,000 tonnes of Relief Food From China

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,913
2,000
June 18, 2017

Kenya Receives 55, 000 tonnes Relief Food From China
The government has received 55,000 tonnes of relief food from China, Devolution Cabinet Secretary Mwangi Kiunjuri has said.

The CS said the rice which is at the port of Mombasa will be distributed to counties facing acute food shortage.

"We have done clearance and exemptions have been provided. From next week, we will plan on how to supply the foodstuff to Kenyans who are facing food shortage due to famine," he said.

Mr Kiunjuri also warned businessmen against selling subsidised two-kilogramme packet of maize flour beyond the stipulated price of Sh90 and a one-kilogram packet at Sh47.

"We also want to ensure posho mills are getting enough maize supply to grind maize to ensure there is sufficient flour," said the CS.

POLITICSHe also took a swipe at National Super Alliance (Nasa) presidential flagbearer Raila Odinga claiming the ODM leader was inciting Kenyans.

Mr Kiunjuri said Mr Odinga's agenda was to castigate the government.

"You are desperate because you didn't have time to go and look for votes. Let those who are prepared go and vote in August," Mr Kiunjuri told Mr Odinga.

He added: "We will not postpone the election. I am in Mombasa to look at the status of drought situation and the ongoing Jubilee projects."

Mr Kiunjuri was speaking in a hall in Bamburi where he also called for the arrest of Mr Odinga saying it is time "his utterances are tamed."
Source: http://www.nation.co.ke/counties/mo...-from-China/1954178-3975768-i33kpl/index.html
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,913
2,000
June 18, 2017
Nairobi, Kenya

Raila Odinga alaumu Jubilee dhidi ya njaa Kenya

Source: KTN News Kenya
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,327
2,000
Poleni sana ndugu zetu Wakenya.

Tunamuomba Allah awaepushie janga la njaa.

Wale wa umri wangu watakumbuka janga la njaa lililitokumba Tanzania mpaka tukalishwa kwa mara ya kwanza kwa unga wa njano (Yanga) tulioletewa kama msaada na USA. Huo ulikuwa ni wakati wa marehemu Nyerere.

Ni heri yenu mmepata msaada wa mchele.
 
Apejiwe

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
284
250

Wakenya waangalie wasije wakalishwa mchele wa plastic!
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,145
2,000
Hali ni mbaya mbaya
Hahaha Uchumi mkubwaa
Mara oh! Watanzania wavivu!
Nyie msio wavivu vipi kupigania unga kg2 unawatoto 6+wewe+mke!!
Kazi mnayo
b515459a14cc09ddf05697f141155dab.jpg
 
Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,318
2,000
Poleni sana ndugu zetu Wakenya.

Tunamuomba Allah awaepushie janga la njaa.

Wale wa umri wangu watakumbuka janga la njaa lililitokumba Tanzania mpaka tukalishwa kwa mara ya kwanza kwa unga wa njano (Yanga) tulioletewa kama msaada na USA. Huo ulikuwa ni wakati wa marehemu Nyerere.

Ni heri yenu mmepata msaada wa mchele.

Umenikumbusha mbali sana na baa lile! Na yale mahindi yalipewa majina tofauti kulingana na maeneo! Kwa kweli njaa sio kitu kizuri! Ndo maana mijadala hii ya njaa huwa siishadadii maana athali yake raia wa kawaida ndo huumia
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Uo uhaba unaujua wewe tu mahindi yamefurika huku noma
Tanzania ni kubwa sana Aganza. Amini usiamini, mimi Mkenya, kamwe sijawaji kushuhidia ukosefu wa chakula, wstu wakiwa na njaa, haya ni mambo huwa naona tu kwenye viombo vya habari eti sehemu fulani Kenya kuna uhaba.

Nairobi chakula kingi tu. Huko kwetu Western kuna vyakila.

Lakini sipingi ukweli ya kwamba kuna maeneo hayana. Ni hivyo hivyo hapo Tanzania.

Wala viwavi jeshi kuikabili njaa | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
36,450

Hatupiganii unga sie tuna stock ya kutosha
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
36,450
2,000
Nyinyi, hali si nzuri hata hapo Tz. Kuna uhaba wa chakula kutokana na ukame. Tuache kuchekeleana.

Tanzania: 78% of People Affected By Food Shortages - Study
Shortage n hunger are two different things, on a scale usually starts shortage then comes hunger when government lacks food reserves to cushion her people from effects of drought. Drought also affected Tanzania just like the rest of EA bit believe me our stocks have had plenty of food to even feed Kenya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom