Kenya ranked third largest tourism economy in sub-saharan Africa.


Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
4,033
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
4,033 2,000
Kenya ranked third largest tourism economy in Sub-Saharan Africa

In Summary

• Over 2 million international arrivals last year with international tourists spending over Sh 157 billion in Kenya

•Travel and tourism supported 8.8 per cent of the nation’s GDP in 2018.[https://lh3]

Tourists arrive at Diani airstrip.

Kenya is currently the third largest tourism economy in Sub-Saharan Africa after South Africa and Nigeria, according to the Ministry of Tourism and Wildlife.

In a statement, the ministry said Last year, travel and tourism grew by 5.6 per cent to contribute Sh790 billion and 1.1 million jobs to the Kenyan economy.

This, it said beats the average global growth of 3.9 per cent and the Sub-Saharan Africa average of 3.3 per cent.With over two million international arrivals, international tourists spent over Sh 157 billion in Kenya last year, accounting for over 15 per cent of total exports. The largest inbound international markets were the USA, UK, India, China and Germany at 11, 9, 6, 4 and 4 per cent respectively.

Combined with domestic spending, travel and tourism supported 8.8 per cent of the nation’s GDP in 2018, an increase from about 3.7 per cent in 2017.

The ministry said close collaboration with private and institutional investors, conservation and regional development agencies has ensured the economic potential of the sector is prudently and sustainably managed.

Under the banner ‘Kenyans for wildlife and wildlife for Kenyans’, the ministry said it is focused on improving and modernising the country's wildlife conservation sector.

This, it said, has a direct impact on the tourism sector, of which 70 per cent is wildlife based.

“Travel and tourism is a sector which has proven to drive economic growth, create jobs and boost social inclusion,” president and CEO of World Travel and Tourism Council (WTTC), Gloria Guevara said.by FAITH NYASUGUTABusiness Reporter

Kenya

16 April 2019 - 05:00Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
2,655
Points
1,500
Iselamagazi

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
2,655 1,500
Duuh, Tanzania hatumo!
 
Sinister

Sinister

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
209
Points
250
Sinister

Sinister

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
209 250
Leta zako from a credible source! Usiseme tu ni cooked without backing your claims.
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
8,836
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
8,836 2,000
Hapa bongo tunadeal na high end tourists hata Obama alikuwa huku 2017 kula bata hebu hata ulizeni joto la jiwe ama @reedemer Geza Ulole nyinyi failed state hamuwezi tushinda kwa utalii.
 
vulcan

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
539
Points
1,000
vulcan

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
539 1,000
Leta zako from a credible source! Usiseme tu ni cooked without backing your claims.
Since the day the magufuli banned contradicting statistics from being published no one trusts any data from Tanzania.
Seriously even economic data from IMF,World Bank ,CIA differ..who is Magufuli to expect everyone to have same data.??
Blame your Supreme Leader, not me
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,800
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,800 2,000
Alafu kumbuka kwamba Kenya bado kuna tishio la ugaidi na Tz ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya na wana vivutio vingi vya utalii. Wavivu wamechanganyikiwa hawaitangazi nchi yao. Kazi kuiga na kuitizama Kenya. Hivi unajua kwamba ule wimbo wa 'Jambo Bwana' watz huwa wameuiga na wanautumia kuwakaribisha watalii kwenye mbuga zao? Ila sijui ile sehemu ya .....Kenya yetu, hakuna matata... huwa wanaifanyia remix ya aina gani. :D
 
vulcan

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
539
Points
1,000
vulcan

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
539 1,000
Alafu ukumbuke kwamba Kenya bado kuna tishio la ugaidi na Tz ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya na wana vivutio vingi vya utalii. Wavivu wamechanganyikiwa hawaitangazi nchi yao. Kazi kuiga na kuitizama Kenya. Hivi unajua kwamba ule wimbo wa 'Jambo Bwana' watz huwa wameuiga na wanautumia kuwakaribisha watalii kwenye mbuga zao? Ila sijui ile sehemu ya .....Kenya yetu hakuna matata... huwa wanaifanyia remix ya aina gani. :D
TZ is just operating at below their potential lakini instead of pulling up their socks wanaishi kulinganisha..
Niliiwaambia very soon tutakuwa tunalinganisha Dar na Mombasa.. Nairobi itakuwa league ingine.
 
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2006
Messages
1,492
Points
2,000
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2006
1,492 2,000
Wakenya huwa mnanishangaza sana. Pamoja na kujigamba kote huko bado nchi yenu ni miongoni mwa nchi maskini duniani.
Njaa kidogo tu imewapata mmeshindwa kabisa kuwapa chakula watu wenu...bado mnajisifu mmeendelea.

Tulizeni mikia chini muangalie nini cha kufanya kuboresha huduma huko mashinani na kuweka akiba ya chakula kwa tahadhari ya njaa, Acheni kujisifia ujinga.

Nyie jamaa hovyo kabisa!
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
4,033
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
4,033 2,000
Hahaha kumbe nakitusi na wewe in mkenya bana. So ungesema.
TZ is just operating at below their potential lakini instead of pulling up their socks wanaishi kulinganisha..
Niliiwaambia very soon tutakuwa tunalinganisha Dar na Mombasa.. Nairobi itakuwa league ingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
4,033
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
4,033 2,000
Tanzania is the poorest country in East Africa, take that to the bank.
Wakenya huwa mnanishangaza sana. Pamoja na kujigamba kote huko bado nchi yenu ni miongoni mwa nchi maskini duniani.
Njaa kidogo tu imewapata mmeshindwa kabisa kuwapa chakula watu wenu...bado mnajisifu mmeendelea.

Tulizeni mikia chini muangalie nini cha kufanya kuboresha huduma huko mashinani na kuweka akiba ya chakula kwa tahadhari ya njaa, Acheni kujisifia ujinga.

Nyie jamaa hovyo kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,933
Members 494,834
Posts 30,879,390
Top