Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

Una akili ndogo sana wewe dogo,hivi "mabilionea" Mbowe na Sugu kwanini hawajaenda Kenya?
Jibu nilichokuuliza wewe wacha akili za kunguni.

Mlikuwa mnakenua meno kwa jiwe kuharibu mahusiano kwa majirani zetu kila kukicha.

Leo hii mama kayarudisha mnajifyatua fyatua bila kuona aibu.
 
Mkuu wewe hujui Historia. Toka kipindi cha Kikwete walikuwa wanatutenga. Mheshimiwa Kikwete ni Shahidi wa hili. Wanatusumbua sana. Magufuli alipoona Watanzania wananyanyaswa akawa anawawashia Moto...
Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.

Yeye anayajua madhaifu yaliyokuwepo kwenye awamu ya 5 hivyo yupo sahihi kabisa kuwatia aibu nyinyi washika vipeperushi wa jiwe .
 
Mbunge wa Zamani wa Igunga na Tajiri na namba moja Tanzania in terms of (Cash in hand), Leo akiwa na mama Samia Kenya ameongea Mambo ya kuwagusa wakenya moja kwa moja na kuonyesha uzalendo uliotukuka kwa nchi yake Tanzania, amesema haya
1.uwekezaji Kati ya Tanzania na Kenya uwe wa usawa
2. Tanzania tunapeleka nyanya wao wanaleta finished goods
3. Wakenya walimkatalia kuwekeza bilioni 300 nchini mwao.
4. Uhusiano uwe kwa manufaa ya nchi zote sio tu kuinufaisha Kenya

Mbunge wa Zamani wa Igunga na Tajiri na namba moja Tanzania in terms of (Cash in hand), Leo akiwa na mama Samia Kenya ameongea Mambo ya kuwagusa wakenya moja kwa moja na kuonyesha uzalendo uliotukuka kwa nchi yake Tanzania, amesema haya..
Ebu tuelimishe kwanza ili tujue maana ya UZAREEENDOO.
 
Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.

Yeye anayajua madhaifu yaliyokuwepo kwenye awamu ya 5 hivyo yupo sahihi kabisa kuwatia aibu nyinyi washika vipeperushi wa jiwe .

Tunza hii kauli yako. Ndani ya miaka miwili haipiti, utasikia jambo la Wakenya kuhusu Tanzania. Mimi sipingani na Samia kwasababu anachokifanya ni kwa ajili ya Watanzania.

Nitapingana kwa yale ambayo naona hayana manufaa kwa Tanzania. Ninyi kwa Upambavu wenu, ujinga wenu, uzwazwa wenu na ukilaza wenu, umbumbu wenu, kila kitu mnamsingizia hayati.

Niulize Uganda kuzuiwa kuingiza Mahindi Kenya nayo ni sababu ya Hayati? Uganda kuzuiwa kupeleka Maziwa Kenya ni kwa sababu ya Hayati? Naweza kuwa nabishana na kajitu kasiko jielewa.

Angalia mambo kwa upana wake kama Mtanzania unayelipenda Taifa lako. Serikali si Taifa. Anza na Nchi yako. Majirani zetu wale inatakiwa tule nao kwa umakini.

Au nikukumbushe jambo, Kipindi Mheshimwa Jakaya Kikwete yupo Madarakani ilikuja Suala la Jumuiya ya Africa Mashariki ambapo walitaka Wananchi wawe huru kwenda kokote na kumiliki Ardhi.

Watanzania kwa akili moja walikataa na Wabunge wakakataaa kwa kauli moja kisa tunawaogopa Wakenya walivyo.

Mama yetu Samia atafanya anayoona yanafaa kwa Taifa letu. Ila tusijiachie nao hasa kufungua mipaka yetu eti waje kufanya ajira huku kwa wingi. Tutakuwa tumeisha.

Rostam kalalamika, anajua alivyoteswa. Kwasisi Watu Wazima tunajua hata ya Miaka ya 90 huko tuliyofanyiwa na Wakenya. Tusicheze ngoma ya Adui, tuwe na Tanzania yetu.
 
Tunza hii kauli yako. Ndani ya miaka miwili haipiti, utasikia jambo la Wakenya kuhusu Tanzania. Mimi sipingani na Samia kwasababu anachokifanya ni kwa ajili ya Watanzania...
Matusi hayawezi kufanya comment yako ikaeleweka. Jiwe aliharibu mahusiano yetu na majirani zetu huku nyinyi waramba miguu mkifurahia na kupongeza kama mazuzu.

Leo hii mama Samia kaamua kuondoa hii aibu. Mama Samia ni rais mwenye maono makubwa sana.

Nyie mnao mpinga mama yetu ni aibu kwenu leo baada ya mabaya yenu yanafutwa na rais mwenye busara.

Kama hamtaki hameni nendeni kwenu Rwanda.

Mtake msitake mama Samia ndiyo rais wa JMT na urafiki wetu na Kenya upo sana tena sana endeleeni kuumia tu.
 
Sema ulipata hasara wewe. Mtu makini hawezi kuanguka kwa utawala wa aina yoyote
Watu kama nyinyi ndio wale mliokuwa mnadanganywa kuwa matajiri wa Tanzania ni mafisadi.

Mkaambiwa kuwa matajiri wa Tanzania walikuwa wanaishi kama malaika nanyi mkaamini.

Kama wewe ni masikini kubali kuwa wewe ni masikini maana hata ukimchukia tajiri haitakusaidia kitu.
 
Mnadanganywa mnaosikiliza wanasiasa. Mimi maisha yangu hayawategemei wanasiasa, ndiyo maana mnakuwa walalamishi tu. Kulalamika ni dalili ya kushindwa. Pia sijawahi mchukia tajiri wala masikini, kwa sababu ndiyo maisha waliyochagua kuishi.
 
Kama tumeshindwa kuongeza thamani raw materials tulizonazo tuwaombe wakenya waje tujifunze kwao maana sisi tumejiweka dhaifu, hata mashamba ya maua kuna kipindi walikuja kulima Arusha yakawa na soko kweli wakati sisi tuliona maua nikwaajili ya nyuki tu...
Mkuu umeniacha hoi, maua kwa ajili ya nyuki ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aha
 
Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.

Yeye anayajua madhaifu yaliyokuwepo kwenye awamu ya 5 hivyo yupo sahihi kabisa kuwatia aibu nyinyi washika vipeperushi wa jiwe .
Na ugomvi na Kenya umeanza miaka ya 1960 huko. Halafu wao huwa waanzilishi. Utasikia wamezuia bidhaa fulani za TZ au UG kuingia kwao.
 
Na ugomvi na Kenya umeanza miaka ya 1960 huko. Halafu wao huwa waanzilishi. Utasikia wamezuia bidhaa fulani za TZ au UG kuingia kwao.
Mmeaibishwa sana na mama Samia kwa kufuta aibu mliokuwa mnaishabikia.

Kenya sasa wamefungua ushirikiano mpya mlio uharibu
 
Mnadanganywa mnaosikiliza wanasiasa. Mimi maisha yangu hayawategemei wanasiasa, ndiyo maana mnakuwa walalamishi tu. Kulalamika ni dalili ya kushindwa. Pia sijawahi mchukia tajiri wala masikini, kwa sababu ndiyo maisha waliyochagua kuishi.
Jiwe aliwaharibu sana akili zenu
 
Back
Top Bottom