Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,257
- 7,920
Kweli Mkuu Hamatan Mwendazake alikuwa anatupeleka shimoni. Ile ilikuwa ni ajaliNina imani, nchi yetu ipo kwenye njia sahihi baada ya kupotezwa kwa miaka mitano.
Tukazanie kujenga mifumo itakayozuia Taifa kuangukia kwenye uongozi wa watu wasio na uwezo. Mifumo iwezeshe, akitokea kiongozi wa hovyo, kuwe na utaratibu rahisi wa kumwondoa.
Fikirieni miaka mitano tuliyokosa uongozi sahihi, hasara kubwa tuliyoipata kwa sekta mbalimbali. Na ikumbukwe kulikuwa na hatari ya nchi kuburutwa kwa miaka kumi, na pengine zaidi.