Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 294
- 264
KaribuMungu akinipa afya njema baada ya mwaka mmoja nitakuwa mmojawapo kwenda kufanya biashara kwa uhuru
KaribuMungu akinipa afya njema baada ya mwaka mmoja nitakuwa mmojawapo kwenda kufanya biashara kwa uhuru
Jibu nilichokuuliza wewe wacha akili za kunguni.Una akili ndogo sana wewe dogo,hivi "mabilionea" Mbowe na Sugu kwanini hawajaenda Kenya?
Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.Mkuu wewe hujui Historia. Toka kipindi cha Kikwete walikuwa wanatutenga. Mheshimiwa Kikwete ni Shahidi wa hili. Wanatusumbua sana. Magufuli alipoona Watanzania wananyanyaswa akawa anawawashia Moto...
Alikua dikteta, tyrants, katili, mwenye roho mbaya na muuaji.Hayati alijenga mazingira wezeshi ya ukuzaji wa biashara. Kufufua reli iliyokufa zaidi ya miaka 25 ni ujenzi wa mazingira ya usafirishaji ambayo ni nyenzo muhimu kibiashara....
Ebu tuelimishe kwanza ili tujue maana ya UZAREEENDOO.Mbunge wa Zamani wa Igunga na Tajiri na namba moja Tanzania in terms of (Cash in hand), Leo akiwa na mama Samia Kenya ameongea Mambo ya kuwagusa wakenya moja kwa moja na kuonyesha uzalendo uliotukuka kwa nchi yake Tanzania, amesema haya..
Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.
Yeye anayajua madhaifu yaliyokuwepo kwenye awamu ya 5 hivyo yupo sahihi kabisa kuwatia aibu nyinyi washika vipeperushi wa jiwe .
Matusi hayawezi kufanya comment yako ikaeleweka. Jiwe aliharibu mahusiano yetu na majirani zetu huku nyinyi waramba miguu mkifurahia na kupongeza kama mazuzu.Tunza hii kauli yako. Ndani ya miaka miwili haipiti, utasikia jambo la Wakenya kuhusu Tanzania. Mimi sipingani na Samia kwasababu anachokifanya ni kwa ajili ya Watanzania...
Watu kama nyinyi ndio wale mliokuwa mnadanganywa kuwa matajiri wa Tanzania ni mafisadi.Sema ulipata hasara wewe. Mtu makini hawezi kuanguka kwa utawala wa aina yoyote
PatriotismEbu tuelimishe kwanza ili tujue maana ya UZAREEENDOO.
Mnadanganywa mnaosikiliza wanasiasa. Mimi maisha yangu hayawategemei wanasiasa, ndiyo maana mnakuwa walalamishi tu. Kulalamika ni dalili ya kushindwa. Pia sijawahi mchukia tajiri wala masikini, kwa sababu ndiyo maisha waliyochagua kuishi.Watu kama nyinyi ndio wale mliokuwa mnadanganywa kuwa matajiri wa Tanzania ni mafisadi.
Mkaambiwa kuwa matajiri wa Tanzania walikuwa wanaishi kama malaika nanyi mkaamini.
Kama wewe ni masikini kubali kuwa wewe ni masikini maana hata ukimchukia tajiri haitakusaidia kitu.
Mkuu umeniacha hoi, maua kwa ajili ya nyuki ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ahaKama tumeshindwa kuongeza thamani raw materials tulizonazo tuwaombe wakenya waje tujifunze kwao maana sisi tumejiweka dhaifu, hata mashamba ya maua kuna kipindi walikuja kulima Arusha yakawa na soko kweli wakati sisi tuliona maua nikwaajili ya nyuki tu...
Na ugomvi na Kenya umeanza miaka ya 1960 huko. Halafu wao huwa waanzilishi. Utasikia wamezuia bidhaa fulani za TZ au UG kuingia kwao.Sasa hivi ndiyo kipindi chenu cha kujidharau sana baada ya mama Samia rais wa awamu ya 6 kuamua kurudisha mahusiano yetu na majirani zetu.
Yeye anayajua madhaifu yaliyokuwepo kwenye awamu ya 5 hivyo yupo sahihi kabisa kuwatia aibu nyinyi washika vipeperushi wa jiwe .
Mmeaibishwa sana na mama Samia kwa kufuta aibu mliokuwa mnaishabikia.Na ugomvi na Kenya umeanza miaka ya 1960 huko. Halafu wao huwa waanzilishi. Utasikia wamezuia bidhaa fulani za TZ au UG kuingia kwao.
What is sensible to you?Nonsense😎
Jiwe aliwaharibu sana akili zenuMnadanganywa mnaosikiliza wanasiasa. Mimi maisha yangu hayawategemei wanasiasa, ndiyo maana mnakuwa walalamishi tu. Kulalamika ni dalili ya kushindwa. Pia sijawahi mchukia tajiri wala masikini, kwa sababu ndiyo maisha waliyochagua kuishi.
Mama Samia ndiye rais wa JMT mtake msitake.Na ugomvi na Kenya umeanza miaka ya 1960 huko. Halafu wao huwa waanzilishi. Utasikia wamezuia bidhaa fulani za TZ au UG kuingia kwao.