Kenya ni moja ya wawekezaji wakubwa Tanzania ukitoa India, Uingereza na Afrika kusini, serekali msituvurugie biashara.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,031
Wakuu.
Kwenye top five investors wa Tanzania wakenya wapo, naomba mahusiano yetu kibiashara yaimarishwe kwani umuhimu wa kenya na tanzania kwenye biashara ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote afrika mashariki, kenya ndio watu tunaofanya nao biashara za uhakika hivo diplomasia itumike na sio mabavu.
 
Jamaa anavunja uhusiano na kenya anaimarisha uhusiano na Uganda, bora apatikane mfanya biashara na mchumi aendeshee hii nchi....
 
Uganda wanafanya biashara na Congo na sudani kusini sisi hatuna biashara nao kubwa kivile
 
Hapa hakuna mtu sahihi wakumpa hizi habari zaidi ya mkuu wa nchi au mwenyekiti wa ccm!
 
Wakuu.
Kwenye top five investors wa Tanzania wakenya wapo, naomba mahusiano yetu kibiashara yaimarishwe kwani umuhimu wa kenya na tanzania kwenye biashara ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote afrika mashariki, kenya ndio watu tunaofanya nao biashara za uhakika hivo diplomasia itumike na sio mabavu.
Uwekezaji wowote ule hufanywa pahala ambapo pana biashara na inalipa na mazingira yanajitosheleza.
Hivyo Kenya kuwekeza Tanzania siyo hisani na wala haiyumkiniki kuregeza sheria za nchi kuchelea wawekezaji hao kuondoka/kukasirika.
 
Swala la uwekezaji ni tofauti na kuingiza mifugo kinyume utaratibu na wakiingia tena wakatwe sanaa hadi tuheshimiane
 
Afadhali wa-Kenya wana roho ya huruma na upendo, wa-Ganda wanavutia kwao.
 
Swala la uwekezaji ni tofauti na kuingiza mifugo kinyume utaratibu na wakiingia tena wakatwe sanaa hadi tuheshimiane
Ndugu yangu hawa wafugaji ni watu wa kuhama hama sana huwez zuia mfugaji asihame kutafuta malisho ukiiishi Dar es salaam huwezi elewa hili.

Nimekaa na jamii za kifugaji sana hakuna watu wanapendana kawa hawa kuna mahali nliishi kuna mwezi ukifika huwezi kuta vijana wa kifugaji mtaani wameenda kenya na mifugo kutafuta Majani na mawe ya chumvi kwa ajili ya mifugo yao

Ni hizi wilaya za jirani na mipakani kulikua na vikao vya ujirani mwema mfano wilaya toka Kenya zinakutana na wilay toka Tanzania nafikiri vitu vya msingi walikua wakiongea ni pamoja na haya.

Halafu wewe unakuja kukata mifugo au kuua mifugo ya watu yule ni ngombe tu anaelekezwa wa kudili naye ni yule mchungaji mifugo haina hatia.

Sema wengine tu wavivu kuandika humu i happened to watch K24 television Kenyans are very serious about this issue
One of the topic is Kenyan Tanzania Row and East African broken?
They discuss about destruction of their products,bussiness at Namanga border,kwa kifupi waliongelea mambo mengi negative about Us.

Njoo mipakani utajua mtoa mada anaekezea nini watu wanalia leo Mbaazi,choroko hazina soko,Vitunguu,Ngwara wakulima wanalia.

Sikatai all people are equal under the law lakin mambo mengine yanahitaji diplomasia tu na maisha yaendelee.
 
Ninakumbuka zile enzi za miezi 18 ya kufunga mikanda, jamii ya wafugaji ilituokoa kweli. Walikuwa wanavuka mpaka na vitu kama sabuni imperial leather, colget, close up, blue band bila kusahau khanga.
 
Ndugu yangu hawa wafugaji ni watu wa kuhama hama sana huwez zuia mfugaji asihame kutafuta malisho ukiiishi Dar es salaam huwezi elewa hili.

Nimekaa na jamii za kifugaji sana hakuna watu wanapendana kawa hawa kuna mahali nliishi kuna mwezi ukifika huwezi kuta vijana wa kifugaji mtaani wameenda kenya na mifugo kutafuta Majani na mawe ya chumvi kwa ajili ya mifugo yao

Ni hizi wilaya za jirani na mipakani kulikua na vikao vya ujirani mwema mfano wilaya toka Kenya zinakutana na wilay toka Tanzania nafikiri vitu vya msingi walikua wakiongea ni pamoja na haya.

Halafu wewe unakuja kukata mifugo au kuua mifugo ya watu yule ni ngombe tu anaelekezwa wa kudili naye ni yule mchungaji mifugo haina hatia.

Sema wengine tu wavivu kuandika humu i happened to watch K24 television Kenyans are very serious about this issue
One of the topic is Kenyan Tanzania Row and East African broken?
They discuss about destruction of their products,bussiness at Namanga border,kwa kifupi waliongelea mambo mengi negative about Us.

Njoo mipakani utajua mtoa mada anaekezea nini watu wanalia leo Mbaazi,choroko hazina soko,Vitunguu,Ngwara wakulima wanalia.

Sikatai all people are equal under the law lakin mambo mengine yanahitaji diplomasia tu na maisha yaendelee.
mbaya zaidi wanakamata wanawaacha hapo hapo wanajifia, nimeona HK akitembelea baadhi ya sehemu na kukuta ng'ombe waliokufa na waliohai wakiwa zizi 1, hivi mwenye ng'ombe anakuonaje unavyomfanyia hivyo, kama wewe sio mfugaji huwezi elewa uchungu wa kuibiwa au kuchukuliwa mifugo yako, unadhani katoil vipi huyu kuanzia ndama mpaka ng'ombe kufika pale, babu yangu alianza kununua ng'ombe wake wa kwanza mwaka 1936 mpaka sie tunazaliwa ile chain ya wale ng'ombe ipo mpaka leo, inauma sana mkuu, sasa kama huyu tangu 1936 anahudumia ng'ombe wake wewe unakuja 2017 ati kuja kuwachukua na kuwaangamiza wale ng'ombe aisee, daah, haya tutafika
 
Back
Top Bottom