Kenya nchi ya Kibepari, Tanzania nchi ya Kijamaa

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,656
59,718
Kumekuwa na msigano wa hapa na pale kati ya nchi hizi mbili. Leo ninataka kuongelea misingi mikuu ya nchi hizi.
Nchi ya kenya ni nchi ya kibepari. Na ubepari msingi wake mkubwa ni mtaji. Kwamba mwenye mtaji ndiye anamilki kila kitu.

Ubepari umejikita sana katika unyonyaji, kwamba mtu mwenye mali anatumia mali zake kulimbikiza na kuwa na watumwa wengi. Kanuni kubwa kabisa ya ubepari ni kumfanya mtumwa azidi kuwa mtumwa.

Sasa basi Ubepari uliletwa na Nchi za kibeberu. Mmoja anaweza kuniuliza ubeberu ni nini. Ubeberu ni nchi moja au zaidi ya moja kuungana ili kuzikandamiza nchi zingine. Nchi nyingi za magharibi zinatumia mbinu hii ili kuendelea kuzikandamiza nchi za kiafrika.

Sasa basi ubepari wa nchi ya kenya ni mwendelezo wa nchi za kibeberu kuendeleza kuzikandamiza nchi za kiafrika huku zikitoa artificial development kwa wakenya. Kundi la watu wachache ndani ya nchi linapewa kipaumbele na kundi kubwa linabaki kuwa maskini.

Kwa upande wa UJAMAA. Ujamaa ni udugu. Lengo la ujamaa ni kuondoa matabaka katika jamii. Kuwafanya watu wote wafurahie maisha ya dunia. Kuachana na umimi.

Hapa ndipo utaona tofauti ya Kenya na Tanzania. Kenya ikiwa na umimi mwingi huku Tanzania raia wake wote wanajiona kuwa ni ndugu.

KARIBUNI.
 
Mwalimu nyerere aling'atuka madarakani mwaka gani vile mtoa mada?

Azimio la arusha vipi lipo hai?
 
Tanzania si nci ya kijamaa wacha ujinga!
Sasa wewe ndo mjinga jibu swali hapo kwanza nimejishushia heshima yangu kuchangia kwenye huuu uharo maana wengi wanauchungulia na kusepa hamna kitu hapa
 
Kumekuwa na msigano wa hapa na pale kati ya nchi hizi mbili. Leo ninataka kuongelea misingi mikuu ya nchi hizi.
Nchi ya kenya ni nchi ya kibepari. Na ubepari msingi wake mkubwa ni mtaji. Kwamba mwenye mtaji ndiye anamilki kila kitu.

Ubepari umejikita sana katika unyonyaji, kwamba mtu mwenye mali anatumia mali zake kulimbikiza na kuwa na watumwa wengi. Kanuni kubwa kabisa ya ubepari ni kumfanya mtumwa azidi kuwa mtumwa.

Sasa basi Ubepari uliletwa na Nchi za kibeberu. Mmoja anaweza kuniuliza ubeberu ni nini. Ubeberu ni nchi moja au zaidi ya moja kuungana ili kuzikandamiza nchi zingine. Nchi nyingi za magharibi zinatumia mbinu hii ili kuendelea kuzikandamiza nchi za kiafrika.

Sasa basi ubepari wa nchi ya kenya ni mwendelezo wa nchi za kibeberu kuendeleza kuzikandamiza nchi za kiafrika huku zikitoa artificial development kwa wakenya. Kundi la watu wachache ndani ya nchi linapewa kipaumbele na kundi kubwa linabaki kuwa maskini.

Kwa upande wa UJAMAA. Ujamaa ni udugu. Lengo la ujamaa ni kuondoa matabaka katika jamii. Kuwafanya watu wote wafurahie maisha ya dunia. Kuachana na umimi.

Hapa ndipo utaona tofauti ya Kenya na Tanzania. Kenya ikiwa na umimi mwingi huku Tanzania raia wake wote wanajiona kuwa ni ndugu.

KARIBUNI.
Nkuunga mkon asilimia mia,, hii hata ningekua mkenya ningekuunga mkono,,huu ni ukweli usio fichika

GDP ya kenya ni ya watu wachache sana yaani sana,,,,
 
Sisi tuko kwenye SOCIOLISTIC MARKET ECONOMY. This is Chinese Techniques. The Market Economy with, a high measure of freedom but graduated and regurated.
 
Back
Top Bottom