Kenya na Uganda zina Sheria ya Ulinzi wa Data, Tanzania tunakwama wapi?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
1582014813274.png

Nchi ya Kenya ilipitisha Sheria ya #UlinziWaData tangu Novemba 12, 2019 huku Uganda pia wakipitisha Sheria hiyo mwaka huo huo wa 2019

Nchi hizi ziliandaa na kupitisha Sheria hii ikiwa ni hatua ya kuhakikisha Mataifa na Wananchi wao wanapata haki ya Faragha na Ulinzi wa Data

Mpaka sasa Tanzania bado haina Sheria mahususi kwa ajili ya #UlinziWaData ingawa zipo tetesi kuwa Serikali imeandaa Muswada wa Sheria hiyo utakaowasilishwa Bungeni kwa ajili ya kujadiliwa

Sheria hii itasaidia kuweka muongozo wa namna taarifa za watu zitakuwa Zikikusanywa, Kutunzwa na Kutumika

======

In East Africa, countries have only just awoken to that need and are heading in the same direction.

Uganda and Kenya already have draft Bills on privacy and data protection. Tanzania does not yet have a specific law, and there are reports that the Government is drafting a Bill to be tabled before the Parliament for discussion, but it is not yet clear when it will be published.

As such, the existing privacy and data protection requirements in Tanzania are to be found to varying degrees in various pieces of legislation in different sectors. This includes those relating to privileged information obtained through relationships such as doctor-patient, banker-customer, electronic service licensee-customer, and employer-employee interaction.

The bulk of the existing regulations on privacy and data protection are found in the banking, electronic and telecommunications sectors. The focus of this article is on data protection requirements in electronics and telecommunications. Regulations in the banking sector are dealt with in a separate article.

Bowmans - The Value of Knowing
 
Sasa hio "SECURITY YA DATA" itawezekana vipi Tanzania, wakati viongozi wakuu wenyewe wanaishi kwa "INSECURITY" ya hali ya juu.

Mizizi ya "PRIVACY NA SECURITY" inaasisiwa na "INNER SELF SECURITY" ya kiongozi mkuu. Kama kiongizi ana insecurity ndani ya nafsi yake basi kila kinachofanyika anakua na mashaka nacho na anakua anataka kujua kinachoendelea. Na ndio maana kiongozi anathubutu mpaka kusema kuwaambia mawaziri/naibu waziri "hua nawasikilizaga mkiongea kwenye simu zenu usiku" kwasababu ya "LACK OF INNER SECURITY".

Ili "PRIVACY NA SECURITY" iwepo basi lazima uongozi kuanzia ngazi za juu ubadilishwe (sio ubadilike).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom