Kenya na Burundi kuingia kwenye mkataba na EU

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,357
Kenya and Burundi are set to sign an agreement that will see them sell agricultural products to Europe duty-free.
The deal will be signed next week after a Sectoral Council of Trade, Industry, Finance and Investment by the region's countries.

A meeting of ministers responsible for East African affairs met on June 30 and proposed the agreement be signed on July 18.

All four partner states, except Tanzania, agreed to sign the agreement.

The decision by Tanzania not to sign the deal leaves the region, and specifically Kenya, at a great risk of losing revenue when exporting goods to the European Union.

"In the event we fail to sign the Economic Partnership Agreement (EPAs) as a bloc, all EAC partner states stand to lose generous market access terms negotiated under the EU market," said Deputy President William Ruto.

Ruto, who spoke after meeting Burundi President Pierre Nkurunziza in Bujumbura Tuesday, termed the deal a chance to increase trade.
Standard Digital Mobile

Search...

Business News
Home Business News
Kenya to sign EU exports deal with Burundi
By DPPS | Wednesday, Jul 13th 2016 at 22:52
Share this story:
Share on Facebook Share on Twitter Share on Linkedin Share on Google Plus Share on WhatsApp

READ MORE

EU launches instruments to boost investments in start-ups, urban development
Brexit costs fruit exporters Sh8m a day as Pound hit
Britain's EU exit will not affect tourism at Coast, hoteliers say

Hilo jambo ni interesting sana kwa maana nijuavyo mimi EU kupitia EPA wanaingia makubalinao na trading blocks, yaani hapa ni Jumuiya yote ya AM, utekelezaji wake utakuwaje? Kwa maana EPA maana yake kama bidhaa ktk EU ikiingia Kenya ina maana bidhaa hiyo hiyo inapaswa/inaweza kuja TZ bila ya kulipiwa kodi, sasa hili litawezekana vipi kama TZ haijasaini?

Kenya kama wangekuwa na akili wasitake kulazimisha hili jambo huko mbele wataumia sana, hapa wanaowasukuma ni hao wakulima wa Maua ambao kesho ardhi ya Kenya ikichoka watahama na kuja TZ au sehemu nyingine kama walivyofanya Wakulima wa Chai leo hii wote wameondoka Kericho na kukimbilia Mufindi Bonde la ufa la TZ, lkn mkataba wao na EU utakuwa bado upo na mwishowe watajikuta hawana cha kuuza EU, namshangaa Raisi Uhuru Kenya kushabikia hili wkt ukweli ni kwamba maziwa yake ya brookside hawezi kuuza EU kwani EU wana over supply ya maziwa na isitoshe Wafugaji na Wakulima wao wanalipwa fedha na EU, hivyo EU wata flood Kenya na maziwa cheap kama au kuliko Brookside with better packaging ...
 
hatasaidia chochote, TZ ndo tuna maamuzi namna EA inatakiwa kufanya.tukisema NOO, hakuna nyau wa kubisha.
Very interesting. What are the reasons for saying no? Saying no means everybody in the region loses including TZ.
 
Hilo jambo ni interesting sana kwa maana nijuavyo mimi EU kupitia EPA wanaingia makubalinao na trading blocks, yaani hapa ni Jumuiya yote ya AM, na isitoshe utekelezaji wake utakuwaje? Kwa maana EPA maana yake kama bidhaa ktk EU ikiingia Kenya ina maana bidhaa hiyo hiyo inapaswa/inaweza kuja TZ bila ya kulipiwa kodi, sasa hili litawezekana vipi kama TZ haijasaini?

Kenya kama wangekuwa na akili wasitake kulazimisha hili jambo huko mbele wataumia sana, hapa wanaowasukuma ni hao wakulima wa Maua ambao kesho ardhi ya Kenya ikichoka watahama na kuja TZ au sehemu nyingine kama walivyofanya Wakulima wa Chai leo hii wote wameondoka Kericho na kukimbilia Mufindi Bonde la ufa la TZ, lkn mkataba wao na EU utakuwa bado upo na mwishowe watajikuta hawana cha kuuza EU, namshangaa Raisi Uhuru Kenya kushabikia hili wkt ukweli ni kwamba maziwa yake ya brookside hawezi kuuza EU kwani EU wana over supply ya maziwa na isitoshe Wafugaji na Wakulima wao wanalipwa fedha na EU, hivyo EU wata flood Kenya na maziwa cheap kama au kuliko Brookside with better packaging ...

Ndio maana Tanzania kwa CCM hamtatoka. Tena msubiri miaka ingine kumi ya kuisoma namba.
 
Very interesting. What are the reasons for saying no? Saying no means everybody in the region loses including TZ.

..listen to what Mzee Mkapa is saying here.

..may be it will shade a light into why Tz opted not to sign the agreement.

..and it seems Tanzania, for quite sometime, has been against epa.

..Kenyans should have seen this coming, na siyo kuanza kuzungumza kama hili ni jambo la kushtukiza.

cc Geza Ulole , MK254, MOTOCHINI
 
Very interesting. What are the reasons for saying no? Saying no means everybody in the region loses including TZ.

TZ tunalose nini kwa kusema no? Kumbuka TZ tayari tuna access na EU market tax free kwa kila kitu isipokuwa fire arms, sasa unaposema tutalose unamaanisha nini?
 
Barbarosa,

..hao wakenya wana mcheche tu.

..wanaweza kulima maua lakini wakaya-export kama yametoka Tanzania.

..mbona kuna matunda yanalimwa Tanzania lakini yanakuwa exported kama produce za Kenya?

..we can do the same with with flowers and other products. sioni tatizo lolote kwa kweli.

cc Koborer, MK254, Geza Ulole
 
Ni wajinga kwa maana hawaelewi EPA maana yake nini , labda wasichokifahamu ni kwamba ni lazima Kenya wafungue 80% ya market yao kwa EU products tax free, ina maana Kenya inapaswa ishindane na nchi kama Ujerumani, Ufaransa au Holland sasa Kenya wataexport nini tena EU kufikidia hilo pengo? Kwani maziwa ya Uhuru Kenya hawezi kuyauza EU kwa sababu EU wana maziwa mpaka wanamwaga!
 
Ndio maana Tanzania kwa CCM hamtatoka. Tena msubiri miaka ingine kumi ya kuisoma namba.
Ninyi mmetoka kivipi?
Muache majungu yakitoto

Kama wewe huwa mkosoaji ulie jivika tambaa machoni.

Nimajuzi hapa wewe na @samuel999
Mlikuja na mada ya Ethiopia
Mkaanza kutukejeli sie na Rwanda,
Kwamba mnafanya mambo na wenye uchumi mkubwa sio Rwanda.

Leo mmeiona Burundi wakusaidiana kukuza uchumi

Kila jirani atawachoka na Mijisifa yenu
 
Ni wajinga kwa maana hawaelewi EPA maana yake nini , labda wasichokifahamu ni kwamba ni lazima Kenya wafungue 80% ya market yao kwa EU products tax free, ina maana Kenya inapaswa ishindane na nchi kama Ujerumani, Ufaransa au Holland sasa Kenya wataexport nini tena EU kufikidia hilo pengo? Kwani maziwa ya Uhuru Kenya hawezi kuyauza EU kwa sababu EU wana maziwa mpaka wanamwaga!

Maua wao wameona ndio kilakitu
Hahaha wanategemea zao moja kama taa ya Treni
Kuingia EU!!
Leo wanatuona Watanzania hatuja soma
 
Barbarosa,

..hao wakenya wana mcheche tu.

..wanaweza kulima maua lakini wakaya-export kama yametoka Tanzania.

..mbona kuna matunda yanalimwa Tanzania lakini yanakuwa exported kama produce za Kenya?

..we can do the same with with flowers and other products. sioni tatizo lolote kwa kweli.

cc Koborer, MK254, Geza Ulole

Wazungu sie wajinga kiivyo
Kutegemea hilo itakuwa tatizo kama Taifa.
Huwezi sign mpango mkubwa namna hiyo
Kwa kutegemea kufanya ujanja no.

Tujiulize tofauti na Maua Kenya kuna lipi
 
Ndio maana Tanzania kwa CCM hamtatoka. Tena msubiri miaka ingine kumi ya kuisoma namba.
Tafutateni utulivu nchini kwenu mkiupata mje tuzungumze nchi yenu inanuka shida hapa mnapiga domo tu shida zmewakaa mpaka makwapani.Kuthibitisha shida zilivyowakaba angalia machinga wa Kenya walivyojaa Tz kungekuwa na neema kwenu huku mngefuata nn ?
 
Barbarosa,

..hao wakenya wana mcheche tu.

..wanaweza kulima maua lakini wakaya-export kama yametoka Tanzania.

..mbona kuna matunda yanalimwa Tanzania lakini yanakuwa exported kama produce za Kenya?

..we can do the same with with flowers and other products. sioni tatizo lolote kwa kweli.

cc Koborer, MK254, Geza Ulole

Kwa njia moja au nyingine, lazima tutajikuta kwenye ushindani ndani ya hii dunia, haya mambo ya kuogopa ogopa, eti tufunge hapa, tufungue pale, tuzuie hawa, tufungulie wale hayatatufikisha mahali.

Leo hii nipo kwenye mradi fulani na wadau kutokea Mauritius, jamaa wananisimulia jinsi nchi yao imepiga hatua kwa kutozuia zuia.
Afrika yetu hii, tuache uvivu na ujinga, tukumbatie ushindani. Bongo bado inaliwa na kutafunwa pamoja na kwamba mnazuia zuia na kufunga funga.
 
Kenya and Burundi are set to sign an agreement that will see them sell agricultural products to Europe duty-free.
The deal will be signed next week after a Sectoral Council of Trade, Industry, Finance and Investment by the region's countries.

A meeting of ministers responsible for East African affairs met on June 30 and proposed the agreement be signed on July 18.

All four partner states, except Tanzania, agreed to sign the agreement.

The decision by Tanzania not to sign the deal leaves the region, and specifically Kenya, at a great risk of losing revenue when exporting goods to the European Union.

"In the event we fail to sign the Economic Partnership Agreement (EPAs) as a bloc, all EAC partner states stand to lose generous market access terms negotiated under the EU market," said Deputy President William Ruto.

Ruto, who spoke after meeting Burundi President Pierre Nkurunziza in Bujumbura Tuesday, termed the deal a chance to increase trade.
Standard Digital Mobile

Search...

Business News
Home Business News
Kenya to sign EU exports deal with Burundi
By DPPS | Wednesday, Jul 13th 2016 at 22:52
Share this story:
Share on Facebook Share on Twitter Share on Linkedin Share on Google Plus Share on WhatsApp

Kenya and Burundi are set to sign an agreement that will see them sell agricultural products to Europe duty-free.

The deal will be signed next week after a Sectoral Council of Trade, Industry, Finance and Investment by the region's countries.

A meeting of ministers responsible for East African affairs met on June 30 and proposed the agreement be signed on July 18.

All four partner states, except Tanzania, agreed to sign the agreement.

READ MORE

EU launches instruments to boost investments in start-ups, urban development
Brexit costs fruit exporters Sh8m a day as Pound hit
Britain's EU exit will not affect tourism at Coast, hoteliers say
Kenya to sign EU exports deal with Burundi

Interesting....
Na vile mnasemaga ug + Rwanda + Burundi combined = ??
 
Back
Top Bottom