Kenya: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu apigwa risasi baada ya kuingia Ikulu ya Nairobi kinyume cha sheria

M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
924
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
924 1,000
Walinzi wa Ikulu nao wazembe mtu kachomoa kisu unampiga risasi? Hao walinzi wazembe.
Hata mm nimeshangaa sana.
Yale maonyesho yao ya karate wanayoonyeshaga kwenye uwanja wa Taifa siku za maazimisho kwa Nini wasitumie mahala Kama hapo wamdhibiti?
Badala yake wanamfyatulia risasi kijana mdogo Kama yule hata maisha hayajui.
 
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
1,701
Points
2,000
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
1,701 2,000
Hata mm nimeshangaa sana.
Yale maonyesho yao ya karate wanayoonyeshaga kwenye uwanja wa Taifa siku za maazimisho kwa Nini wasitumie mahala Kama hapo wamdhibiti?
Badala yake wanamfyatulia risasi kijana mdogo Kama yule hata maisha hayajui.
Ni wa ajabu sana! Walinzi wengine wangesimama kwa nyuma ili kumlinda wa mbele ambaye angepambana naye kumpora kisu na kumdhibiti.

Wale wa nyuma wangebaki wameshika silaha kwa kumlinda mwenzao ambaye angemfuata huyo kijana pamoja na wao na ndiyo kulinda ikulu.

Siyo kila mahali unafyatua tu.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
924
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
924 1,000
Tofauti ua huyo na jambazi ni ipi maana alikuwa na silaha pia na akaparamia ukuta
Jambazi huwa haruki ukuta kizembe vile halaf umuone waziwazi.
Jambazi hadi umpate ujue ameshamimina risasi za kutosha na lazima afe na watu angalau watatu.
Jambazi hawez kuja kirahisi na kisu halaf akionyeshe waziwazi.
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
3,108
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
3,108 2,000
Jambazi huwa haruki ukuta kizembe vile halaf umuone waziwazi.
Jambazi hadi umpate ujue ameshamimina risasi za kutosha na lazima afe na watu angalau watatu.
Jambazi hawez kuja kirahisi na kisu halaf akionyeshe waziwazi.
Sawa lakini vip kama angefanikiwa kuingia ndani unahisi angefanya nini?
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,572
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,572 2,000
Kenya mna raha wallahi. Mnaingia ikulu na visu mnaishia kupigwa moja ya bega?

Bongo ukipita pita tu mitaa yenye maandamano risasi ya kichwa inakufuata kwenye daladala.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,037
Points
2,000
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,037 2,000
Sio kumlenga raia asiye na nguvu ila ni kumlenga adui wa kivita au jambazi.
Wewe unamtetea baada ya kupata full story kuwa ni kijana ambae anasoma na inawezekana ni msongo wa mawazo unamsumbua. Ila kwa wakati huo askari wameshtuka mtu amesharuka ukuta halafu baada ya kumwambia ajisalimishe anachomoa bisu! Hapo askari walikua sahihi kabisa. Zingatia matukio ya kigaidi yaliyotokea Kenya lately huwezi jua tofauti na kisu anaweza akawa na silaha gani nyingine. Ata kama angekuwa na bakora ila kitendo cha kuto kutii amri kutoka kwa askari mwenye bunduki hiyo ni ishara kwamba amejipanga kwa lolote. Kosa kama hiyo risasi wange mlenga sehemu ya kumaliza. Ila best scenario wange amrisha mbwa waka mzingue then wao wakafuata baada ya kuchakazwa na mbwa.
 
K

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
455
Points
500
K

kirk git

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2018
455 500
Ukimsoma huyo mwanafunzi utapata kujua kuwa alikuwa ameelewa chanzo cha unyangau.

Corruption ndio imempatia machungu mpaka akachukulia sheria mkononi!
 

Forum statistics

Threads 1,303,747
Members 501,127
Posts 31,491,166
Top