Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,106
Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za mlinzi huyo kuuawa.

Mwili wa mlinzi huyo umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taaluma na Rufaa ya Jaramogi Oginga huku uchunguzi ukiendelea.

======================

A security detail attached to Mama Ida Odinga was last night shot dead in Kisumu’s Uzima area. The officer, Barack Onyango Odour, was in the company of a woman and a man when he met his death.

Nyanza regional police boss Karanja Muiruri confirmed the incident but promised to provide further details after receiving the full report. The assailant who is said to be a manager of one of the clubs in Kisumu took off after the shooting.

The suspect also shot the woman in the armband the man was shot in the leg. Those who were injured are admitted at a facility within the lake-side city. According to multiple sources, including junior police officers who spoke on condition of anonymity, the bodyguard was shot dead following a dispute.

The suspect is said to have escaped with the slain officer's firearm.

THE STAR
 
Mh!
 
Naposikia baadhi ya watu wakitaka tuige wayafanyayo Wakenya, huwasikitikia mno.
 
Back
Top Bottom