Kenya: Mama awaua watoto wake wote wanne kwa kuwapa sumu kisha kuwanyonga

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Police in Kinangop, Nakuru County have arrested a 42 year-old lady who is accused of strangling her four children to death.

Local authorities say Beatrice Mwende Kimotho, strangled her four children aged between two to eight years on Saturday, June 27, 2020.

According to a police report filed at Naivasha police ward, after the killings, the suspect called her brother and informed him of the henios act she had committed.

"Jackson Kimani Kimotho, 39, a resident of Kinangop reported that his sister Beatrice Mwende Kimotho,42, called him on Saturday, June 27, at about 1700hrs and informed him to proceed to her residence at Kabati estate in Naivasha and check on her four children as she had killed all of them,"

"Kimani who was accompanied by police proceeded to the said house where they found four dead bodies of the children identified as Melody Wanja Kamau aged 8years, Willy Macharia Kamau aged 6 years both pupils at Milimani primary school, Samantha Njeri Kamau aged 4 years and Whitney Nyambura Kamau aged 2 years on the beds in the children's bedroom," police said in a report.

The bodies didn't have visible injuries but had traces of fresh vomit and blood on their mouths.

A hand written note was recovered from the house and bore details of the motive leading to the incident.

Scene was processed by Csss staff and the bodies moved to Naivasha county referral hospital mortuary pending postmortem to establish the cause of death.

=====

MY TAKE: Hivi zile pesa zilizotolewa na Mabeberu ili kupunguza makali ya njaa na janga la Corona kwa Serikali ya Kenya zinafanya kazi gani?

R.I.P.
 
Yaani Wakenya wengi wameuliwa na Corona related cases kuliko hata Corona yenyewe.

Watu zaidi ya 50 wameuwawa na police katikati kuimarisha curfews na lockdown, watu wengi zaidi wamekufa kwa njaa na depression za kuachishwa kazi na maisha magumu baada ya Corona.

Vifo vya Corona directly ni zaidi ya 500, bado uchumi upo kaburini na madeni ni ya kutosha.

Looters ndio wanazidi kupanua matumbo kwenye pesa za mikopo ya Corona.
 
Hata Rwanda na yenyewe inapumulia mirija

Yaani sijui hizo pesa za kukabiliana na Corona walizochukua zina laana?

Walimkashifu sana Mungu kipindi kile Magufuli anasema tumtegemee Mungu, yaani hawa wananchi wa haya mataifa na wapumbavu wapinzani wa nchi hii walikuwa wakimdhihaki sana Mungu.
 
Serikali yao ilisema itaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja, vipi tena hakikununuliwa!
Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja

Serikali yao ilisema itaanza kutoa ruzuku kwa wenye kipato duni kwa ajili ya kupunguza makali ya curfew, vipi tena mbona mambo ni tofauti!
Wakenya wenye kipato duni kuanza kupata ruzuku kipindi cha Corona
Kitu cha kupewa hakiwezi kumaliza shida bora kiwe chako mwenyewe tu.
 
Nje ya maada kidogo hii taarifa ni ya kweli wakuu?
tapatalk_1593282051584.jpg
 
Mbona hata waziri Mpango alitangazia bunge kwamba Tanzania imeshafikia kuwa katika uchumi wa kati, ila Mimi sishabikii sana hii taarifa, japo ni jambo jema lakini nchi inapoteza fursa nyingi sana.
Mkuu wewe hujachoka dharau za manyang'au kutuita LDC.
 
Mkuu wewe hujachoka dharau za manyang'au kutuita LDC.
Wakenya ni watu wajinga na wenye kupenda sifa za kijinga, lakini kiukweli Kenya haijafaidija lolote tangu kuwekwa katika hili kundi, zaidi imepoteza sana fursa za kupata mikopo ya nafuu na misaada, hata sisi hatutofaidika lolote.
 
Tena walisema watanunua canada na Ethiopia ambako hakuna corona. Hawana mpango wa kununua chakula cha Tanzania
Serikali yao ilisema itaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja, vipi tena hakikununuliwa!
Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja

Serikali yao ilisema itaanza kutoa ruzuku kwa wenye kipato duni kwa ajili ya kupunguza makali ya curfew, vipi tena mbona mambo ni tofauti!
Wakenya wenye kipato duni kuanza kupata ruzuku kipindi cha Corona
 
Mbona hata waziri Mpango alitangazia bunge kwamba Tanzania imeshafikia kuwa katika uchumi wa kati, ila Mimi sishabikii sana hii taarifa, japo ni jambo jema lakini nchi inapoteza fursa nyingi sana.
Ndiyo tatizo maana tulikuwa tuna wachapa wakenya vizuri wao walikuwa wanadhani sisi ni mafukara kama wao ,sasa wakawa wanashanga VP mbona Tanzania inatupelekesha kwenye project mbalimbali.
 
Back
Top Bottom