Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 758
- 1,232
Harambee Stars leo lazima wakalishwe dhidi ya Kilimanjaro Stars.
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mashemeji leo tunalipiza kisasi!!Mechi yoyote tukicheza na nyie ugenini lazima tuwaoe huko huko.
Uchawi wenu huwa hauna nguvu huko...
Tanzania bado sana kwetuHARAMBEE Stars leo Lazima wakalishwe dhidi ya KILIMANJARO Stars.
Mungu Ibariki Tanzania!!
Tanzania bado sana kwetuView attachment 1285519
huwa tunafanya masihara kwenye vitu vya maana hivi mgunda na katwila nani alitakiwa kuwa bosi wa mwenzake?Kocha mwenyewe Mgunda? Kwa sifa ipi kapewa Kilimanjaro Stars zaidi ya u Tanga na urafiki na Msomali?
Mgunda homeboy wa Karia. Kawa boss japo sijaona mafanikio yake kama kocha. Afadhali wangempa Mecky Maxime.huwa tunafanya masihara kwenye vitu vya maana hivi mgunda na katwila nani alitakiwa kuwa bosi wa mwenzake?
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.Daa Tumefungwa na Majirani.
Timu mbovu Cocha hajulikani alipotolewa!!
GOD have mercy on Us.
Utanga umeshamiri TFF
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Angepewa Maxime au Mkwasa.
Mgunda hana CV yoyote ya kufundisha timu ya Taifa. Hata kuwepo ktk bench la Ufundi National team ni mzigo.
Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa starsAfadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Ni kweli kabisa. Ni kocha mzuri sana. Lakini Adolf Rishard si mtu wa kulamba watu miguu.Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa stars