Kenya Leads East Africa on Quality of Living! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Leads East Africa on Quality of Living!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Kichuguu, Jun 30, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  The International Living Magazine rates the quality of living in all countries of the world. For the year 2010, France leads the world with a highest score of 82% while Somalia struggles at the bottom of the list, scoring 30% only. In East Africa, Kenya leads the pack with a score of 51% followed by Tanzania and Uganda, both scoring 50%, while Rwanda scores 46%, and at the bottom is Burundi with a score of 44%. Let us congratulate our Northern neighbors for the job well done in improving their quality of living. Here is the list


  [​IMG]
  qualityofliving.JPG


  Amazingly, Kenya lags behind most of her neighbors in all other important parameters except Leisure & Culture and Weather where she does extremely well than the rest. The full list can be seen at Quality of Life Index 2010
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Nashukuru Kichuguu, nadhani hizi data zimeleta picha kamili na kuondoa ubishi na dhana potofu zinazoendelea katika Thread nyingine juu ya ubora wa maisha katika nchi za Kenya na Tanzania na pengine EAC kwa ujumla...

  Naomba wadau wakubali kusifiwa na kukosolewa pia bila ya kutumia lugha chafu..:biggrin1:
   
 3. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo data ya freedom inaleta utata
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kwa vile waliokusanya data hizi na kuzifanyia uchambuzi siyo mashabiki wa nchi yoyote hapa Afrika ya Mashariki na wanataka kuhakikisha kuwa wateja wao (watalii) wanapata information ambazo ni sahihi kabisa, inabidi tukubaliane kuwa data hizi zina ukweli fulani. Personally ninaamini kuwa level ya freedom huko Kenya haitofautiani sana na ya Tanzania kwa vile security forces zinafanya kazi kwa ajili ya kulinda maslahi ya waliokwisha tangulia kama ambavyo ilivyo Tanzania.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ikiwa wanaangalia hata upatikanaji na varieties ya vyakula miongoni mwa nchi zote, basi hii riport in mushkeli kwa kiasi fulani.
   
 6. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Msiangalie tu Aggregate Score angalieni scores za individual categories. Ukiondoa Leisure & Culture na Climate, Kenya hawajafanya vizuri kama majirani zao. Nimeangalia watafiti walikuwa wanamaanisha nini hasa na baadhi ya categories, na nina nukuu hapa (kutoka 2010 Quality of Life Index: 194 Countries Ranked and Rated to Reveal the Best Places to Live – International Living ),

  kwa Climate "When deciding on a score for each country's climate, we look at its average annual rainfall and average temperature…and consider its risk for natural disasters", na, kwa Culture & Leisure "To calculate this score, we look at literacy rate, newspaper circulation per 1,000 people, primary and secondary school enrollment ratios, number of people per museum, and a subjective rating of the variety of cultural and recreational offerings."

  Kwa kweli hii rating ya Climate inatatiza sana maana ungetegemea angalu iwiane na ile ya Environment.

  Mahala ambapo watanzania inabidi tukaze buti ni katika Culture&Leisure maana kuna baadhi ya individual sub variables hapo ambazo tunaweza tukaboresha sisi wenyewe.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  interesting which weather are they talking here? the drought most of Northern Kenya face? and which leasure and culture are they talking about here? i am curious to know criteria used! let me summarize my argument, there is NO PLACE IN EA can beat Zanzibar on leisure and culture! I repeat NO PLACE IN EA CAN BEAT ZNZ ON LEISURE AND CULTURE! if criteria used took under consideration the number of std hotels, cultural events and historical part of it!
   
 8. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hapo pa Infrastructure napatilia shaka, ama mie ndio sijui ku interpret hizo data, lets have an open discussion without throwing insults at each other..
   
 9. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  ukiwa na mda angalia hiyo link hapo ya Travel and Leisure worlds best awards, usiandike vitu bila facts, it only confirms the fact that.....................

  Travel + Leisure's "World's Best Awards 2009″ revealed | Paradizo.com
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nimependa hapo kwenye "economy" na pale kwenye "infrastructures;...
   
 11. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  To me its unrealistic, Tz, UG, Rwanda, Burundi... usifanye nicheke
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  smatter, tz ina barabara bora na connection nzuri ya railway kuliko kenya. you only have one railway, sisi tunayo reli nzuri sana inayounganishakuanzia Dar.... mikoa ya kati hadi Lusaka Zambia, pia tunayo ile ya kati ingine inaunganisha kuanzia Dar hadi Kigoma na Mwanza...hata kama ziko kwenye hali ya kizamani, its just a matter of rehabilitation na usafirishaji utakuwa safi zaidi. barabara zetu pia tumeimmprove sana, tumeunganisha pia na mozambique kwasasa...na ukichukulia Tz is too extensive kuunganisha barabara na railway ni vigumu lakini tumepatia....the size of tz is equal to the size of kenya, uganda, Rwanda and Burundi....upo hapo!
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  you can as well finish your statement..... as usual! when you talk of leisure and culture there are numerous things! and being given an award to selective camps does not mean you are leading, get the point! By the way the indicators used are soo weak! So stop claiming things that are shallow researched! By the way Zanzibar has been winning the same award more times on its beach resort category than those two selective camps! and neither of those can beat Grumeti! Probably the Grumeti isn't the member of Paradizo.com. And how can the quality of living in Kenya be substantiated from those two camps?
   
 14. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Let's take you up on your request

  Tukichukulia ufafanuzi wa hawa watafiti wetu, "To calculate a country's Infrastructure score, we look at the length of railways, paved highways, and navigable waterways in each country, and equated these things to each country's population and size. We also consider the number of airports, motor vehicles , telephones, Internet service providers, and cell phones per capita."

  Mimi nitatoa takwimu kadhaa za Tanzania na nitaomba na wewe pia utoe za Kenya na hata nchi nyingine za jirani.

  [​IMG]

  Hizi ni takwimu za mwezi wa 12 mwaka 2008, chanzo chake ni National Bureau of Statistics, Kitabu cha Hali ya Uchumi mwaka 2008 ukurasa wa 179-180.

  Kutoka kwenye bajeti ya 2010/11, waziri wa Miundo Mbinu Mh. Shukuru Kawambwa aliwasilisha (kurasa za 188-191) ambayo inapatikana hapa http://www.infrastructure.go.tz/images/uploads/hotuba_ya_bajeti_2010.pdf,

  Kwa trunk roads tunazo [​IMG],

  Na kwa regional roads tunazo,

  [​IMG]

  Hizo ni takwimu za barabara tu. Inspite of the widespread and overt corruption katika sekta ya ujenzi na miundombinu, wizara hii ina takwimu za kujivunia.

  Tukija kwenye economy, watafiti wetu wanasema, "We consider interest rates, GDP, GDP growth rate, GDP per capita, the inflation rate, and GNP per capita to determine each country's Economy score.",
  Sasa unataka nijibu pia na huku? maana dozi ni zile zile
   
 15. c

  cerezo Senior Member

  #15
  Jun 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Geza Ulole,

  Zanzibar is not a country! I repeat Zanzibar is not a country...it is a province of tanzania...albeit semi-autonomous...don't get off track!!
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Hapana ni vigezo vipi wametumia nimekuwa Kenya kwa muda mrefu ni wachache kwa mfano wanamiliki numba bora ,ilihali TZ hata muuza mchicha ananyumba bora Kenya hata afisa hwana nyumba na wengi wanaishi kwenye full suti(nyumba zilizojengwa kwa mabati),hata ukija kwenye bararbara TZ tuna barabara nzuri na nyingi zenye lami,pia hata ukifuata wananchi chakula wanachokila wa TZ ni chakula bora kuliko Kenya,pia uchafu umezidi katika miji na usalama loh halahala na mungiki.
   
 17. K

  Koba JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Another garbage from west mnalishwa mnameza bila maji,JF mnabaki kutoana macho..cha ajabu utakuta Alaska with dark/temperature below zero/snow all yr and ice eti have better climate than our tropical and beautiful oceans,its summer here expect those kind of indexes to promote their sales.
   
 18. K

  Koba JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ....wewe kweli akili yako ni matope matupu and seriously i cant believe ulichoandika
   
 19. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  @Mfianchi,
  Nadhani kama ymekuwa ukifuatilia malumbano ya kila siku hapa IF then utakuwa umeelewa nilimaanisha nini kwenye post yangu .. Takwimu japo zimepinda kidogo lakini zimetoa mwanga mkubwa sana juu ya mambo kadhaa ya muhimu. Jambo la kwanza kubwa ni uchumi na la pili ni miundo mbinu. Gharama za unafuu wa maisha nadhani zimechangiwa zaidi ma bei za kukodi ofisi na kodi za nyumba n.k. hayo mengine ya hali ya hewa na nini sijui sioni umuhimu wake sana..:biggrin1:
   
 20. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160

  Koba hivi unafikiri kila mtu hapa JF ana akili za kitoto kama zako? kwanza tangu lini mimi na wewe tumeanza kutukanana tafadhali sana mimi mambo ya kijinga jinga sipendi peleka huo upuuzi wako huko huko ulikozoea.. nadhani tumeelewana!
  :A S 103:
   
Loading...