Kenya kwenye uigizaji wa tamthilia wako vizuri sana kuliko Wabongo

Nimekua nikifuatiliA tamthilia za wakenya Na comedy zao huwa zinanirushisha kuliko izi za wabongo,yani kama comedy za wabongo naona ma shamba boy hapa home ndio wanazifurahia sana btw mm Niko Na degree mbili ndio mana wabongo hawawezi ku deal Na akili kubwa uzi tayari Na mitano tenaaa wakuu
Wakenya hata mimi ua navutiwa na tamthilia zao. Kuna mojja nilikuwa naitazama kitambo alikuwemo hadi Lincoln Sebeko wa Isindigo sijui ilikuwa inaitwa bwana shamba.
 
Nimekua nikifuatiliA tamthilia za wakenya Na comedy zao huwa zinanirushisha kuliko izi za wabongo,yani kama comedy za wabongo naona ma shamba boy hapa home ndio wanazifurahia sana btw mm Niko Na degree mbili ndio mana wabongo hawawezi ku deal Na akili kubwa uzi tayari Na mitano tenaaa wakuu
Degree mbili..
Tamthilia ..

Kipi ni kipi? Maisha vipi hapo kibera?
 
Wakenya kwenye uigizaji Tamthilia nawakubali, hadi leo Tanzania hatujawahi kuwa na tamthilia kama tausi
 
Kwani wadhani isindigo wanalipwa ela nyingi, anayelipwa pesa nyingi mle haizidi kiasi cha Tshs 1,800,000 za Kitz, wengi wanachezea laki sita mpaka nane, wanaotokea mara moja wanakula chini ya buku 40,000. Hata mimi nilidhani wanalipwa pesa ndefu ila kama wiki iliyopita ndipo nikasoma hapa Revealed: How much South African soapie actors earn
Mimi ni mdau mkubwa wa isidingo .
Nilikuwa naskia kuhusu malipp yao waigizaji hasa Gabriel mothusi akilallamika na kujitoa.
Mkataba ulipoisha..

Nadhani sechaba ndo analipwa vizuri yupo scene nyingi..
Hivi why walikuwa wanawalipa kidogo sana ikiwa kazi nilikuwa inafanywa vizuri.?

Isidngo forever ntakukumbuka sanaa
 
Back
Top Bottom