Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,891
- 7,550
Msiseme hamna arable land ya kutosha ..mnayo ila mwepa capitalist individuals walime cash crops na avocados...hapa ndo unaona shida ya serikali kutomiliki ardhi ..full capitalism yan hamna huruma....kweli karne hii ni ya watu kufa na njaa ?mnaongoza ku export flowers,avocados,tea ...watu wa turkana watakula hivyo..kwann basi msinunue reserve za kutosha kujaza kwenye maghala?....watu watakula hayo maua na chai washibe .....kweli goverment inajali watu wa Turkana ....mkiangalia hapa Tz ..mnaotusema ni wavivu tuna food mpka tunauza WFP ..kweli hizo hela za maua si mnunue chakula ..au serikali iwe na ardhi yake down south mlime chakula..INASKITISHA SANA WATU WANAKUFA MNAKAA TU SIJUI KUONGEA NA MACRON MIMI NMESKITIKA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app