Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,889
7,544
Msiseme hamna arable land ya kutosha ..mnayo ila mwepa capitalist individuals walime cash crops na avocados...hapa ndo unaona shida ya serikali kutomiliki ardhi ..full capitalism yan hamna huruma....kweli karne hii ni ya watu kufa na njaa ?mnaongoza ku export flowers,avocados,tea ...watu wa turkana watakula hivyo..kwann basi msinunue reserve za kutosha kujaza kwenye maghala?....watu watakula hayo maua na chai washibe .....kweli goverment inajali watu wa Turkana ....mkiangalia hapa Tz ..mnaotusema ni wavivu tuna food mpka tunauza WFP ..kweli hizo hela za maua si mnunue chakula ..au serikali iwe na ardhi yake down south mlime chakula..INASKITISHA SANA WATU WANAKUFA MNAKAA TU SIJUI KUONGEA NA MACRON MIMI NMESKITIKA SANA
Screenshot_20190317-101524.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli Kenya ni tatizo na aibu kwa Africa nzima, Nadhani kama binadamu na waafrika kwa ujumla, kuna kila sababu ya kuweka mipango ya kuisaidia Kenya.

Jambo linalonishangaza ni kuona Wakenya wenyewe hawaoni kama njaa kwao ni tatizo, Badala yake wanafurahi ujenzi wa majumba marefu, kuwepo kwa UN offices, na kuanza safari za New York. Ni matumaini yako huyo rais wa ufaransa ataiona hii video clip ili aweze kuisaidia Kenya chakula, Badala ya Kung'ang'ana na kila kitu Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hushangai watoto kula kinyesi na watu kula albino...endeleeni kuwa kwenye denial..hku sisi media zipo huru...yani km ni njaa imetokea eneo flani kenya vitu vinapeperushwa hewani...hela zikiibwa media hufuatilia kw kina yanaojiri...hamna cha mtu kuhojiwa au kutuhumiwa anataka kuvuruga amani yanchi...

SAFI SANA MEDIA ZA KENYA...ENDELEENI KUTOA TAARIFA ZA KUHUSU TAIFA LETU ANAGALAU SERIKALI ITAFAKARI NI WAPI WANAFELI NA KUPATA KUWASAIDIA WAHANGA WA TURKANA...
 
Sasa Mbona huzungumzii hili tatizo lilitangazwa na media Badala yake unasifia media?, hata Sisi tunapongeza hizo media, Ila kwasasa "the main subject" ni watu wanaokufa kwa njaa huko Kenya, Mbona Inaonekana serikali ya Kenya mumeshindwa kabisa kutatua hili tatizo, kwasababu kila mwaka lazima Wakenya wanakufa kwa ajili ya njaa, tafadhali tuambieni tatizo liko wapi?, Mbona mnasema uchumi wenu ni mkubwa, vipi kila mwaka watu wenu wanakufa kwa njaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe...si nyinyi ndio wale mnaosema mnazalisha chakula kinigi ea...hebu tuambieni kwnn watoti wale kinyesi na kutelekeza chakula...kwnn watu wale albino na kuwacha chakula...ukinijibu hapo ndio sasa tutaelewana....
inauma sana nyumbani kuna chakula ila watoto wanakula kinyesi hku wengi wakila albino...inauma sana walai
 
alafu sasa kinachonishangaza nyinyi ni wanafiki...mwanachadema akisema vyuma vimekaza inafikia mtu anapata mlo mmoja kw siku...mnatokwa na povu...eti "eti kila mtu apambane na hali yake...unataka magu au serikali ije ikulishe"

kenya turkana watu wakifa kw njaa kw ajiki ya ukame...alafu isitoshe wao si wakulima bali ni wafugaji...unauliza serikali inafanya nn....

si muuilize kwanza serikali yenu kuhusu ile trillion na vyuma kukaza kw wananchi wakawaida na wakulima wa koroshow
 
joto la jiwe...si nyinyi ndio wale mnaosema mnazalisha chakula kinigi ea...hebu tuambieni kwnn watoti wale kinyesi na kutelekeza chakula...kwnn watu wale albino na kuwacha chakula...ukinijibu hapo ndio sasa tutaelewana....
inauma sana nyumbani kuna chakula ila watoto wanakula kinyesi hku wengi wakila albino...inauma sana walai
Ninaomba unipe reliable source iliyoripoti kwamba kuna watoto waliokula kinyesi, tafadhali weka reliable source husasn main stream media zilizoripiti hiyo habari.

Kuhusu albino, unataka kutuaminisha kwamba Wakenya mamia kwa maelfu wanaouliwa na terrorists, majambazi na wanaouliwa na polisi wenu kila siku, huwa mnawatafuna au mnawagawa kwa Wakenya wenye njaa?, acha kuleta discussion za kitoto, kila siku mbachinjana huko Kenya kutokana na ujambazi uliovuka mipaka, Alshabab wanachinja kama kuku, Mbona hutusemi mnakula hao wanaouliwa?

Acha kuvuruga Mada, tuambieni hili tatizo la Wakenya kufa kila mwaka kwa njaa, mnalichukuliaje wakati ninyi mnahisifia kuwa na uchumi mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe ..kwhyo unapiga au unakataa...
hhhhhh...kw povu hilo...duh...naona nimekushika pabaya...unataka uelezwe ya kenya wakati nakuuliza ya kwenu unatoa povu...

haya nakusubiria...barudia tena km nyumbani kwako kuna chakula cha kutosha na hadi kukitoa nje ya nchi mbna watotl wanakula kinyesi na wengine kula albino na kupika supu....
sasa tuelezeni kwnn mnajisifia kwakuwa na chakula na wakati watoto wanakula kinyesi,wengine kunywa supu za albino,kuongoza kw umaskini ea,
 
Sasa Mbona huzungumzii hili tatizo lilitangazwa na media Badala yake unasifia media?, hata Sisi tunapongeza hizo media, Ila kwasasa "the main subject" ni watu wanaokufa kwa njaa huko Kenya, Mbona Inaonekana serikali ya Kenya mumeshindwa kabisa kutatua hili tatizo, kwasababu kila mwaka lazima Wakenya wanakufa kwa ajili ya njaa, tafadhali tuambieni tatizo liko wapi?, Mbona mnasema uchumi wenu ni mkubwa, vipi kila mwaka watu wenu wanakufa kwa njaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yetu ndio ina ujinga. Ukianzia president na Raila na Ruto. Ni watu wanaojijali ila hawajali raia. Hapa Kenya usipojitafutia chakula yako utakufa njaa. Hata U.S kuna watu hawana chakula lakini serikali ya huko inawapa chakula yaani food stumps. Wengine wetu tumelalamika kwa miaka kadhaa sasa kuhusu Turkana na Baringo lakini serikali hili corrupt halisikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wengine wetu hatuna la ziada ila kuangalia tu maaana wengine wetu hatuna uwezo wa kufanya lolote.
 
Niliskia ziwa turkana ni fresh water lake. Hivi serikali haiwezi tumia akili hapa ili kukumbana na hili baa la njaa?
Nako baringo niliskia ni kwa mstaafu dikteta moi. Kijana wake Gideon anafikiria tu kuhusu urais.
Wenye njaa nao wanazidi kuzaliana.
 
tony umeongea ukweli kabisa ...kenya usipojituma eti ukae usubirie hao watu wanaojijali wakufanyie lau miradi ya vyakula na kuwasaidia walala hoi...utakufa kw njaa tu...yani kiufupi kila mtu anajijali tu...
waache media wawaumbue tu kila mwaka...si aibu tunapata wote..manake mataifa jirani watasema wakenya tuna njaa..kumbe ni uzembe wa serikali yetu
 
Serikali yetu ndio ina ujinga. Ukianzia president na Raila na Ruto. Ni watu wanaojijali ila hawajali raia. Hapa Kenya usipojitafutia chakula yako utakufa njaa. Hata U.S kuna watu hawana chakula lakini serikali ya huko inawapa chakula yaani food stumps. Wengine wetu tumelalamika kwa miaka kadhaa sasa kuhusu Turkana na Baringo lakini serikali hili corrupt halisikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wengine wetu hatuna la ziada ila kuangalia tu maaana wengine wetu hatuna uwezo wa kufanya lolote.
Wewe ni miongoni mwa Wakenya wachache sana ambao vichwa vyenu havijaathiriwa na Ukabila Wala rushwa, una bahati mbaya sana umejikuta umezaliwa katika nchi ambayo 95% ya raia wake wameathiriwa na tribalism and corruption, pole Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania has enough food reserves to feed Kenya for more than 6 months....stop begging to Europe, karibu Tanzania
 
Back
Top Bottom