joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya cuts oil export target to 400,000 barrels per year
The move comes after Tullow slashed its local expenditure by 43pc.
www.theeastafrican.co.ke
Tuliwaambia kwamba tabia ya Kenya kupenda kukurupuka katika miradi kutawapeleka pabaya sana wakenya, wengi mlibisha, sasa hiki kichekesho cha kusafirisha mapipa laki 4 kwa mwaka wakati waganda wanategemea kusafirisha laki 2 kwa siku mnajisikiaje?.
Mapipa laki 4 kwa mwaka ni sawa na mapipa mangapi kwa siku?. Tafadhali sana wakenya, jaribuni kuwa "serious " wakati mkipanga hii miradi yenu, acheni kukurupuka, matokeo yake 50% ya miradi inakwama bila kukamilika(IMF), inayokamilika ndio hii inakua ni "white elephant".
Sent using Jamii Forums mobile app