Kenya kupambana na funza, na imeanzisha kampeni kubwa.

Hahahaha!

Ebu tupe source!
Na unamaanisha funza wa aina gani au hawa ambao makazi Yao ni Miguu(vidole).
 
Jiggers wreak havoc in Mbeya rural communities

Roundup: Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages - China.org.cn
http://www.china.org.cn/world/Off_the_Wire/2016-07/08/content_38832904.htm
Kheri sisi ambao tunapambana na shida zetu, nyinyi nikujifunikia na kudhani shida imeisha, huwa na shangaa sana na wabongo, unaongelea kitu kibaya cha jirani, ilhali kipo kwako, na unamcheka, yaani huu utakuwa ni uzuzu aina gani? Msemo nyani halioni kundule, nadhani uliwalenga hasa watz
Mkuu funza na wewe zimekukanyaga?
 
Dhuuuuu!!! Hawa funza wa miguuni wamerud tena

Raund hii kwa majiran zetu
 
Jiggers wreak havoc in Mbeya rural communities

Roundup: Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages - China.org.cn
http://www.china.org.cn/world/Off_the_Wire/2016-07/08/content_38832904.htm
Kheri sisi ambao tunapambana na shida zetu, nyinyi nikujifunikia na kudhani shida imeisha, huwa na shangaa sana na wabongo, unaongelea kitu kibaya cha jirani, ilhali kipo kwako, na unamcheka, yaani huu utakuwa ni uzuzu aina gani? Msemo nyani halioni kundule, nadhani uliwalenga hasa watz
Mwaka jana mlipambana na kunguni
Leo funza tena
 
Tuite Kenya nchi ya Vidudu..... Mara kunguni mara Funza.... Kitakachofata ni Chawa. ...

Jivunieni basi hata hivyo anavyowapa Muumba.... Jitangazeni kimataifa kuwa mmebarikiwa kuwa nchi yenye Funza na Kunguni wengi na mtapata watalii wengi mno kuliko kung'ang'ania mlima usiowahusu....

Kenya K, Kunguni K.
 
Jiggers wreak havoc in Mbeya rural communities

Roundup: Panic as jiggers hit southwestern Tanzanian villages - China.org.cn
Kheri sisi ambao tunapambana na shida zetu, nyinyi nikujifunikia na kudhani shida imeisha, huwa na shangaa sana na wabongo, unaongelea kitu kibaya cha jirani, ilhali kipo kwako, na unamcheka, yaani huu utakuwa ni uzuzu aina gani? Msemo nyani halioni kundule, nadhani uliwalenga hasa watz

Tangu niko Shule nimekuwa nikisikia Funza Kenya na mpaka leo hii bado tatizo liko pale pale, nashindwa kuelewa kwa maana ni swala la Watoto kuvaa viatu tu, kwa nini badala ya laptop, Watoto wasipewe viatu nakumaliza tatizo mara moja mpaka kwenda kuomba msaada kwa Mzungu?
 
Wakuu Salam.
Kama tulivyo wana Afrika Mashariki wenzetu wamepata janga la funza hivyo tuwaunge mkono kwenye mapambano hayo makubwa, madhara ya funza ni pamoja na wagonjwa kupungukiwa na akili.
Poleni sana majirani zetu. Nchi yenye uchumi mkubwa na yenye uchumi wa kati watu wanamalizwa na funza. Ndio maana akili za wakenya walio wengi ni fyatu kidogo kumbe sababu ya funza hawa. Kwikwikwikwi sicheki kwa furaha nacheka kwa majonzi makubwa.
 
Back
Top Bottom