HAHAHAHA, Argumentum ad ignorantiam.Japan walizima vinu vyote vya nuclear lakin nyie ndio mnavikimbilia,kikibuma kukipooza madhara yake ni makubwa sana
Japan closed their nuclear power sights not because nuclear power is bad in fact many environmentalists have come to accept that nuclear might be the most sustainable 0 emissions energy source if we are to reduce global warming and carbon emissions by 2040.Japan walizima vinu vyote vya nuclear lakin nyie ndio mnavikimbilia,kikibuma kukipooza madhara yake ni makubwa sana
Construction of a new reactor costs is between 2500$ - 4000$ per Kilowatt. That means for a 4000megawat reactor the cost will be btn US$10b-US$16b. I wonder if five billion $ seems feasible.Kenya kujenga kituo cha umeme wa nyuklia chenye kugharimu dola bilioni 5 kinu hicho kinatarajiwa kuwa kitazalisha umeme wa Megawati 4000
Shirika la Nishati ya Nyuklia la Kenya (NuPEA) limewasilisha ripoti kuhusu mpango wa ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa nyuklia ambacho ujenzi wake unatazamiwa kugarimu dola bilioni 5.
Kwa mujibu wa tovuti ya Bloomberg, ujenzi wa kituo hicho unakaribia kuanza na kitazinduliwa katika kipindi cha miaka saba ijayo.
Shirika la Nishati ya Nyuklia la Kenya limewaswilisha ripoti ya ujenzi huo kwa Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa MazingiraKenya (NEMA) huku ripoti zikisema serikali ya Kenya inapanga kuzalisha megawati 4,000 za nishati ya nyuklia ifikapo mwaka 2035.
Baada ya NuPEA kuwasilisha ripoti hiyo kwa NEMA, wananchi wa Kenya wanatazamiwa kujadili masuala ya kimazingira yanayohusiana na ujenzi wa kituo hicho cha nyuklia.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza azma ya kuhakikisha kuwa uzalishaji umeme wa Kenya unaimarishwa kutoka megawati 2,712 hivi sasa hadi megawati 22,000 ifikapo mwaka 2031 ili kuimarisha sekta ya viwanda katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa zaidi mashariki mwa Afrika. Kituo hicho cha nyuklia nchini Kenya kinatazamiwa kujengwa katika Kaunti ya Tana River iliyo katika eneo la pwani
Hamwezi ruhusiwa weka hyo kitu...malizaneni na alshabaab kwanza..Mulisema hivyo kwa sgr, Lamu port, Mombasa port expansion,Nairobi expressway etc. Lakini mungu ni nani, anazidi kuaibisha kamati ya roho mbaya na wachawi. Na bado mujitayarishe kupiga ramli usiku na mchana maana Kenya haismami.
Kwa jinsi unavyoongea, huenda wewe ni katibu wa ile kamati ya roho chafu. Pole kwa maumivu lakiniWasiweke karibu na mpaka tu, waweke huko katikati. Wengine wanafunga hivyo vinu wao wanajenga. Hawajawahi kusikia ya Fukushima.
Lakini haifikii ndoto za dream houses 😂Ndoto za mchana hizo
Hii Ni Serikali yao inajaribu ku-buy time for on going private investment projects to finalize in their country.. maana Kama wawekezaji wakisikia Nyerere HYDRO Power Project na SGR wanaweweseka na wanaweza kubadili gia angani kama wajumbe... Saving face and by lying.Dah....Safi sana Kenya...mko vizuri sana...Afrika ya kusini wanajenga 4000MW kwa $14 billion lakini Kenya ni $5b tu...mkikimilisha tutaomba mtujengee na Bongo pia
Japan Nchi ya Earthquakes, Tsunamis na Volcanic eruptions haina budi kuvifunga...hapana sikilia Kenya wivu. These plants can be converted to fusion reacters in the future.Japan walizima vinu vyote vya nuclear lakin nyie ndio mnavikimbilia,kikibuma kukipooza madhara yake ni makubwa sana
Siwaonii wivu kwakua maono ya nuclear plant hata Tz iko nayo na tuna Uranium hapa... nmetoa maoni yangu tu wewe umeyatafsiri kama wivu...Kwani before kujenga hawakujua kua wanaishi maeneo yenye hatari zaidi ya volcano and earth quakesJapan Nchi ya Earthquakes, Tsunamis na Volcanic eruptions haina budi kuvifunga...hapana sikilia Kenya wivu. These plants can be converted to fusion reacters in the future.
Kwamba Kenya nayo ni nchi etiJapan ni Japan, Kenya ni Kenya, kila nchi ina mazingira yake, kule Japan huwa wanakumbwa na tetemeko la ardhi mpaka kila kitu kinayumba, Afrika hapa tumebarikiwa tuna hali nzuri ya mazingira, ni muda wetu wa kupaa na sio kwa ungo.
Hio ndio ilikuwa the best tech ya kutengeneza umeme siku hizo so hawakuwa na otherwise...next ni Nuclear Fusion.Siwaonii wivu kwakua maono ya nuclear plant hata Tz iko nayo na tuna Uranium hapa... nmetoa maoni yangu tu wewe umeyatafsiri kama wivu...Kwani before kujenga hawakujua kua wanaishi maeneo yenye hatari zaidi ya volcano and earth quakes
Wenyewe kwa sasa wanatumia zaidi petroleum products kufua umeme,last time I checked walikua ndio one amongst the largest importer wa iyo bidhaaHio ndio ilikuwa the best tech ya kutengeneza umeme siku hizo so hawakuwa na otherwise...next ni Nuclear Fusion.