Amigos J
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 234
- 123
Kimya kimya ama kinyaa? Hao watu walikuja kufanyia mipango yao ya kugombea huko kwao huko Nairobi.....Baasi ndio mmeona mmefanya kazi nzito? Wasaidieni ndgu zenu wa South Sudan tuone.....kelele nyingi halaf wabnafsi wakubwaKila siku mnajichocha humu jinsi mnaheshimika nchi za Afrika kumbe wapi. Ubaya wenu ni majivuno ya kijinga - yaani mtu tajika kutoka nchi nyingine akiishi Tanzania kwa muda mnaanza kufoka jinsi mmeikomboa hiyo nchi. Yaoneni sasa. Sisi mambo yetu tunafanya kimya kimya.