Kenya kuisaidia DRC kurejesha utulivu kisiasa


Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
115
Likes
51
Points
45
Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
115 51 45
Kila siku mnajichocha humu jinsi mnaheshimika nchi za Afrika kumbe wapi. Ubaya wenu ni majivuno ya kijinga - yaani mtu tajika kutoka nchi nyingine akiishi Tanzania kwa muda mnaanza kufoka jinsi mmeikomboa hiyo nchi. Yaoneni sasa. Sisi mambo yetu tunafanya kimya kimya.
Kimya kimya ama kinyaa? Hao watu walikuja kufanyia mipango yao ya kugombea huko kwao huko Nairobi.....Baasi ndio mmeona mmefanya kazi nzito? Wasaidieni ndgu zenu wa South Sudan tuone.....kelele nyingi halaf wabnafsi wakubwa
 
Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
115
Likes
51
Points
45
Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
115 51 45
Nakubaliana na wewe lakini huoni huyu Tshisekedi alitakiwa akae kwanza ikulu aone matatizo na mahitaji ya nchi yake kwanza na kushughulikia yale yanayopaswa kushughulikiwa kabla ya kuanza kuzurura huku na kule? Kaapishwa juzi tu tayari ameanza safari, akimaliza mwaka si atakuwa amezunguka dunia nzima na kumshinda hata Vasco Dagama?... :D:D:D
:D:D:D:D:D huyo nchi itamshinda ama atafika mahala akae zake nje tuu kukwepa matatzo nchini kwake.
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,899
Likes
1,729
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,899 1,729 280
Kwaiyo soon jeshi lenye ujuzi na mbinu hatari za kimedani na lenye nidhamu ya hali ya juu KDF linaingia congo baada ya kuonesha uwezo huko Somalia ?

Pia kdf ndio jeshi peke ambalo lina ujuzi wa kujinasua kwenye ambushSent using Jamii Forums mobile app
 
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
467
Likes
395
Points
80
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
467 395 80
Naipenda fighting spirit ya Kenya, naona hapo Kenyatta anapochukua entrepreneurship role kwa niaba ya nchi yake
Hapo wameishanusa potential investments za kufa mtu. Hivi mnajua banks zinazofanya vizuri Congo ni za wa Kenya?
Kenya sio wajinga kupeleka askari Somalia ni kama Bush anapeleka askari Iraqi

Kalagabaho na ubozi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,115
Likes
5,734
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,115 5,734 280
:D:D:D Anashirikiana na Vasco Dagama mwenzake, maana Uhuru naye kwa kuruka ruka angani yupo vizuri... :D:D:D
Haa! :D Tuseme kwa mfano rais Tshisekedi asizuru nje ya DRC rais Uhuru Kenyatta naye akomalie Nairobi. Alafu? Fursa kama hizi za ushirikiano zitatoka wapi?
 
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Messages
4,101
Likes
2,169
Points
280
Iconoclastes

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined May 26, 2014
4,101 2,169 280
Unazima moto kwa Jirani na Kwako kunawaka..
imagine unategemea nchi kama Kenya ikuletee utilivu, Huku al shabaab, Huku Mungiki, Huku Polisi, huku Jubilee, huku njaa na ukabila,
Wewe na Kenya! Hoja zako kuhusu Kenya huwa ni mbolea ya ng'ombe tupu.

Daktari Congo anayajua maslahi na Malengo yake, wewe/nyinyi ni nani kumchagulia la kufanya?
Kuna siku atabisha hapo kwenu, msijali. Hamna haja ya vijitusi vya aina hii Kwa Kenya juu ya wivu Kwa mambi yasiyo na tija.
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,387
Likes
3,249
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,387 3,249 280
Haa! :D Tuseme kwa mfano rais Tshisekedi asizuru nje ya DRC rais Uhuru Kenyatta naye akomalie Nairobi. Alafu? Fursa kama hizi za ushirikiano zitatoka wapi?
Huku kwetu Uswahilini huwa tunasema "mtembea bure si sawa na mkaa bure, maana huenda akaokota", lakini Tshisekedi kiboko, kukabidhiwa tu safari zinaanza! Ngoja awape fursa za kufaidi dhahabu... :D:D:D
 
N

ndughuri msuya

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
360
Likes
200
Points
60
N

ndughuri msuya

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
360 200 60
Kenya naishauri itafute amani kwanza Somalia ambayo ndio kipimo tutakachowapimia kabla ya huko kwa mabutu wa zebanga
 
Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
115
Likes
51
Points
45
Amigos J

Amigos J

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
115 51 45
Huku kwetu Uswahilini huwa tunasema "mtembea bure si sawa na mkaa bure, maana huenda akaokota", lakini Tshisekedi kiboko, kukabidhiwa tu safari zinaanza! Ngoja awape fursa za kufaidi dhahabu... :D:D:D
:D:D:D
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,899
Likes
1,729
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,899 1,729 280
Kenya naishauri itafute amani kwanza Somalia ambayo ndio kipimo tutakachowapimia kabla ya huko kwa mabutu wa zebanga
Huko tayari wameshinda

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 

Forum statistics

Threads 1,262,353
Members 485,558
Posts 30,121,025