Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Kenya Huko Nairobi mnamo tarehe 29th May 2016.
Uwepo wa mchezo huu tayari umeshathibitishwa na chama cha sola cha kenya na tanzania kupitia Football Kenya Federation Chief Executive Officer (CEO) Robert Muthomi na President of Tanzania Football Federation Jamal Malinzi.
Mechi hii itakuwa ni kwaajili ya kujiandaa na match day 5 ya kufuzu AFCON 2017 inayotarajiwa kuanza kati ya June 3-5, ambapo Kenya itacheza na Congo Brazzaville tarehe 3 huko Nairobi wakati Tanzania itawakaribisha mabingwa mara 7 wa michuano hii Egypt tarehe 4.
Baada ya kuwachapa wakenya kwenye bomba la mafuta ngoja sasa tuwafate hukohuko kwao tukawachape tena vizuri.