Kenya: Jamaa akamatwa na misokoto 17 ya bangi wakati akijaribu kuingia Ikulu

Brightdeemed

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
291
137
Jamaa akamatwa Nairobi, maeneo ya state house akijaribu kuingiza misokoto ya mmea teule pale ikulu.

bangi kenya.png
 
Uhuru si acheze na fursa awe rais wa kwanza Afrika kuruhusu mjani kutumika bila kadhia na dola!!!Teh,teh.
 
Wewe, hizi zako ni porojo tu. Kama hauwezi weka source ya mahala ulitoa taarifa hizi basi ni heri liondolewe!
@Ab-tichaz na Invisible, come over here!!

We pimbi fanya kupita kama hukubali source ya hizi tetesi, ama unataka source ulizo zoea, na kwanza source kwa mtazamo wako ni nini?
 
Last edited by a moderator:
We pimbi fanya kupita kama hukubali source ya hizi tetesi, ama unataka source ulizo zoea, na kwanza source kwa mtazamo wako ni nini?

Tupe mahala ulitoa habari hizo ili tujue kama ni za kweli. So I can come up with a ridiculous story, post it here and you'd believe it just like that?
 
We pimbi fanya kupita kama hukubali source ya hizi tetesi, ama unataka source ulizo zoea, na kwanza source kwa mtazamo wako ni nini?

Hehehe!! itakua wewe ndo majani yanakuonyesha vitu vya kiajabu ajabu. Unamfuata rais wetu na yeye ndio atakupata kabla hujamfikia.
 
Mkuu, wapi umeona nimemtaja mh. rais kwenye post ama sasa wewe ndo unamtaja

Bwana kinachoingia na kutoka kwa mkulu lazima kimhusu, na huwezi ingiza bangi kwake na asiwe anafahamu...hahaha! kama ile ndege ya rais wa China kubeba pembe za ndovu Tanzania.
 
Mkuu, wapi umeona nimemtaja mh. rais kwenye post ama sasa wewe ndo unamtaja

We hofu yako nini hata ukimtaja atakufanya nini hizo nisheria za Kenya bwana humu ni Jamiiforums, labda ingekua KENYA TALKS, Kuwa huru usiogope kama mvuta BANGI ni mvutaji kwani siri
 
We hofu yako nini hata ukimtaja atakufanya nini hizo nisheria za Kenya bwana humu ni Jamiiforums, labda ingekua KENYA TALKS, Kuwa huru usiogope kama mvuta BANGI ni mvutaji kwani siri

Thanks, malizia hapo NA JF INA RAIS WAKE
 
Back
Top Bottom