babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,110
- 27,139
Israel itself is taking precautions and we all Clearly know it's history Sasa Tanzania ni ujinga na upumbavu tupu ndio mumejazaa muwache kujifanya kama mko special watu wanakufa na mnafichaIt simple kama mnataka kujua tz wanadanganya au hawadanganyi. Fanyenj hivi..fungueni shule zote kuanzia nursery upili na vyuo kama tz walivofanya then ruhusuni michezo yote iendelee n.k muone baada ya siku 14 kama kutakua na taifa linaloitwa kenya. Tz wana miez 4 sasa toka waruhusu vyote hivyo na hujawah kusikia maiti zinazagaa barabarani kama mlivokuwa mnatumiwa na mabwana wwnu wazungu kuitangazia dunia. Juzi ligi kuu ya tz imemalizika tunawarudisha wakenya wenzenu kwenu waliokuwepo wanachezea kwetu. Mnajua golikeeper wa harembee stars yenu alikuwepo huku pia yupo star kahata na wengine. Watafuteni watawaambia tz ilovyo ila tumsiwaambukize makorona yenu bado tunawahitaji. Kenya mlipokosea ni kudharau kuwa kuna Mungu. Sayansi bila Mungu ni ziro. Sisi tumewazid hapo na hata kama hamtaki huo ndio ukweli.
Kenya isikubali Watanzania waje huku kutuongezea corona. Hawa Watanzania wanadanganya eti hawana corona lakini ni dhahiri shahiri kuwa wao wana corona na wanakufa kwa wingi tu. Kenya isiogope hasira za mkizi kutoka kwa Watanzania. Afya ya Wakenya ipewe kipaumbele.
Wakenya ndio wanaolialia baada ya vindege vyao kufungiwa na sasa mnataka kuhamisha magoli. Hii ni "Displacement", another type of mental mechanism.Halafu sielewi kwanini wanaililia Kenya sana kuliko mataifa mengine yote yaliyowapiga stop.
Sisi ndio tuliowapiga kufuli, machsria aliwaambia safari zitaanza immediately, sasa akawaoneshe hiyo immediately alipoiweka
Wenye Corona wanaishi hivi? Hahaha
Wantanzania wanaingia kenya kama vile kwenda chooni tu. Bora uwe na kijikaratasi cha wizara ya afya TZ kwamba huna corona. Enda pale Namanga uone watoto wa form 4 ndio wanategeneza vijibarua kwa cybercafe, na kwa mujibu wa makubaliano, lazima Kenya iheshimu barua hizo. Haujiulizi kwanini border imetulia hivi?Sisi hatuwataki huku. Bakini huko na corona yenu mnayoificha. Afya ya Wakenya ni muhimu kushinda urafiki wetu feki. Tanzania na Kenya huwa tunajifanya marafiki ila hatupendani. Wacha kila mtu akae kwao.
We jamaa sijui unafikiria kwa nini, utafichaje vifo kwenye ulimwengu huu wa technologia?Israel itself is taking precautions and we all Clearly know it's history Sasa Tanzania ni ujinga na upumbavu tupu ndio mumejazaa muwache kujifanya kama mko special watu wanakufa na mnaficha
Israel itself is taking precautions and we all Clearly know it's history Sasa Tanzania ni ujinga na upumbavu tupu ndio mumejazaa muwache kujifanya kama mko special watu wanakufa na mnaficha
Wakenya ndio wanaolialia baada ya vindege vyao kufungiwa na sasa mnataka kuhamisha magoli. Hii ni "Displacement", another type of mental mechanism...
Tafuta mtu mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi. Nchi ya kishenzi sana hii. Eti mnasema hamna corona kwa miezi minne sasa. Upuuzi mtupu.
Sisi sio wajinga, we know the right path to choose and we have chosen the GODLY way,Israel itself is taking precautions and we all Clearly know it's history Sasa Tanzania ni ujinga na upumbavu tupu ndio mumejazaa muwache kujifanya kama mko special watu wanakufa na mnaficha
Mpigie Farouk Shikalo goalkeeper wa Yanga Sc na Francis Kahata jr kiungo mshambuliaji wa Simba Sc waulize Tanzania kuna corona? Watakupa majibuTafuta mtu mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi. Nchi ya kishenzi sana hii. Eti mnasema hamna corona kwa miezi minne sasa. Upuuzi mtupu.
Francis Kahata Speaks on the Covid-19 situation and Football in TanzaniaMpigie Farouk Shikalo goalkeeper wa Yanga Sc na Francis Kahata jr kiungo mshambuliaji wa Simba Sc waulize Tanzania kuna corona??? Watakupa majibu