Kenya is One Match Away from Qualifying for Women's Rugby World Cup Finals 2021

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Kwa miaka kama 4 hivi tumekua tukikuza timu ya wanawake ya mchezo wa raga, lakini kila tukijaribu wapi! haswaa kule nje tukisheza na kina Brasil, USA, Argentina, Russia tunafungwa, lakini hivi karibuni naona game yetu ime improove sana


Hii game ya Kenya Vs Russia ya ku qualify for Olympics tulifungwa lakini game yetu ilikua ime improve sana, I enjoyed watching a quality game, kitambo timu ilikua inacheza kama ametures kabisa!




Anyway, back to topic...
Women’s Rugby World Cup African Qualifiers, Kenya na SA ndo wamefika kwa finali, mshindi wa hio mechi anafuzu kwa Rugby world cup, Lets go Kenya!!! Atakaeshindwa kati ya Kenya na SA bado atakua na nafasi ya kucheza na mshindi wa South American qualifier ili kufuzu kuingia World cup.... Kenya kama kawa, kwa michezo lazima tujaribu kila kitu, hata kama tuna changamoto ya wakuu wa michezo serekalini kufuja pesa..


South Africa and Kenya set up Rugby Africa Women’s Cup decider with huge wins

Add comment


Hosts South Africa and Kenya will play off for a place at the 2021 Women's Rugby World Cup after both teams claimed their second victories of the Rugby Africa Women's Cup qualifying tournament.
Kenya defeated Uganda 37-5 in the opening game of the day in Brakpan before South Africa crushed Madagascar 73-0 at Bosman Stadium.

The Ugandans defended stoutly to frustrate Kenya in the first half, keeping the score to 3-0 at the break before the Kenyan attacking prowess proved too much after the restart.

Kenya ran in seven tries to one, with full-back Janet Okelo and fly-half Grace Adhiambo scoring two apiece.

The South Africans were even more impressive, showing no mercy against a Madagascan side playing only their second ever Test match.

Unchanged from thrashing Uganda 89-5 in their opening game, South Africa ran in 13 tries, with second-row Rights Mkhari scoring a hat-trick.
Winger Snenhlanhla Shozi, number eight Aseza Hele, winger Ayanda Malinga and substitute back Aphiwe Ngwevu all went over the try line twice, while full-back Eloise Webb and centre Zintle Mpupha both got one try each.

“There were people who said from the outset it would be between us and Kenya for that spot, and it has come down to that," South Africa coach Stanley Raubenheimer said:

"So it is now up to us to go out there and perform on Saturday."

The nations will now play-off on Saturday (August 17), with the winner earning their spot in New Zealand in 2021.

The loser will face the winner of the South American competition next year for a place in the global repechage and could still join defending champions New Zealand, England, France, USA, Canada, Australia and Wales at the final tournament.

---------------------------------------------

Hata kama SA walitufunga mwaka jana, tunaingia finali tukiamini tutalipiza kisasi

2018_Lionesses_RachelMbogo_HK.jpg



Manake kule Hong Kong pia sisi tuliitandika SA mwaka jana

images
 
mkiweza kwenda huko kuiwakilisha Africa nendeni kucheza na sio kutembea msije kuvunja rekodi za mambo ya aibu
 
mkiweza kwenda huko kuiwakilisha Africa nendeni kucheza na sio kutembea msije kuvunja rekodi za mambo ya aibu
Lazima tupeleke ukenya wetu huko, Tukishinda tuna kata viuno


13015279_10153428513491046_6232374744342586729_n.jpg


Baulo.jpg

img-20180408-111736-1.jpg


Jeff-Wales.jpg

ouma_pix.jpg


sevens_pix.gif





Mpaka tushatengeneza misifa huko, haswaa kule Las Vegas, unaambiwa ukienda kuangalia mchezo wa Raga keti karibu na mashabiki wa Kenya ndo utajivinjari manake mashabiki wa Kenya wanajua kulewa na kuimba
1466270_796984167015429_473001569441324031_n.png



Mashabiki wa Kenya kule Paris 7s mwezi uliopita, Tulijaza nusu Stadium




 
Lazima tupeleke ukenya wetu huko, Tukishinda tuna kata viuno
Kuonyesha utamaduni sio mambo ya aibu..aibu ninayosema mimi ni kuingia kwenye rekodi za aibu mfano the a team beaten with most goals au mambo kama hayo.., ndio maana nikasema unapopata nafasi ya kuwakilisha Continent inabidi usiende kutembea au kuuza sura.., uende kufanya kazi....
 
Kuonyesha utamaduni sio mambo ya aibu..aibu ninayosema mimi ni kuingia kwenye rekodi za aibu mfano the a team beaten with most goals au mambo kama hayo.., ndio maana nikasema unapopata nafasi ya kuwakilisha Continent inabidi usiende kutembea au kuuza sura.., uende kufanya kazi....
Tukishindwa design hio lawama itakua si kwetu, lawama itakua ni Africa nzima manake kama Kenya inashinda nchi zengine za Africa kwa points 37 - 5 au 30 - 0, Alafu tukifika kule World cup sisi ndo tuwe wa mwisho, itakua inamaanisha Africa nzima iko chini na hakuna competition yoyote ndo maana viwango vyetu viko china kama Africa kwahivyo mshindi wa Africa ni wa mwisho kwa bara la Europe, Americas, Asia, etc
 
Nice, nilisema na nitarudia tena, hakuna kama kina dada wa kikenya. Kwa kujiamini kwao na kujituma tena na tena wamedhihirisha wazi kwamba wao pia wana uwezo mbubwa wa kupeperusha bendera ya nchi yao na kuiletea nchi yao sifa tele. Wanang'aa kote kote, riadha, hockey, Alpine Skiing, boxing, Malkia Strikers nao ni mabingwa wa Afrika kwenye mpira wa wavu kwa wanawake. God bless the Kenyan woman. Go Lionesses, gooo!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom