Sherlock
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 1,375
- 1,362
The government has announced the closure of Kenya’s border with Somalia in Lamu indefinitely in a bid to counter terror attacks in different parts of the country in the recent past.Fafanua kidogo zaidi
With Matiang'i trust me huo mpaka watakoma tu!Hii border ingefungwa zamani. Tungejenga tu wall from Mandera to Lamu halafu tuweke drone, security camera na wanajeshi hapo all along the border. Mtu akikaribia anatwangwa risasi maswali baadaye.
Wewe una akili Sana ukilinganisha na viongozi wengi wa Kenya, hovyo kabisa viongozi wenu.Hii border ingefungwa zamani. Tungejenga tu wall from Mandera to Lamu halafu tuweke drone, security camera na wanajeshi hapo all along the border. Mtu akikaribia anatwangwa risasi maswali baadaye.
With Matiang'i trust me huo mpaka watakoma tu!
Kivipi? Fafanua mkuu.Kudili na watu ambao sio raia wa nchi yako sio kazi nyepesi atasanda tu
Kivipi? Fafanua mkuu.
Serikali ya nyang'au hapana tambua Somalia. Yaani tusikilize maoni ya watu ambao wanatawala Mogadishu kutoka Nairobi, kwa kuhofia usalama wao. Vikao vya mawaziri na wabunge wa Somalia huwa yanafanyiwa Nairobi. Ukimuona rais Farmajo akitanua tanua misuli jua kwamba anaigiza tu. Yeye mwenyewe ni kibaraka wa rais Uhuru Kenyatta. Akibanwa kidogo analegeza, maanake hata huo urais anaweza akapokonywa muda wowote ule. Tutafanya tutakavyo, kama kawa, kwenye masuala yeyote yanayohusu Somalia, simple plain truth.Sidhani kama atapata ushirikiano unaotakiwa kutoka Somalia