Kenya inaongoza kwa idadi ya mabilionea ukanda huu, uchumi wa Nairobi pekee nusra ufikie uchumi wa Tanzania yote

Argument
Arguments nyingi za wabongo ni za kijinga na zimejaa mihemko
Unaposema uchumi wa Kenya yote ni Nairobi wakati unasahau kuwa nusu ya uchumi wote wa Tzn ni Dar unashindwa kuwaelewa.Hii ni kawaida kwenye nchi nyingi za Afrika kama Angola Nigeria Egypt etc
Dah! Akili kisoda katika ubora wako, uchumi wa Tanzania ni kilimo, utalii, madini, biashara etc

Korosho zinatoka Dar?
Pamba inatoka Dar?
Kahawa inatoka Dar?
Tumbaku inatoka Dar?
Dhahabu inatoka Dar?
Export ya sangara inatoka Dar?
Utalii ni Dar?

Dar inaonekana inatoa pato kubwa sababu bandari ipo hapo na mizigo yote na transactions zote za kibiashara zinafanyikia hapo
 
Wewe dingi kweli kiazi,ko kwenye value chain ya mazao ya kilimo kwa mfano kati ya mkulima na middleman aliyepo Dar nani ananufaika zaidi?
Ko kwa vile madini ya dhahabu yanatoka Geita basi investor wa Dar au mnunuzi hanufaiki?
Jibu swali kwa nini Dar pekee I nusu ya gdp ya Tzn?
 
Hivi unajua ukiacha uchumi wenu wa kupika, gdp yenu kamili ni 73b expected to be 78b na ya tanzania ni 61 b expected to be 64b. So soon mtakua chini yetu hyo gdp yenu ya kupka 100b endeleeni kuipika but Tz tupo na real gdp which is abt to bring you down
With your small economy, you've let Indians and Arabs dominate you and become billionaires while you have a very small number of millionaires yourself yet you beat your chest as an equal society. Here, we work hard and don't leave our econoy for Indians and Arabs to fully dominate...........and stop talking of dead people.
 
Wewe dingi kweli kiazi,ko kwenye value chain ya mazao ya kilimo kwa mfano kati ya mkulima na middleman aliyepo Dar nani ananufaika zaidi?
Ko kwa vile madini ya dhahabu yanatoka Geita basi investor wa Dar au mnunuzi hanufaiki?
Jibu swali kwa nini Dar pekee I nusu ya gdp ya Tzn?
Hivi wew haujui kuwa Ukusanyaji wa mapato Dar una vyenzo vingi ???
Licha ya hivyo Tz kuna economic inclusiveness kiasi tuna percent kubwa ya watu waishio urban kuwazidi ninyi nyang'au.
Na upunguze kupiga kelele kashughulikie usitishwaji wa ajira kwa miaka mitatu na upotezwaji wa ajira kwa watu kutokana na investors kuondoka huko kwenu.
 
Hivi unajua ukiacha uchumi wenu wa kupika, gdp yenu kamili ni 73b expected to be 78b na ya tanzania ni 61 b expected to be 64b. So soon mtakua chini yetu hyo gdp yenu ya kupka 100b endeleeni kuipika but Tz tupo na real gdp which is abt to bring you down
Hivi wewe ambaye hujawai toka hapo Dar una uelewe mwingi kuliko economists wanaofanya hizo calculations?
 
Kama mnavyomilikiwa nyie...
Huku hao unaowaona kama waarabu ni wazawa kabisa wa hapa Tanzania,na ni watanzania halisi kabisa...sio kama hao wahindi wenu wenye uraia wa nchi mbili mbili
Mbona matajiri wenu wote ni Wahindi na Waarabu? Fikiria, acha kunyamba.
 
The Iranian was still affiliated to politics though wasn't he?
There is a different btn being associated n being rich cause of politics! By the time Ruto goes home he will be the richest person in Kenya! The same is said of Uhuru whose father Jomo had nothing at the time of Kenya's independence! Now the family is richest n largest land owner in Kenya aside other businesses affiliated to their theft from Kenyans! Talk of Moi talk of kibaki n their buddies! most of those listed companies at NSE owned by natives can be traced to political inner circles including Equity group!

See ur media attesting!

There is a different btn being associated n being rich cause of politics! By the time Ruto goes home he will be the richest person in Kenya! The same can be said of kenyatta the father Jomo had nothing the time of independence! Now the family largest land owner in Kenya aside other businesses affiliated to their theft from Kenyans! Talk of Moi talk of kibaki n their buddies! most of those listed companies at NSE owned by natives can be traced to political inner circles including Equity group!

You are insulting our black brothers while in Tanzania you're owned by Indians and Arabs. Go to DSE, 99% of the companies are owned by non-blacks.

See.......
1. Acacia Mining - British
2. CRDB Bank - Several shareholders with Danish International Development agency as majority shareholder.
3. DCB Bank - Indians
4. Jubilee Holdings - Indians
5. Kenyan Airways - Kenyans
6. Maendeleo Bank - Tanzanians
7. Mkombozi Commercial Bank - Catholic Church
8. Mucoba Bank - Tanzanians
9. Mwalimu Commercial Bank - Tanzanians
10. Nation Media Group - Kenyans + Aga Khan
11. NMB Bank Plc - Dutch
12. Precision Air - Tanzanians
13. Swala Oil and Gas - whites
14. Swissport Tanzania - Swiss
15. Tanga Cement - German
16. Tanzania Cigarrete company - Japanese
17. Tanzania Portland Cement - Germans
18. TCCIA Investment - Different shareholders
19. TOL Gases - Tanzania govt
20. Uchumi Supermarket - Kenyans
21. Vodacom Tanzania - Vodaphone

Out of 21 companies, bongolalas own only 5 of them. Deal with your own house first before looking at ours.
 
Danish International Development Agency n CDC group & IFC own less than 26% share of CRDB the rest Tanzanians. So is Dutch Rabobank owns less than 35% of shares in NMB! The same can be said of KCB Bank!
 
KCB Bank is fully Kenyan owned. Endeleeni kutawaliwa na Wahindi na Waarabu.
 
You are insulting our black brothers while in Tanzania you're owned by Indians and Arabs. Go to DSE, 99% of the companies are owned by non-blacks.

See.......
1. Acacia Mining - British
2. CRDB Bank - Several shareholders with Danish International Development agency as majority shareholder.
3. DCB Bank - Indians
4. Jubilee Holdings - Indians
5. Kenyan Airways - Kenyans
6. Maendeleo Bank - Tanzanians
7. Mkombozi Commercial Bank - Catholic Church
8. Mucoba Bank - Tanzanians
9. Mwalimu Commercial Bank - Tanzanians
10. Nation Media Group - Kenyans + Aga Khan
11. NMB Bank Plc - Dutch
12. Precision Air - Tanzanians
13. Swala Oil and Gas - whites
14. Swissport Tanzania - Swiss
15. Tanga Cement - German
16. Tanzania Cigarrete company - Japanese
17. Tanzania Portland Cement - Germans
18. TCCIA Investment - Different shareholders
19. TOL Gases - Tanzania govt
20. Uchumi Supermarket - Kenyans
21. Vodacom Tanzania - Vodaphone

Out of 21 companies, bongolalas own only 5 of them. Deal with your own house first before looking at ours.
Go n check ur brain most of the companies up there r 50% owned by Tanzania!
 
Kwa nini unajibu swali ambalo halikuulizwa? Nimeuliza uwiano wa Uchumi wa Nairobi vs rest of Kenya, wewe unaniletea TZ????!
Kwa sababu huwezi kuona kundu lako. If you answer this question, I'll be able to answer your question too
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom