Kenya inakusanya pesa nyingi, inakopa sana lakini ni nchi ya mwisho kuwekaza katika Infrastructure.

Tanzania tunajenga mradi mkubwa wa UMEME gharama yake ni $3B, onyesheni mradi wowote sasa hivi Kenya mnaojenga wenye thamani ya $1B, hiyo pesa mnakopa kila siku mnafanyia nini?
Lamu port. Funded by govt.
SGR
CBC
Affordable housing.

Any other quiz Mr. Rumors?
 
Lamu port. Funded by govt.
SGR
CBC
Affordable housing.

Any other quiz Mr. Rumors?
Lamu port serikali yenu ilitoa $500M pekee miaka miwili iliyopita, lakini kila mwaka mnaendelea kukopa. Tafadhali onyesha mradi mmoja kuanzia January 2018 hadi Leo ulioanzishwa wenye thamani ya $1B.
 
Affordable housing.
Do you still have any question?
Lamu port serikali yenu ilitoa $500M pekee miaka miwili iliyopita, lakini kila mwaka mnaendelea kukopa. Tafadhali onyesha mradi mmoja kuanzia January 2018 hadi Leo ulioanzishwa wenye thamani ya $1B.
 
The Battle of the Mediocre...

Haya mashindano ya kushindana na kilema mwenzako hayatatufikisha popote.., ukiangalia we are all in the same sinking boat.., instead of boasting we have these or that.., a better way is how to overcome our current state.., Both of as are in a problem of being led by people dining and washing on wine while we the people don't even have enough water....
 
Affordable housing.
Do you still have any question?
Hahahaha, huo mradi gharama yake ni bei gani?, onyesha pesa hiyo imetoka wapi?. Ninyi mumepanga kuwakata wafanyakazi % ya salaries zao, stupid Kunyaland. Onyesha pesa mnayokopa mnapeleka wapi?
 
Let's cut the story short, Kenya vs Tanzania in boxing match who wins??!!🤣🤣. The two brothers bout
 
Alafu utasikia nyang'au zinajitapa kuwa budget yao ni kubwa kulinganisha na nchi nyingine za EAC
Deni la Kenya linazidi kuongezeka kwa kasi, hali hii inajitokeza wakati ambapo baadhi ya wakenya wanajisifu kukusanya pesa Mara mbili ya Tanzania. Jambo linaloshangaza ni kwamba, pamoja na majigambo ya kukusanya pesa nyingi, lakini GoK haina uwezo hata kulipa Madeni yake ya nyuma, hulazimika kukopa ili kulipa Madeni ya nyuma.

Pamoja na Kenya kukusanya pesa nyingi, na kukopa pesa nyingi kuliko nchi yoyote hapa EAC, lakini ni nchi ya mwisho katika kuwekeza katika miradi ya maendeleo, jambo hili limeifanya WB kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Kenya kulipa Madeni yake kutokana na ukweli kwamba, pesa inayokopwa hutumika kulipia mishaara, kulipa Madeni na kugharimia shughuli za serikali ambazo ni kubwa kupita uwezo wa nchi.

Katika hali hii ni wazi kuwa "Future" ya Kenya kama nchi na maisha ya wakenya yapo mashakani, hasa ukizingatia kwamba sasa hivi Kenya inanunua zaidi kuliko inachokiuza katika nchi za Africa ambazo zilisaidia Sana kupunguza "Negative balance of trade " na nchi za Nje ya Afrika.
 
Back
Top Bottom