Kenya immigration Namanga waiangalie upya kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Naamini mabosi wao wanasoma hili.

Kwanzaa nalaani wanawake kuwaweka usiku wa manane immigration. Jambo hili limechangia sana mabasi mengi kupoteza muda na kufikalate kunakotakiwa.

Basi hilo polisi njiani wakenya ukipita umechelewa wanakutafuna na rushwaa kubwa tu.

Pia, maulizo iweje mabasii zaidi ya mawili anahudumia mtu mmoja jamanii?

Mabosi wa Namanga Kenya immigration muangalie hili kabisa naombaaa

 
Back
Top Bottom