Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

View attachment 1446561
endelea kutushangaa tu, mavuno ya sera za awamu ya tano na corona zipo wazi!!!!
GĢ‡oodluck š¯—›aule
@RealHauleGluck

Familia imetupa taarifa ya kifo cha mke wa ndugu Joshua ambaye alifariki kwa Corona siku 11 zilizopita. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
Translate Tweet
Quote Tweet
GĢ‡oodluck š¯—›aule
@RealHauleGluck
Ā· Apr 30

ā€¯NMB Mafinga imefungwa. Mfanyakazi anaitwa Joshua Kikungwe amefariki na wengine wapo karantini. Huduma zilikua zinatolewa nje kwenye gari na wafanyakazi wa kutoka NMB Iringa, Hide my ID kakaā€¯ -

Pumzika kwa Amani Joshua; Bwana ametoa & Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
Image
4:42 PM Ā· May 10, 2020Ā·Twitter for iPhone
@kigogo2014

Hii mbuzi ya jalalani ipeni salama hawa wanazikwa hapa ni nani? Kawaambie hao wana Rombo ndiyo maana wanaitwa WaRombo !
@MnaaZawadi

Image
Image
Image
Mkuu wa mkoa wa Mara, Mhe. Adam Malima akimwakilisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassimu Majaliwa ameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa mchunguzi mwandamizi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini ambaye amezikwa wilayani Rorya mkoani humo leo Mei 10,2020

Image
Image
Image
Kigogo
@kigogo2014

We said it hamkutaka kusikiliza! Mna kazi ya kujazana ujinga tu
Translate Tweet

Zambia shuts border with Tanzania over virus spread fears
This article will focus on major developments coming from the southern African country.
africanews.com

12:05 PM Ā· May 10, 2020Ā·Twitter for iPhone

Huyo jamaa anaitwa Kigogo yaani sijui hupataje hizi taarifa, ameanika mpaka basi.
 
Nadhani imefikia mahala serikali duniani kote kuachana na hii kasumba ya kutangaza kwa public hizi takwimu, binafsi naona hazina faida ya moja kwa moja ukiachana na kutisha watu tu, watu wameshaelewa jinsi ugonjwa ulivyo, serikali zijikite kwenye kuboresha miundo mbinu kwenye sekta ya afya na pia kutafuta tiba.
 
Hatari sana hii, jameni hivi mbona Tanzania imekua hivi....hiki kirusi sio ugonjwa wa aibu, sielewi kwanini taarifa zinafichwa inabidi watu watupie videos tu.
Wakiona video wanakimbilia upande mwingine.
 
Kupewa Misaada sio kusema ati government haina pesa ama uwezo apana.. nikusaidiwa na njia ingine ya kupigana na huu ugonjwa.
WHO ana msaada gani katika kupambana na huu ugonjwa???

au WHO ni kwa ajiri ya TZ peke yake!!!!
 
WHO ana msaada gani katika kupambana na huu ugonjwa???

au WHO ni kwa ajiri ya TZ peke yake!!!!
World Health Organization ni ya uzima wa mwili.. kazi yake sio kwa taifa moja pekee lakini ni kwa ulimwengu mzima..
Kama tz ilipena data yao kitambo, saa hii ata hizo vifaa za kuwapima watu mungepewa kitambo na Misaada zingine tofauti tofauti ili tz iweze kupigana na hii kitu.
 
mimi nilifikiri dawa ama kinga,kumbe vifaa vya kupimia.

halafu tukipima tukajua tuna wagonjwa milioni 8 nchini,watatoa mtihani???
 
mimi nilifikiri dawa ama kinga,kumbe vifaa vya kupimia.

halafu tukipima tukajua tuna wagonjwa milioni 8 nchini,watatoa mtihani???
Ndiyo maana nimesema zitu zingine tofauti tofauti za misaada.

Huu wakati ni kama mataifa zote ziko kwa competition na mshindi atatangazwa siku za hivi karibu..

nkt!!
 
Ndiyo maana nimesema zitu zingine tofauti tofauti za misaada.

Huu wakati ni kama mataifa zote ziko kwa competition na mshindi atatangazwa siku za hivi karibu..

nkt!!
kwa sababu ushindi unategemea point bas tukae tusubiri.
 
Back
Top Bottom