Kenya: Idadi ya waliokutwa na Covid19 yafikia 435, vifo vyafika 22

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Wizara ya Afya nchini Kenya imeripoti visa vipya 24, leo Mei 2, na kufanya idadi kuwa 435. Watu hao wamepatikana katika sampuli 1,195 zilizopimwa saa 24 zilizopita

Mmoja kati ya hao walioripotiwa ametokea Kuria Magharibi na ana historia ya kutembelea Tanzania. Pia Wizara imeripoti kifo cha mtu mwingine mmoja

Waliopona wamefikia 152 baada ya 2 zaidi kuruhusiwa leo. Hadi sasa wanaopatiwa huduma ni 214 huku, mmoja ameripotiwa kuwa anapumulia vifaa maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya Chuo Kikuu cha Kenyatta

=====
Kenya on Saturday recorded 24 new cases of Covid-19, raising the number to 435, CAS Mercy Mwangangi has said.
The 24 are from the 1,195 samples that were tested in the last 24 hours.

10 are from Eastleigh and seven from Kawangware, five from Mombasa, and the last two from Kuria West who had a history of travel from Tanzania.

One more patient from Mombasa has died she was 51 years old death toll now stands at 22.
Of the new cases, 10 are males while 14 are females.

There are now 152 recoveries after two more people were discharged.

The CAS said the issue of the quarantine system should now become a serious issue now that the country is recording surging numbers of infections.

"The Ministry of Health is reviewing home-based care quarantine mechanisms and we shall soon be able to issue specific guidelines to how this will be undertaken," she said

Acting Director-General Patrick Amoth said there are now 214 active cases in the country.

One of the patients is currently in critical care and under ventilatory support at the Kenyatta University teaching Research and referral hospital.

"The remaining 213 are in stable condition and we are hopeful that they Will continue to do well," he said.
 
Hali si shwari huko kwa jirani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sampuli 1195 victims ni 24, hongereni Kenya mnaelekea kudhibiti maambukizi
 
Wizara ya Afya nchini Kenya imeripoti visa vipya 24, leo Mei 2, na kufanya idadi kuwa 435. Watu hao wamepatikana katika sampuli 1,195 zilizopimwa saa 24 zilizopita
UTARATIBU WA KUPIMA WATU KWA WINGI, NA KUDHIBITI TAKWIMU, KUNA FAIDA KUBWA SANA KTK KUWEKA MIKAKATI YA KIMAENEO DHIDI YA PANDEMIC HILI LA COVID-19.

WATU WNAOFUATA UTARATIBU HUO WANA NAFASI KUBWA YA KU BALANCE MAAMBUKIZI NA VIFO KWA MSAADA WA MOLA.
 
Sisi tuendelee kupima kwa kasi, tusiige hizi nadharia za mapaipai na mananasi.
 
kazi imeaaanzaa
2388030_IMG-20200503-WA0043.jpg

2388210_Screenshot_20200503-173552.png
 
Back
Top Bottom