Kenya has the largest number of jobless youth in East Africa

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,480
6,833

GO
News

Home
bread_sep.gif
News
bread_end.gif

NEWS

Kenya has the largest number of jobless youth in East Africa
Home
bread_sep.gif
News
bread_end.gif

NEWS

Kenya has the largest number of jobless youth in East Africa
ico_plus.png
PRINTRATING

jobs.jpg

By NEVILLE OTUKI, BUSINESS DAILY

Posted Wednesday, March 9 2016 at 13:08
IN SUMMARY

  • Nearly one in every five Kenyan youths of working age has no job compared to Uganda and Tanzania where about one in every 20 young people is jobless
  • Kenya’s rate of unemployment — now standing at three times that of the neighbouring Uganda and Tanzania — is among the highest in the world.
  • Unemployment among Kenya’s youth is now estimated to stand at 17.3 per cent compared to six per cent for both Uganda and Tanzania.
SHARE THIS STORY

0

Kenya, East Africa’s biggest economy, holds the dubious distinction of being the country with the largest number of unemployed youth in the region, a new World Bank report says.

The report, officially released Tuesday, says Kenya’s rate of unemployment — now standing at three times that of the neighbouring Uganda and Tanzania — is also among the highest in the world.

The report says that nearly one in every five Kenyan youths of working age has no job compared to Uganda and Tanzania where about one in every 20 young people is jobless, underlining the harsh economic reality that Kenyan youths are facing.

Unemployment among Kenya’s youth is now estimated to stand at 17.3 per cent compared to six per cent for both Uganda and Tanzania.

Mass joblessness, especially among the sprightly and innovative youth, is a drag on the economy because it forces unemployed adults to depend on the small working class, stretches family resources and consumes savings for future investments.

The World Bank report says mass unemployment continues to deny Kenya the opportunity to put its growing labour force to productive use, thereby “denying the economy the demographic dividend from majority young population”.

World Bank economists says the problem is mainly compounded by the fact that Kenya’s ability to create new jobs has lagged behind population growth, resulting in narrow formal opportunities, especially for entry-level workers fresh from college.

Kenya has a working-age population of 25.5 million, or over half the country’s population and the number is projected to swell to 39.2 million in the next 14 years when the country hopes to have transformed into an industrialised middle-income economy.

World Bank lead economist for Kenya Apurva Sanghi said that aside from the government providing a conducive business climate for private companies to thrive and create jobs, Kenya must funnel more resources towards developing its human capital to boost productivity.

“There is need to step up the quality of education to align it with market needs and to keep the growth engine running, driven by innovation,” said Mr Sanghi.

The report identifies human productivity as a long-term growth driver alongside urbanisation and proper management of oil cash that is expected once Kenya starts exploiting the Turkana oilfields.

Mr Sanghi estimates that Kenya stands to reap about $9 billion (Sh912 billion) a year in oil money.
 
Haya waongee sasa. Lingekuwa gazeti la bongo, wangeshajazana hapa na kuanzisha post reading violence(PRV). Gazeti la kwao ndio kawaumbua, waje tuone.
 
Jobless watakuwa akina Omera maana akina Karanja wameiniga na kujipanga ktk kila sekta za Gk na hata ktk mashirika ya umma na ya binafsi.Madhila!!!!!
 
mngony Kwanza nyie Magufuli keshasema hataki wapigaji debe, wacheza pool n.k. Vijana wote hao watabaki bila ajira, ndio mtakabwa hadi mkome, hivyo visimu mnatumia kuingia huku JF mtanyang'anywa zote.

Ukosefu wa ajira ni changamoto ya kila nchi duniani, huwa mnanishangaza sana, mnakenua meno kuchekea tatizo ambalo lipo kila mahali kisa eti limetajwa Kenya. Kama juzi naona nyote mnafuatana huku kama nyumbu kufurahia eti hoa ya njano imetajwa Kenya. Elimu elimu elimu... bora mngemskliza Lowassa.

Hili tatizo la ajira ni kero, vijana wengi wanamaliza masomo na kuingia kwenye uchumi ambao haupo tayari kuwapokea, ni tatizo linalombana hata Marekani.
 
hatujasema kwetu halipo bali kwenu lipo mara tatu kuliko sisi
 
Na ndio litakua kwenu mara kumi zaidi sasa hivi mnakimbiza vijana wasipige debe na pia wafunge biashara zao za pool na zingine ndogo ndogo za walala hoi.
 
Wewe bwege usitafutie sifa kwangu sawa. Mimi nimeleta Post na nime copy na kupaste. Sio mada ya kwanza kuleta hapa. Na sio kuhusu Kenya tu nimeshaleta nyingi tu kuhusu mataifa mbalimbali. Ajira ni changamoto East Africa ndio maana nimeleta hiyo habari.. sasa hizo Chang'aa zako usidhani kila mtu anatafuta ugomvi na wakenya, sawa
 
kumbe na kupiga debe kwenu mnahesabu kama mojawapo ya ajira!

BTW kinachofanywa sasa ni kuwafanya vijana wajikite katika shughuli za uzalishaji mali kuliko viburudisho... as a nation we have a long way to go to achieve what must be called development.. ndo maana tunataka vijana wazalishe zaidi.
 
tatizo la kenya uchumi wao umekamatwa na watu wachache wanamiliki viwanda haohao'mashaba makubwa haohao.sasa kijana adi aje kuikamatia fulsa inakua kazi mno.nina vijan wakenya wanashona mabatique uku na wana degree kila mmoja.wananisimulia adha ya kwao nashangaa.wanasema Tanzania mna raha sana hawajapata ona na hawarudi kwao ten zaidi ya kwenda kusalmia.,najihulizaga uko kenya watu wanaishije???aambiwa mtafuta kazi na mfanya kazi waaamka 11 asubuh .wanafuatilia matangazo ya vifo kujua aliekufa alikua anafanya kazi wap wakaombe kazi!!!
 
Wewe bwege usitafutie sifa kwangu sawa. Mimi nimeleta Post na nime copy na kupaste. Sio mada ya kwanza kuleta hapa. Na sio kuhusu Kenya tu nimeshaleta nyingi tu kuhusu mataifa mbalimbali. Ajira ni changamoto East Africa ndio maana nimeleta hiyo habari.. sasa hizo Chang'aa zako usidhani kila mtu anatafuta ugomvi na wakenya, sawa

Unapoanzisha mada na kuita watu kwa kuwa-quote, tegemea watakuja na kukujibu, hivyo wacha kulia lia.
 
kumbe na kupiga debe kwenu mnahesabu kama mojawapo ya ajira!

BTW kinachofanywa sasa ni kuwafanya vijana wajikite katika shughuli za uzalishaji mali kuliko viburudisho... as a nation we have a long way to go to achieve what must be called development.. ndo maana tunataka vijana wazalishe zaidi.

ntita Chochote kinachokupa mapato bila kuvunja sheria ni ajira, sio lazima uvae suti kwenye ofisi ndio ufahamike kuwa kwenye ajira.
Mlichofaa kufanya ni kuboresha uchumi wenu na miundo mbinu ili vijana waache kazi zenye "aibu" na kujiunga kwenye soko la ajira. Uchumi wenu bado sana, viwanda hamuna, bado mnaagiza pipi na sindano kutoka nje. Kinachowasaidia sasa hivi ni kwamba mna ardhi kubwa sana yenye rotuba, hivyo vijana wenu wengi wanajipata kwenye ukulima na kupunguza ukosefu wa ajira.

Huwezi linganisha na nchi yetu ndogo ambayo nusu yake ni kame tupu na bila madini, soko letu la ajira lipo kwenye huduma. Tusingejituma kama sisimizi, nchi yetu ingekua majanga, lakini sasa unapata hata tumeishinda Tanzania kiuchumi.

Kwa nchi yenu hiyo yenye kila kitu, madini, mbuga nzuri, ardhi kubwa yenye rotuba n.k. Mlifaa kuwa bora sana kiuchumi tena kwenye level ya Nigeria, yaani ilifaa sisi Wakenya ndio tuje kufanya kazi zenu za nyumbani kama vijakazi, lakini kwa jinsi mlivyo wavivu wa kutupwa na ukosefu wa elimu, mpo bado sana. Hebu ona hii video jinsi watu wenu wamejaa barabara zetu hapa Kenya wakiomba omba....aibu hata hamfai nyie.

Unapoanzisha mada na kuita watu kwa kuwa-quote, tegemea watakuja na kukujibu, hivyo wacha kulia lia.

Teh, niliambiwa nyie ndio wadau wakubwa lazima niwashirikishe. Lakini nilitaka uthibibitisho wa hali hiyo, kwa kweli kwa jinsi mnavyojitapa sikudhani kama unemployment iko juu kiasi hicho, mara 3 ya kwetu. Hivi idadi ya watu Kenya ni ngapi kwa sasa?
 
ntita Chochote kinachokupa mapato bila kuvunja sheria ni ajira, sio lazima uvae suti kwenye ofisi ndio ufahamike kuwa kwenye ajira.
Mlichofaa kufanya ni kuboresha uchumi wenu na miundo mbinu ili vijana waache kazi zenye "aibu" na kujiunga kwenye soko la ajira. Uchumi wenu bado sana, viwanda hamuna, bado mnaagiza pipi na sindano kutoka nje. Kinachowasaidia sasa hivi ni kwamba mna ardhi kubwa sana yenye rotuba, hivyo vijana wenu wengi wanajipata kwenye ukulima na kupunguza ukosefu wa ajira.

Huwezi linganisha na nchi yetu ndogo ambayo nusu yake ni kame tupu na bila madini, soko letu la ajira lipo kwenye huduma. Tusingejituma kama sisimizi, nchi yetu ingekua majanga, lakini sasa unapata hata tumeishinda Tanzania kiuchumi.

Kwa nchi yenu hiyo yenye kila kitu, madini, mbuga nzuri, ardhi kubwa yenye rotuba n.k. Mlifaa kuwa bora sana kiuchumi tena kwenye level ya Nigeria, yaani ilifaa sisi Wakenya ndio tuje kufanya kazi zenu za nyumbani kama vijakazi, lakini kwa jinsi mlivyo wavivu wa kutupwa na ukosefu wa elimu, mpo bado sana. Hebu ona hii video jinsi watu wenu wamejaa barabara zetu hapa Kenya wakiomba omba....aibu hata hamfai nyie.

wakenya wakenya wakenya kwa majigambo.. haya bhana..
kwa hiyo nyi ndo uchumi wenu uko juu! mnadanganywa na hizo GDP wakati wengi wenu ni jobless.. haya bhana sisi tuacheni tuendelee kuagiza pipi na dawa za meno.. nyie endeleeni na viwanda vyenu ambavyo vimeshindwa kutoa ajira kwa vijana mpaka mnafikia kuona kupiga debe nako ni ajira.. Acha si turudi shambani ili kesho na kesho kutwa iwe ni kijana mmoja kati ya mia ndo awe hana kazi.. Kila la kheri Wakenya MATAJIRI
 
Back
Top Bottom