Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 780
Na haikopesheki inadawaiwa mpaka paracetamol
Utakuw unatoka Malawi wewe,mwambie ndugu yako apambane na kilimo ,Tz kazi sio Kwenye fast jet tuNaingia jukwaa la kenya walau nijue mawili matatu yanayoendelea huko ila nakutana na maada kibao za watu kama nyie mnaanzisha maada za kutambiana flani ivi.
Haya sasa huku tz hali ya ajira vp, tangu kwaka 2015 walimu wengi wakaachwa kuitwa kazini wakimaliza vyuo na hadi leo wengi sana wapo mtaani.
Ajira za walimu zikitangazwa jina moja linachaguliwa mara tatu na mengine ni majina hewa ambayo hayo kwente matokeo ya sekondari.
Hakuna kipindi ambacho ajira zinekuwa ngumu sana kupatikana kama sasa Tz, hali inabadilika maana graduates ni wengi na biashara kibao zinafungwa, kuna ndugu yangu alikuwepo fastjet yupo kitaa baada ya kampuni kufungwa ili air tanzania isipate ushindani mkubwa.
hizi maada zenu hizi, Watz kama nyie mnatuaibisha,