Kenya emerges as Africa's service hub

I personally think that the writer of the thread was not, in any way, trying to brag about being a Kenyan. Mzalendohalisi na maxsimba always try to change posts meaning to fit their twisted minds perspective.
Try to understand what Mnairobi is saying, he/she is not trying to compare our economy with any of the eastern Africa countries.
ukweli lazma usemwe, na tutaendelea kuusema, mtake msitake.

smatta,

Hebu ndugu niambie basi Mnaibobi's motive??? Motive ndo muhimu zaidi rafiki!

Kama approach jirani zetu ikiwa nzuri..nasi ni waiungwa tutachangia vizuri na kiuungwana!

Ila post ikiwa kuonyesha arrogance..ni ngumu kuchangia!

Ukweli ni kuwa Kenya kwa sasa kuna tatizo kubwa la njaa..na sisi jirani zenu tayari tumeshawapeni chakula..pamoja sifa ya utajiri mnaoringia!

Ni matumaini yetu kuwa chakula hiki kitawafikia walengwa sehemu zote...na kisiibiwe na wenye uroho!
 
Bado sijapata kuona in the media, eti Tzee katupatia chakula, bado.. maybe ishaibiwa na waroho..LOL..
Tuko mbali sana babu, pigeni domo wakati wenzenu waendelea.. shida tunazo lakini, as I usually say< we learn from our mistakes.
Nyie mpigieni Kiwete-sorry Kikwete- 80% of your votes, halafu mwambiwe eti kuna imani, mpatiwe a cooked figure of your economic growth, halafu mwambiwe eti msiwe kama majirani wenu Kenya, media inyongwe kiasi, then wait for five years.. I swear yenyu itakuwa mbaya kushinda yetu.. watch this space
 
Tz and Kenya have always been good neighbours tangu zamani!

Taabu tu jirani zetu ni ile arrogance!

We need good productive posts zenye kuleta debates nzuri za kupendana na kuheshimiana kama jirani mwema!

Lakini these skewed posts zinazoonyesha Kenya (Nairobi) ni hub na tz ni village..Watz wahatakubali?

No one chose to be borne in Tz, or Kenya or US..one can be borne anywhere!!!

Halafu unajua..jirani hauchagui huyo..awe village..awe na jumba kubwa..you are given your neighbour by God!

Muhimu..tuheshimiane tu kama jirani!

Heshima na upendo kwanza!!!
 
Back
Top Bottom