Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,186
- 79,378
Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidiiUna uhakika gani kama Kalemani ni Msukuma?, sina uhakika na hilo kwasababu jina lake la ukoo la "Matogolo" linamuelekeza kwenye kabila la wazinza zaidi kuliko wasukuma.
Kalemani ni mzinza sio msukuma, kuzaliwa Dar es salaam haina maana ni mzaramo, lete majina matatu ya wasukuma katika baraza la mawaziri kwanza.Wazazi wake ni wasukuma na kazaliwa usukumani, lete hao wakikuyu 20 blah! blah! haisaidii