Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Interesting debate,
Nadhani tunahitaji new elections in one year!
Naafikiana na matatizo- kulingana na haya yaliotokea Kenya- Kibaki wala Raila wasigombee!
Wagombee watu wengine neutral!
Matatito na Ab-tizchz, we can make our arguments bila kuongelea Ukikuyu, Uluo, Ukamba n.k. Mnajua JF huwa hatujadiliani kwa misingi ya Kikabila!
Kaka madamu watagombea uchaguzi wa kisiasa hiyo habari ya "neutral" sahau. Hakuna kitu kinachoitwa "neutral" kwenye siasa. Kinachotakiwa ni refa (tume ya uchaguzi) isiyokubali kuyumbishwa na wagombea; upate tume inayowasikiliza wapiga kura badala ya wagombea. Alichokosea Kivuitu ni kuwasikiliza wagombea walichotaka badala ya kila wapiga kura walitaka. Kwa mimi nafikiri hoja sio Kibali au Raila kutogombea; hoja ni kwamba tupate watu watakaosimamia uchaguzi vizuri na wakaenda na vile wapiga kura watakavyoamua badala ya kukimbia kutangaza matokeo kwenye uchochoro!