Kenya Election 2007: Outcomes

BBC wametangaza tayari mbunge mwingine wa ODM amepigwa risasi lakini nasikia huyu amepigwa risasi na polisi
 
Matatizo,

Hebu tupe mwanga ndugu kama kweli akina Raila nao waliiba kura!

Poleni kwa yote ndugu- sisi tunawapenda jirani zenu Tanzania, tunaomba amani wote kwa pamoja!
 
all data is available online an it's not my prerogative to indulge u.Go look an find it.In ur findings u will discover that the Raila camp has un-shamedly twisted the numbers.Case in point Juja constituency.As to ODM,Kibaki only got like 45000 votes in a constituency with 123000+ voters.Juja is PNU country.Going with the trend of the region(Central),at least a 70% percent turnout happened.In all honesty the world is finally adding one to the other an exactly seeing thro the illusion of Railamania.His supporters have effectively driven out any Kikuyu,Embu,Meru an Kisiis out of Kisumu.The third largest city in Kenya has the dubious international rating as "ethnically cleansed".In so doing
they burnt it down to a cider.To Tanzanians if u cared anyway,Kisumu an Kibera(huge Nairobi slum) are both dominant with Luos.They have always been the trouble-spots in Kenya.Go figure.
 
Huyo Bwana hapo juu anachuki zake tu na unaona mwelekeo wake ni wakujaribu kumtetea kibaki.Nd'o maana nakwaambia lazima anatoka mitaa ya kati ya kenya.Sasa mashada imefungwa anataka kuleta zegere humu ndani kwa kumtetea yule kigunge aliyeganda mamlakani. Hawa nd'o wanachelewesha demokrasia hapa Easti.
 
'Police' kill Kenya opposition MP

An opposition MP has been killed in Kenya, as violence continues over last month's disputed election.

The man was shot dead in the western town of Eldoret, said a spokesman for his Orange Democratic Movement (ODM).

He is the second ODM MP to be killed this week. The shooting of Mugabe Were in Nairobi sparked violent clashes in slums seen as opposition strongholds.

More than 850 people have been killed and 250,000 have fled their homes since the disputed presidential poll.

Source: BBC World
 
all data is available online an it's not my prerogative to indulge u.Go look an find it.In ur findings u will discover that the Raila camp has un-shamedly twisted the numbers.Case in point Juja constituency.As to ODM,Kibaki only got like 45000 votes in a constituency with 123000+ voters.Juja is PNU country.Going with the trend of the region(Central),at least a 70% percent turnout happened.In all honesty the world is finally adding one to the other an exactly seeing thro the illusion of Railamania.His supporters have effectively driven out any Kikuyu,Embu,Meru an Kisiis out of Kisumu.The third largest city in Kenya has the dubious international rating as "ethnically cleansed".In so doing
they burnt it down to a cider.To Tanzanians if u cared anyway,Kisumu an Kibera(huge Nairobi slum) are both dominant with Luos.They have always been the trouble-spots in Kenya.Go figure.

Matatizo,

Tz we so much love majirani regardless of Lou, Luhya or Kikuyu! Hata mimi naamini Kenya will pass throgh all these problems and raise to be a giant again!

Hapo nyuma ktk hii thread I have advocated for EAF -Watz, Wakenya waweza kuishi popote EA kwa uhuru kama ilivyo Tz!

Sasa Matatizo- in your views, what is the solution for the present crisis? New Elections? Re-tallying of votes?
 
Mzalendo,
huyu bwana atakuambia hamna tatizo na Kibaki aendelee tu.Nd'o injili walopewa kusambaza kwenye tovuti zozote waingiazo.Kwa hivyo usisubiri jibu ni kama kupaka upepo rangi.Hio kitu ya kusema watu waishi kokote nadhani nitakupa wasia uende aste aste nayo maana ukitaharuki ardhi yote itamilikiwa na watu usiowajua mbele wala nyuma.Na ukiwauliza ardhi wameipataje itakua kazi!Nitakupa nyeti zengine kwa wakati mwafaka.
 
on what authority should Raila form a government?U ODM nitwits can't even prove how the election was rigged.Some ODM strongholds had turnouts of like 109% an 125%.Yet the the media is ignoring that fact.The best the PNU could manage is a 91% turnout.So,who's the thief.For all it's shortcomings,the ODM is the bona-fide champion of propaganda.Whatever the outcome,the fate of the Kikuyu was inevitable.Kibaki is just trying to protect the inevitable.Kikuyus are very well hated.I'm one, i should know,i've experienced it.

Sasa unatuletea ukabila wenu hapa sio?Huyo Kibaki kapigiwa kura na wakikuyu tu.Raila katibua mikoa 6 kati ya nane kuonesha wakenya wote wanamtaka huyu bwana na sio wajaluo tu.Sio siri kua makamishna wa ile tume ya uchaguzi walikua washkaji na Kibaki.Fikiria hata lawyer wake wa zamani alikuwemo katika ECK.Talk of conflict of interests.Kisha majaji aliowateuwa kabla ya kura wote ni jamaa zake na kawaweka maksudi mahakamani ili kesi za petition zikija jamaa wazipige chini.
A'fu kama kweli ni Rais wa halali mbona kaapishwa haraka haraka chini ya wingu la giza?Kumbuka kipindi kutokea majibu feki yalipotangazwa na kuapishwa kwake ilikua chini ya saa moja. Kumbuka pia kuna watu kujitayarisha na maandalizi mengine kibao.Huo m'da hautoshi ila uniambie jamaa walikua wamekaa kitako hata kabla matokeo hayajatangazwa.Wezi walikua washajiandaa mkao wa kula!!!
 
Matatizo,

Tz we so much love majirani regardless of Lou, Luhya or Kikuyu! Hata mimi naamini Kenya will pass throgh all these problems and raise to be a giant again!

Hapo nyuma ktk hii thread I have advocated for EAF -Watz, Wakenya waweza kuishi popote EA kwa uhuru kama ilivyo Tz!

Sasa Matatizo- in your views, what is the solution for the present crisis? New Elections? Re-tallying of votes?

Mzalendohalisi,
A new presidential election in May without Kibaki or Raila on the ballot.As to the current situation,they both have gambled the nation to unbelievable odds.Why coz of an election will i not hang out as a Kikuyu with my good Luo friend who always makes me laugh?It beats me.Back to reality.Kenya needs a unifying figure. None of the present is any inspiring.This is the opportunity to make history.Kenyans,now is the time to stand up.Be leaders an delivers ourselves from this crisis.We Kenyans are still good to go.
 
Thanks- sasa je Kibaki au Raila itawezekana kuwa kando na watakubali wasigombee?

Which candidates could be unifying figures? Ukiangalia Tz politics maraisi wote 4 wametoka ktk makabila madogo2 ni hii imeshaidia kupunguza nguvu na upendeleo wa makbila makubwa kama Chagga, Sukuma, Haya and Nyakusa!

Wagombea wakitoka ktk makabila madogo kabisa hii itasaidia kwa sasa- then in say 10 to 20 years, hali ikisharudi kawaida then raisi anaweza kutoka makabila makubwa kama Kikuyu, Luo n.k
 
[/B]

Sasa unatuletea ukabila wenu hapa sio?Huyo Kibaki kapigiwa kura na wakikuyu tu.Raila katibua mikoa 6 kati ya nane kuonesha wakenya wote wanamtaka huyu bwana na sio wajaluo tu.Sio siri kua makamishna wa ile tume ya uchaguzi walikua washkaji na Kibaki.Fikiria hata lawyer wake wa zamani alikuwemo katika ECK.Talk of conflict of interests.Kisha majaji aliowateuwa kabla ya kura wote ni jamaa zake na kawaweka maksudi mahakamani ili kesi za petition zikija jamaa wazipige chini.
A'fu kama kweli ni Rais wa halali mbona kaapishwa haraka haraka chini ya wingu la giza?Kumbuka kipindi kutokea majibu feki yalipotangazwa na kuapishwa kwake ilikua chini ya saa moja. Kumbuka pia kuna watu kujitayarisha na maandalizi mengine kibao.Huo m'da hautoshi ila uniambie jamaa walikua wamekaa kitako hata kabla matokeo hayajatangazwa.Wezi walikua washajiandaa mkao wa kula!!!

this is what u don't know.Officially Kibaki won 4 provinces an Raila won in 4 provinces.Wake up people.If u will bother to see thro the ODM hype,Kibaki has the popular vote as in PNU alone.Now since he got ODM-K an all other smaller parties on his side,it's a landslide.Let nobody fool u.Majority of Kenya is with Kibaki.
 
Matatizo,
Thanks- sasa je Kibaki au Raila itawezekana kuwa kando na watakubali wasigombee?

Which candidates could be unifying figures? Ukiangalia Tz politics maraisi wote 4 wametoka ktk makabila madogo2 ni hii imeshaidia kupunguza nguvu na upendeleo wa makbila makubwa kama Chagga, Sukuma, Haya and Nyakusa!

Wagombea wakitoka ktk makabila madogo kabisa hii itasaidia kwa sasa- then in say 10 to 20 years, hali ikisharudi kawaida then raisi anaweza kutoka makabila makubwa kama Kikuyu, Luo n.k

Raphael Tuju is a Luo an very much liked by the Kikuyus an other communities.His developmental record is off the charts.To answer ur question,I would figure Kalonzo Musyoka an Tuju as the front-runners.Then it could be Chirau Mwakwere as the next option.
 
this is what u don't know.Officially Kibaki won 4 provinces an Raila won in 4 provinces.Wake up people.If u will bother to see thro the ODM hype,Kibaki has the popular vote as in PNU alone.Now since he got ODM-K an all other smaller parties on his side,it's a landslide.Let nobody fool u.Majority of Kenya is with Kibaki.

I think you are the one who is trying to fool us. We know better and much more than what you are trying to put across here. If Kibaki won and was as popular as you try to suggest here, he would never rush himself into being sworn in the hiding. It is this sort of attitude that is complicating this unnecessary crisis. You will only start solving the problems you are facing by first and foremost acknowledge their presence. This foolhardy manouvering of the facts will never take Kenya anywhere other than keep on wasting innocent people's precious lives.
 
Chirau Makwere of all the people? You cant be serious. Anyway after all you are talking on kubaki's side, what can we expect?
 
I think you are the one who is trying to fool us. We know better and much more than what you are trying to put across here. If Kibaki won and was as popular as you try to suggest here, he would never rush himself into being sworn in the hiding. It is this sort of attitude that is complicating this unnecessary crisis. You will only start solving the problems you are facing by first and foremost acknowledge their presence. This foolhardy manouvering of the facts will never take Kenya anywhere other than keep on wasting innocent people's precious lives.

Asante sana Bw Kitila Mkumbo,
Naona ushamngamua jamaa.Hawa nd'o wale waliolipwa kuja kwenye tovuti za watu na kuendekeza sera za Kibaki.Si keshasema yeye ni Mkikuyu sasa jaza mwenyewe.Hio mikoa minne anayotaja eti Kibaki kashinda mbona hakuitaja?Kisha pia anawataja kina Tuju ambao wajaluo wanawaona kama wasaliti.Enzi za Moi kulikua na jamaa linaitwa Joseph Kamotho ambaye alikua mkikuyu aliyemsupport Moi kwa udi na uvumba.Wakati huo wakalenjin nao walikua wakisema vivyo hivyo asemavyo huyu bwana hapo juu.Eti they would rather have Kamotho as president than Matiba.Sasa leo anacheza hio hio ngoma.Mwambie alete mpya.

Watu kama hawa nd'o shida ya Kenya.Yaani Kibaki na uizi wote huo bado wanamtetea.Wakianza kuchapwa wanapiga nduru!!!
 
Raphael Tuju is a Luo an very much liked by the Kikuyus an other communities.His developmental record is off the charts.To answer ur question,I would figure Kalonzo Musyoka an Tuju as the front-runners.Then it could be Chirau Mwakwere as the next option.

Joseph Kamotho alipendwa na wa-Nandi wakati wa enzi za Moi nanyi wakikuyu mkamuona kama msaliti.Nd'o hayo hayo ya Tuju na Kibaki. A'fu Chirau Mwakwere nadhani unaeza ukamtia kampuni maana unatania!
Nyie wakikuyu mnahadaa watu na tushapata tetesi kwamba biashara yote ni kutayarisha Uhuru Kenyatta mwaka wa 2012.Mshagundiliwa tafuteni lengine!
 
this is what u don't know.Officially Kibaki won 4 provinces an Raila won in 4 provinces.Wake up people.If u will bother to see thro the ODM hype,Kibaki has the popular vote as in PNU alone.Now since he got ODM-K an all other smaller parties on his side,it's a landslide.Let nobody fool u.Majority of Kenya is with Kibaki.

Hebu taja hio mikoa usemayo!
Pili, huyo Kalonzo anaangalia tumbo lake na sio la wakamba waliompigia kura.Iwapo anawamaindi jamaa zake mbona hakuenda kujadiliana nao kabla hajachukua hicho kiti cha naibu?
Tatu,kura nyingi za Kibaki zilitokana na wakikuyu waliowengi na sio siri na nyengine zote aliiba kwa kuongeza idadi ya kura alizopata.Kama kweli ni raisi wa halali mbona aliapishwa chini ya kiwingu cha kiza?Mbona hakuenda Uhuru Park kama 2002 na kuwaalika viongozi wa ulimwengu kuja kumshuhudia?Mbona fujo linaendelea Kenya na jamaa ameshindwa ku-control mambo?Acha kutuhadaa wewe nanii maana sisi kidogo tumekomaa na siasa za Kenya siku hizi.Hii hapana zamani!
 
Interesting debate,

Nadhani tunahitaji new elections in one year!

Naafikiana na matatizo- kulingana na haya yaliotokea Kenya- Kibaki wala Raila wasigombee!

Wagombee watu wengine neutral!

Matatito na Ab-tizchz, we can make our arguments bila kuongelea Ukikuyu, Uluo, Ukamba n.k. Mnajua JF huwa hatujadiliani kwa misingi ya Kikabila!
 
Hapa Mzalendo naona umenoa maana ukisema wote wasigombee basi unawanyima haki yao ya kidemokrasia.Ishu ni kua kura zirudiwe na wasimamizi wasiwe wakenya a'fu uone kama huyo Kigunge Kibaki atatoboa.(Amini usiamini hatokubali kamwe hii kitu.ODM tayari washakubali na wamemwambia Annan.Lakini angalia serikali ikiuchuna kana kwamba hamna noma.)
 
Interesting debate,

Nadhani tunahitaji new elections in one year!

Naafikiana na matatizo- kulingana na haya yaliotokea Kenya- Kibaki wala Raila wasigombee!

Wagombee watu wengine neutral!

Matatito na Ab-tizchz, we can make our arguments bila kuongelea Ukikuyu, Uluo, Ukamba n.k. Mnajua JF huwa hatujadiliani kwa misingi ya Kikabila!

Mzalendo, acha nikupe unielewe.Mie siongei na misingi ya kwamba nachukia kabila au nina ukabila.Ukweli ni kwamba waafrika tumezaliwa katika makabila na hata iweje hio nd'o hali halisi.
Kisha pia inabidi ufahamu psyche ya wakikuyu kule Kenya nd'o utaelewa matatizo ya hawa mabwana.Kwanza kabisa mkikuyu nadhani alikula kiapo toka enzi za Kenyatta eti hatoweza kutawaliwa na wajaluo...kisa na kisababu? Wajaluo wanamagovi!!Yaani hata wale waliosoma watakuambia hii kitu.Kama ulikua unatembelea kule Mashada wakati wa kampeni ungeona hio ishu kila siku.These has been their rallying point na pia turning other people against Luos.Yaani for more than 40yrs hii imekua sera yao.Hata hivyo wakenya wengine wakaanza kuona hii kitu haina maana na wakanza kumsikiza Raila.Wenyewe walikuwa wanasema eti Raila is unelectable.Basi ODM ilipolaunch Rally yake pale Nairobi walipigwa na butwaa kuona umati ulioshehena sehemu.Sasa hapo nd'o ikabidi waingie overdrive ya kucounter the guy maana waliona eeh!..huyu bwana atachukua hii kitu!!!
Pia wakikuyu wanawasiwasi ambao viongozi wao wamewatia akilini kuwa mjaluo akiongoza Kenya basi atawanyanyasa kishenzi kulingana na kua Kenyatta(yule rais wa kwanza)aliwaua wajaluo kishenzi na hamna lolote wangefanya.Viongozi wa maana wa kabila la wajaluo waliobwagwa ni kama Tom Mboya,Horace Ongili Owiti na Robert Ouko.Kisha sehemu ya Nyanza imenyimwa vigezo vyovyote vitakavyosaidia kukuza uchumi.Kwa hivyo mahesabu yote ya Kenya yanafanywa na ukabila ndani yake na ukitaka kuwajadili hawa mabwana lazima hio kitu utie akilini.

Tegemeo letu ni hiki kizazi kipya ambacho nadhani walienda shule na kuelimika kama wanavyojaribu kututambia.Hata hivyo bado wana-ukabila hata sijui vipi.Mfano huyo bwana tunayejadiliana naye hapo juu katuambia wazi ni mkikuyu.Nani kamuuliza?Si unaona ninachosema?Unatarajia kwa vile anacheza na mtandao basi upeo wake umezidi lakini wapi...ni wale wale.Hii mada ni kubwa na hivi karibuni nitabwaga kurasa kadhaa kukuonyesha ubepari wa hawa mabwana.Hata Mwalimu Nyerere angeshangaa nao.
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom