Kenya Decide 2007

  • Thread starter Mzee Mwanakijiji
  • Start date

Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,873
Likes
8,029
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,873 8,029 280
Kesho katika onesho la KLH News Live, tutaanza kuangalia Siasa za Kenya na tunawakaribisha ndugu zetu wa Kenya kutoa maoni yao ya matarajio waliyonayo katika uchaguzi huu, the issues, the deal breakers and everything in between...
 
M

Mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2007
Messages
472
Likes
8
Points
0
M

Mtu

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2007
472 8 0
Poa sana.Hawa ndugu zetu wana kazi kubwa
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,873
Likes
8,029
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,873 8,029 280
Ndio maana tunataka kuwasaidia kidogo..
 
S

sundu

Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
5
Likes
1
Points
0
S

sundu

Member
Joined Oct 11, 2007
5 1 0
Ndio maana tunataka kuwasaidia kidogo..
Unataka kuwasaidia wakenya na nini? Kisiasa , wakenya are way much ahead. Mwanakijiji sijui kama unaelewa chenye unasema. Wakenya wana uhuru za kisiasa kushinda wenzetu Bongo. Tena tunauamuzi mkubwa sana vile tunatawaliwa. CCM imewakandamiza wa Bongo.

Kwanza wacha niseme pole kwa wana JF kwa shida za wiki iliyopita. Pili karibuni niwafudhishe vile mnaweza kuwa wanasiasa bora.

Uchaguzi mwaka huu tayari Raila ni raisi wetu na hatutaki ujinga za Kibaki. Kibaki ni muuwaji, Mfisadi, Mlevi na tena mzembe kazini. Time has reach when we Kenyans must decide remove the Kibaki's team of wolves.
 
S

sundu

Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
5
Likes
1
Points
0
S

sundu

Member
Joined Oct 11, 2007
5 1 0
ODM Presidential candidate Raila Odinga will be in Kisiiland Friday as he attempts to deliver his entire home province vote into the ODM bag.

Raila will address various rallies in Gucha before addtressing his main rally in Gucha town.

Raila is seeking to outdo Simeon Nyachae the man who has over the years determined the voting patterns in the region.
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,893
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,893 280
Raila mtu wa nguvu.I admire him politically.Ila nina hofu ingawa huyu jamaa ni mzalendo wa kweli but anaweza kuja kugeuka dikteta wa hatari lakini all in all Raila mwana wa Odinga amesaidia katika mageuzi mengi ya kisia sa kenya.Tz still we need Radical changeslike hapo kwa Wakenya.Natamani hiyo siku ifike,inawezekana Kabisa.
 
Kenyan-Tanzanian

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2006
Messages
306
Likes
1
Points
0
Kenyan-Tanzanian

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2006
306 1 0
Kesho katika onesho la KLH News Live, tutaanza kuangalia Siasa za Kenya na tunawakaribisha ndugu zetu wa Kenya kutoa maoni yao ya matarajio waliyonayo katika uchaguzi huu, the issues, the deal breakers and everything in between...
Ni ishara ya ujirani mwema kubuni nafasi ya WaTanzania kuchangia kwenye uchanganuzi wa Elections za jirani wao wa karibu, waKenya. Shukran kwa hilo Mwanakijiji kwa kuzidi kuonyesha ukomavu wa fikra zako.

Lakini kuna ishu mbili ninakuomba uzitie fikirani.

1. Badala ya kupeleka miswaada au ishu hizi huko KLH mbona usizilete hapa JF (Kenyan Politics Platform)tuzifanyie kazi?

2. WaKenya wawe wale wa kijijini au wa mjini wanaelewa sana siasa za nchi yao (Their levels of political awareness has increased incredibly since the reinstitution of Multi-party politics in 1992). Hivi basi isiwenikejeli kama waBongo wenzako wanavyoashiria kuwa mnataka kutusaidia kucheki mambo yetu kana kwamba hatuwezi fanya hivyo wenyewe.

Namuunga Ben kwa kauli yake kwamba Tanzania na Uganda zinawezajifunza mengi kutoka kwa harakati za kisiasa za Kenya. The most important lesson kwangu mimi, ambaye waBongo watanufaika nayo sana toka Kenya, ni jinsi gani wanawezakabiliana na uhalifu na ubavubavu wa CCM. Ripoti za hivi karibuni zinazogusia kashfa ndani ya CCM na kwenye sera za madini zinatakiwa kuwa building blocks for the Tanzanian civil societies and opinion leaders kama wewe Mkjj kuiweka serekali yenu on the spot.

Pasipo na checks and balances za kuicontrol CCM, siasaBongo itazidi kuwa kama ile siasa ya kitabu cha George Orwell kiitwacho SHAMBA LA WANYAMA.
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,893
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,893 280
Sasa hivi kibaki anasweat,raila ni brilliant politician ingawa utawala wa Moi ulimhurt sana but hakukata tamaa.Amehama vyama vingi but for the future betterment na hakudanganyika na fedha za KANU alipojiunga nao kwani alijua alichokitaka ingawa watu wengi walimwona kama traitor hadi ndugu zake wa karibu but still aka go ahead

But pia hofu yangu kuu ni kwamba huyu jamaa akiingia kwenye power opposition side ya Kenya inaweza kuwa weak coz Odinga alikua anachangamsha opposition ktk kuicfhallenge serikali kitu ambacho kilinifanya nivutiwe sana na huyu jamaa ukilinganisha na enzi zile za akina Matiba,Shikuku,Odinga senior etc.
Ingawa enzi hizo nilikua kinda but siasa ya Kenya ilinivutia sana.
Hapa kwetu tunatakiwa tuanzie mbali hasa kwenye katiba kama akina Odinga walivyofanya kwani sisi hapa kuna mambo madogo madogo lakini yanahitaji kazi za ziada kubalance mambo_Opposition watie pressure kuhusu katiba na sheria za kuunganisha vyama kwanza.
 

Forum statistics

Threads 1,237,061
Members 475,401
Posts 29,276,978