Kenya confirms first case of Corona Virus

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,553
Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.

Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.

Shule hazitafungwa kwa sasa

Mipaka yote kudhibitiwa.

3E92D1F7-DEF4-43C3-9187-902F41996FFC.jpeg

FF41DCCB-1830-4199-BFA9-A6E86F6C6D19.jpeg


------
The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country.

Health CS Mutahi Kagwe revealed that the patient is a woman who travelled from the U.S. to Nairobi through London.

“The case was confirmed yesterday (Thursday). She was confirmed positive by the National Influenza Lab,” he said.

According to the Health CS, the condition of the Kenyan woman is stable and her temperature has gone down to normal.

He said the patient is currently at the Kenyatta National Hospital and the Government has traced everyone that she was in contact with.

“What we have is a corona virus positive test. There is no cause for alarm, continue with regular activities,” CS Kagwe said.

The CS further said that Kenyans must take seriously the guidelines issued to prevent infection.

These include thoroughly wash hands and use alcohol-based sanitizer and 1 meter distance from a person who is sneezing or coughing.

Further, a person who is coughing or sneezing should stay at home and avoid crowds..”We have suspended all public gatherings meetings, games, events, church crusades. Churches can have services as long as they have sanitizer,” he added.

Schools are to remain open but inter-school games cancelled, the CS said adding that all visits to prisons are also suspended for the next 30 days.

He also warned against spreading panic on social media platforms saying: “Kenyans must not abuse social media platforms or indulge in acts that will place fear.”

“At the moment, there is absolutely no need for panic or worry provided we keep having the precautionary measures,” the CS added.

“If you take Matatus, buses, trains, we are giving public transport special intervention,” he said.
 
Hii corona itakujakuwa janga la afrika, watu wengi sana watakufa.
Bob
There's a natural mystic
Blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet
Might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die
Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie
 
Hata enzi za vita vya maji maji tuliambiwa kauli zinazofanana na kauli yako mwisho wa siku watu wakasonga front na full confidence matokeo yake watu wakageuka kama net kutokana na matundu ya risasi.WE ENDELEA KUJIACHIA WACHA SISI TUTAKE TAHADHARI.
Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kwa kweli serikali ianze kutoa maelekezo ya hatua za kuchukua kwa wananchi maana hamkani si shwari tena! Isisubiri hadi waathirika wawe wengi ndipo hatua zichukuliwe; hata hao wa kuchukua hatua nao watakuwa wameathirika.

Kwa mfano, mashule yafungwe sasa watoto wabaki nyumbani kupunguza risk. Vituo vya quarantine viko wapi katika miji na maeneo mbali mbali? Hospitali zilizoteuliwa kukabilina na hili jinamizi ni zipi?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom