Kenya, Chinese space station deal alarms US

Najua kwa sababu GOK hutoa statistics za Ministry of Health.

Worry as Covid-19 worsens depression, anxiety disorders in Kenya.

Huwanawaambia kila siku pendeni kufanya utafiti kabla ya kupayuka utanzania yenu kilamahali. Mnaaibisha afrika mashariki.


Haya wewe mfanya utafiti hebu fanya utafiti na ukishafanya uniambie hii habari ya magonjwa ya akili yanayongezeka Kenya ni Depression kutokana na Covid 19 au laa!!!.

Kumbuka hiyo ni habari ya 5years ago kabla ya Covid 19.
Screenshot_20200929-002730.png
 
Through international partnerships Kenyan scientists have been actively involved in solving some of the African "problems "such as Malaria and HIV infact almost all major breakthroughs in this fields are attributed to Kenyans..
HIV and malaria is not african problem. Its probably european created problem brought to africa to reduce population.
 
Wacha mbio jipeni mda mkuze elimu yenyu kwa sahi hakuna mtu anatambua masomo ya Tanzania. Dunia inajua bado mko chini sana kielimu hata Uganda inawashinda kwa elimu.
Masomo yenyu ni sarakasi za tom and jerry.

Two Ugandans named among Africa’s best scientists

Fungua hiyo link uone kama kuna mtanzania hata mmoja. Uganda wako na wawili, Kenya iko na watat,u Tanzania hakuna hata mmoja. Masomo yenyu ya university ndiyo kama high school hapa Kenya.
Ila korona imewachapa bakora,hata kupumua hampumui
 
The Kenyan Physicists will be there for apparutus cleaning, meal prep as well
 
Acha niweke tu ya mwisho nisikuumize roho sana

IBM walifungua research centre yao hapa hapa Nairobi

Kwa hivyo kwa kila technology ya microsoft ,IBM, google kuna computer scientists wakenya wamefanya kazi kubwa sana.
Mbona kwenye vitabu vya wanasayansi hawamo. Tunawaona tu kina faraday na newton.
Nafikiri umeona ni jinsi gani nguvu kazi yenu inatumiwa bila aknowledgement
 
Mbona kwenye vitabu vya wanasayansi hawamo. Tunawaona tu kina faraday na newton.
Nafikiri umeona ni jinsi gani nguvu kazi yenu inatumiwa bila aknowledgement
Mbona nyinyi hata kwa magazeti.

Ujinga yenyu ya watanzania. Mchina ako kwa hizo vitabu? lakini amesoma na sasa ameanza kumzidi huyo mzungu. Ujinga ya kitanzania ni kuto ona mbali.
 
Back
Top Bottom